Top Tweets for #CocoFM
KUSHEREHEKEA MAZAZI YATUME MUHAMMAD
Leo ni tarehe 25 August 2026 sawa na tarehe 12 Rabi'al -Awwal 1448 katika kalenda ya kiisilamu.
Tunaendelea na simulizi kuhusu mazazi ya Mtume Muhammad.
#COCOFM
#ladhayapwani
KILIFI MEDICAL SERVICE WEEK - 3RD EDITION - CHONYI
Wagonjwa mbalimbali walijitokeza kwa wingi katika zoezi la kutoa matibabu ya bure huko Chasimba, Chonyi kaunti ya Kilifi, ambalo lilikuwa limeandaliwa na wakfu wa George Kithi kwa ushirikiano na Coco Fm.
#COCOFM
#ladhayapwani
Ukipewa nafasi, usichemshe! 🔥 itumie vizuri huenda ukahitajika tena kesho!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Unavyotesa mjini, hakikisha mzazi kijijini hateseki! Kumbuka ulipoanzia. 🫵~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Mwisho wa uongo mwingi ni kujisahau ipo siku utanaswa tu!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
KINA KIREFU NA @pyukapyuwapyukupyu;
Urafiki utasita,punde tu ukitaka kutimiziwa mahitaji mengine.. #mvrhumbarevolution #bongelameli #COCOFM #ladhayapwani
Ni kiwango gani cha Ph kilicho sawa kwa udongo wa kilimo?
Joseph Jira Murima
#cocoshambani
#COCOFM
#ladhayapwani
Mbinu zinazotumika wakati wa kuupima Udongo shambani kwako.
Joseph Jira Murima
#cocoshambani
#COCOFM
#ladhayapwani
Chanzo cha kilimo ni kuujua udongo wa shamba lako~Job Wafula.
Joseph Jira Murima
#cocoshambani
#COCOFM
#ladhayapwani
Unajiuliza maabara za kilimo utazipata wapi hapa kaunti ya kilifi? Job Wafula, mtaalamu wa kilimo, anakujibu na kukuelekeza mahali unapoweza kupata huduma hizo.
#cocoshambani
#COCOFM
#ladhayapwani
MATOKEO YA PREMIER LEAGUE ⚽
Mechi za leo zimejaa matokeo ya kushtua! 😱 Hull City imeishtua Manchester United kwa ushindi wa 2-0, huku Everton, Ipswich na Leeds United zikipata ushindi muhimu.
Je, ni timu gani imekushangaza zaidi leo?
#Kipenga
#COCOFM
#ladhayapwani

Kwa tathmini yako na jinsi mechi zilivyoanza, ni nani ataibuka bingwa wa ligi kuu uingereza msimu huu?~ KAKA JP Junior
#Kipenga
#COCOFM
#ladhayapwani
Kesi bado zinaendelea, ligi iko mlangoni! 👀🔥 sasa swali ni moja tu Je, msimu utaanza vipi? ~ KAKA JP Junior
#Kipenga
#COCOFM
#ladhayapwani
Man United wamefanya sajili za maana, lakini bado wamekula kichapo cha 2-0 dhidi ya Hull City; tatizo ni nini hasa?
Na wewe unaona timu yako ikimaliza msimu huu ikiwa nafasi ya ngapi?~ KAKA JP Junior
#Kipenga
#COCOFM
#ladhayapwani
DAY 2|| KILIFI MEDICAL SERVICES WEEK- CHONYI
Wagonjwa waliopokea huduma za matibabu ya bila malipo wamepongeza wafadhili wa kambi ya matibabu hayo pamoja na madaktari waliojitolea kuwahudumia.
#COCOFM
#ladhayapwani
Ijue Lingala na @pyukapyuwapyukupyu;Ukitaka kula kilingala wasemaje? #mvrhumbarevolution #bongelameli #COCOFM #ladhayapwani
KINA KIREFU NA Pyukapyu Wa Pyukupyu Ppo; Je,mko na uhakika na vyakula mnavyoletewa ama ni kutumatuma tu.
#mvrhumbarevolution
#bongelameli
#COCOFM
#ladhayapwani
KAMBI YA MATIBABU BILA MALIPO
Huduma za waliokuwa na changamoto za kijamii zilitolewa na wahudumu wa Huduma Centre.
Changamoto ya kwenda kuwatafuta machifu ilitatuliwa kama anavyotuarifu Kalu Lolani
#MedicalCamp
#COCOFM
#ladhayapwani
Last Seen Hashtags on Sotwe
snapchat
Seen from Germany
SenGiderken
Seen from United States
Teenagee()+filter:native_video
Seen from Chile
บางบอน3
Seen from Thailand
momson() filter:native_video
Seen from Malaysia
مخيم_صيفي_للأطفال
Seen from Indonesia
ometv
Seen from Denmark
Kocuk
Seen from United States
qarxis
Seen from Kenya
big ass and bbc
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.7M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.5M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers
