Top Tweets for #DEMOKRASIA
Chama cha ACT-Wazalendo kimesema “Kufungia Gazeti la MwanaHalisi ni hatua inayogusa haki ya Jamii kupata taarifa na kufuatilia uwajibikaji wa wenye mamlaka na Serikali inayoheshimu #demokrasia inapaswa kuvumilia ukosoaji, si kutumia Sheria kandamizi na kuinyamazisha Jamii”.
Aidha, Taarifa ya ACT iliyotolewa Agosti 19, 2026, imetaka Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari ya Mwaka 2016 na nyingine zinazoweka mamlaka makubwa kwa Mkurugenzi wa Habari juu ya Vyombo vya Habari kufutwa na kuondoa vifungu vinavyokandamiza uhuru wa habari.
Zaidi https://t.co/uw590DyQsP
#JamiiForums #Uwajibikaji #PressFreedom

DAR: Mtazamo wa Mbunge Mwita Waitara kuhusu Katiba Mpya, alioutoa kwenye mahojiano yaliyorushwa kupitia M&S Podcast, Agosti 12, 2026.
Mdau, unadhani ni wakati wa Tanzania kupata mabadiliko haya?
Bofya https://t.co/7s1DzkNs7M
#JamiiForums #Demokrasia #KatibaMpya
DAR: Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema hayo katika mahojiano maalum na Jenerali Ulimwengu yaliyorushwa Agosti 14, 2026.
Mdau, una maoni gani?
Video: The Jenerali Ulimwengu Post
Shiriki https://t.co/FT0Bdfj0RG
#JamiiForums #Demokrasia
Katibu Mkuu wa Chama cha #ACTWazalendo, Ado Shaibu ameyasema hayo wakati akizungumza na Viongozi wa chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam katika Ofisi za makao makuu ya chama hicho Julai 30, 2026.
Zaidi https://t.co/RGFWip1jQm
#JamiiForums #Demokrasia #Utawala #Uwajibikaji
DAR: Akizungumza katika mahojiano ya Kipindi cha One on One cha Wasafi Media, Julai 27, 2026, Dkt. Ayub Rioba amesema marekebisho ya Katiba yaangalie changamoto za Muktadha wa sasa pamoja na tamaduni.
Zaidi https://t.co/birh5ViTmu
#JamiiForums #Demokrasia #Governance
DAR: Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi ameyasema hayo Julai 24, 2026 alipokuwa akizungumza kwenye kipindi kinachorushwa na Wakili TV.
Mjadala unaendelea https://t.co/PHpl9WFQ94
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dkt. Benson Bana, amesema hayo kwenye mahojiano ya njia ya Simu yaliyorushwa Julai 15, 2026 na Saut Digital.
Fuatilia zaidi https://t.co/T7ylDFpYyk
#JamiiForums #Demokrasia #Sheria #Utawala
Zanzibar: Naibu Mkurugenzi wa Siasa na Matukio wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar, Ali Makame Issa, amesema hayo Julai 14, 2026.
Fuatilia zaidi https://t.co/brMb8QYzru
#JamiiForums #Demokrasia
Kauli za hivi karibuni za Rais Samia na Mwigulu kuhusu Wanaharakati.
Fuatilia zaidi https://t.co/fRpoITXbHI
#JamiiForums #Utawala #Demokrasia
Mtangazaji Irene Killenga aliyasema hayo Julai 8, 2026 kwenye kipindi cha Joto La Asubuhi cha EFM.
Zaidi tembelea https://t.co/6S1N8CddJL
#JamiiForums #Demokrasia
MBEYA: Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutherani Tanzania (#KKKT), Steven Kimondo ametoa kauli hiyo kwenye mahojiano yaliyorushwa na Royal TV.
Zaidi bofya https://t.co/ZhljuDqZXr
#JamiiForums #HumanRights #Demokrasia
MBEYA: Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutherani Tanzania (#KKKT), Steven Kimondo ametoa kauli hiyo Julai 4, 2026 alipokuwa kwenye mahojiano maalum na SasaLive.
Fuatilia zaidi https://t.co/Vurc3aySYE
#JamiiForums #Utawala #Demokrasia
DAR: Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ameyasema hayo Julai 1, 2026 alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari kwenye maadhimisho ya miaka 100 ya chimbuko la Bunge la Tanzania.
Nini maoni yako?
Fuatilia zaidi soma https://t.co/xav3XH0Vq6
#JamiiForums #Demokrasia #Utawala #JFSiasa
DAR: Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa Chama cha Ukombozi wa Umma (#CHAUMMA), Velena Gati Marwa ameyasema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Julai 1, 2026.
Fuatilia zaidi https://t.co/uP5cuP2XCU
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa #JFSiasa
@mangekimambi @MariaSTsehai Alafu kuna machawa eti diaspora wanaandaa maandamano , hivi nyie chawa mnaakili timamu? #demokrasia na #hakiyakuishi inaminywa na diaspora?
Ni hivi nyie wahaini @ccm_tanzania hatufundishwi cha kufanya kila mtu anaguswa alipofinywa . Hapa ni maandamano yasiyo na kikomo pumbafff

@MsigwaPeter Na tushajua #WizaraYaMamboYaNdani ndio wahaini wa #demokrasia na #hakiyakuishi
Mawaziri wote wizara hii kipindi cha @SuluhuSamia TUNAWABLACKLIST. nyie ndio wa kwenda @IntlCrimCourt pamoja na boss wenu muuaji mkuu @SuluhuSamia
Ndio maana hatuitaki hii #KatibaYaOfisiYaRaisi

DAR: Mwanasiasa Mkongwe, Prof. Anna Tibaijuka, aliyasema hayo Juni 19, 2026, katika mahojiano na The Chanzo.
Nini maoni yako?
Fuatilia zaidi mjadala https://t.co/57ANipid0m
#JamiiForums #Demokrasia
DAR: Mchungaji Peter Msigwa ameyasema hayo wakati akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 2, 2026.
Mdau, yapi maoni yako kuhusu kauli hii?
Soma https://t.co/JNkrsZVdnR
#JamiiForums #JFSiasa #Demokrasia
Demokrasia ya kweli hujengwa kwa kuheshimu haki, sheria na uhuru wa kutoa maoni. Tunatamani kuona haki ikitendeka kwa uwazi na usawa kwa kila mwananchi. Sauti za watu zisikike, haki itawale. #FreeTunduLissu #HakiKwaWote #Demokrasia
Mei 26, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya https://t.co/OgiXhqmXJu wakati huu📌
Zaidi tembelea https://t.co/yfy281NOQT
#JamiiForums #Demokrasia

Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.8M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers











