Top Tweets for #ContraEntry
Nbc premier league inaweza kuingia kwenye "kitabu cha Ginesi",
Maana goli linaweza fungwa Chamazi likakataliwa kwa kuwa Var imeona madhambi kabla ya goli,
Wakati huo huo huko jamhuri dodoma Goli kama hilo limekubaliwa kwa kuwa hakuna Var na kuna makosa ya kibinadamu!
#ContraEntry
"Voice of voiceless " hakutoa neno pale Ndugu Gerald Hando aliposinamishwa kazi na kituo chake cha kazi kuomba radhi kwa "ukweli alozongumza Hando " on air" ,
Leo anapata wapi nguvu za kuisema Azam media?
#ContraEntry
Diddy amekuwa akituhumiwa kwa kuminya maslahi/kutosaidia wasanii walokuwa kwenye lebo yake miaka yote.. Hakuna hashtag hakuna malalamiko..ila diddy angekuwa na rangi ua asili ya ulaya na hao wasanii ni weusi ingekuwa bango kubwa mno! ..
Dhuluma haina rangi!
#ContraEntry
Kuna watu walimsema vibaya senzo. Kukutana na kocha wa Al Ahly Kabla ya mechi vs Simba sc hapo dsm,
Jana Msuva amekutana na wachezaji wa Namungo kabla ya mechi yao vs raja huko morocco .
Mbona mmekaa kimya "wamchambuzi"
#ContraEntry
"Wachambuzi" halafu hapo hapo "mameneja" .. Na hawana uwezo wa kupeleka wachezaji kwingine kokote zaidi ya timu za kariakoo!..sasa mchezaji wako akipigwa panga si utachambua kwa hasira wewe !
#ContraEntry
Avae kinyago kama hiki mtu mwenye rangi kama ya Harry Edward Kane!!
Dunia "pendwa lazimisha" itasimama ๐
#Contraentry
Well done Pogba !..
Sema unatakiwa "ujitoe pia" kuchezea man u kwa kuwa katika hela unayolipwa mshahara na posho inatokana na vyanzo ambayo ni haramu (kama pombe riba na kamali)
#ContraEntry
wakitoka nje wabunge wa upinzani peke yao;NI UTOTO NA HAWAKUTUMWA KUFANYA HIVYO BUNGENI.
wakitoka nje wabunge wote :UZALENDO
#cONTRAENTRY
'.wanasema tusikate miti.,
lakini tangazo la ''usikate miti'' limeandikwa kwenye karatasi...'
#ContraEntry
Last Seen Hashtags on Sotwe
advocateforInclusion
Seen from United States
่ดๆๅธฆ
anxiouspanda
Seen from Canada
ใธใฅใผใใใซใผ
Seen from United States
anxiouspanda since:2026-09-30 until:2026-10-04 filter:media
minichat
Seen from Thailand
taboo
Seen from Egypt
เธฃเธนเธเธซเธฅเธธเธเธเธฒเธเธเนเธฒเธ
Seen from Thailand
candid ()filter:videos
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.6M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers
