Top Tweets for #CodezaUnabii
#CodezaUnabii
Mioyo ya kundi la wawindaji wa tatu inaugua wakati huu, wameumia sana,wana hasira sana. Wanaona aibu.Wanaona wamefedheheshwa sana. Wameona kuwa wamewasaliti wale kondoo waliowindwa kila mahali. Kondoo wasiogope kuna tumaini. Wokovu unakuja.
Mwenye sikio asikie
#CodezaUnabii
Akaniambia unatazama kama wanavyoangalia wanadamu. Wanadamu wanaangalia kinachoonekana siyo kisichoonekana. Mzizi wa mti ni mchafu ila ndo nguvu ya sehemu ya juu ya mti unaoonekana(the bough). Baada ya hapo nikanyamanza. Kitendawili. Mwenye masikio na asikie.
#CodeszaUnabii
Kiongozi wa wawindaji aliandaa kundi lingine la wawindaji, hii ni baada ya makundi ya kondoo waliogeuka kuwa simba kuongezeka na kuwa makubwa kiasi ambacho kundi la kwanza la wawindaji halikuweza kuwazuia.
Mwenye masikio asikie.
#CodezaUnabii
Niliona NGUVU IMESHUKA KUTOKA MBINGUNI ikawaingia wale kondoo walio kuwa waoga, wenye hofu ya kifo, waliokuwa wakiwindwa na wawidanji kila mahali wakati wa giza. Ghafla wakawa watu wenye nguvu kupita kawaida.
Mwenye masikio na asikie.
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.6M followers

X 
@x
60.8M followers

