Top Tweets for #DigitalSlayer
#DigitalSlayer haiangazii wanawake wanaotumia mitandao ya kijamii pekee, lakini pia hata wale wasiotumia.
Ni mjasiriamali kutoka korogwe, hatumii mitandao ya kijamii kwenye biashara zake, lakini anauthubutu wa kumruhusu binti yake kuitumia kwa matumizi chanya.
#MitandaoNasisi
Korogwe #Tanga ilikuwa ni moja ya sehemu tuliyofanikiwa kutoa elimu ya juzi za kidijitali kwa wafanyabiashara mbalimbali mwaka 2023. Mwaka 2024 ni zamu yako kukufikia ulipo, kuwa tayari!
#DigitalSlayer
#MitandaoNaSisi
#DigitalSkills
#WanawakeNaDijitali
Tarehe: 06/10/2023
Mahali: PSSSF Commercial Complex
Muda: Kuanzia Asubuhi
Usije kusema hukupata taarifa.
Wenzio wameshachukua ticket zao @tukiioTZ
Chukua yako Leo.
#MitandaoNaSisi
#DigitalSkills
#DigitalSlayer
#TechWomenTZ
https://t.co/BLsrmXdG8A
Kuelekea KONGAMANO NA SOKO LA WANAWAKE NA DIJITALI Mh. @jokateM atajumuika na washiriki katika mazungumzo ya namna kila mmoja wetu anaweza kufaidikia na Mitandao ya kijamii katika biashara
Nafasi ni chache, pata ticket @tukiioTZ
#WanawakeNaDijitali
#MitandaoNaSisi
#TechWomenTZ

Hili sio Kongamano la kukosa.
Fursa ni nyingi kuliko ilivyotazamiwa.
Umejisajili?
Unajua zimebaki siku ngapi?
Chukua ticket yako @tukiioTZ
#WanawakeNaDijitali
#DigitalSlayer
#MitandaoNaSisi

Tuambie ni mwanamke yupi anayekuhamasisha zaidi mtandaoni na ungependa aongee nini katika
kongamano hili?
Mtag hapo chini na sisi tutamfikia.
Jisajili kupitia @tukiioTZ nafasi ni chache.
#WanawakeNaDijitali #MitandaoNaSisi #DigitalSlayer #TechWomenTZ
https://t.co/R67Fst64ST
Tunajua kuna wanawake wengi wenye nguvu na wenye hamasa kubwa katika ulimwengu wa mtandao.
Lakini ni nani hasa unayemkubali na ungependa kumuona kwenye kongamano letu? Tuambie ni mwanamke yupi anayekuhamasisha zaidi na ungependa aongee nini katika
kongamano hili? Mtag hapo chini na sisi tutamfikia.
Jisajili kupitia @tukiioTZ
#TechWomenTZ #MitandaoNaSisi #WanawakeNaDijitali
Unapata nafasi ya kukutana na wajuzi kujifunza mambo ya ziada ili kuboresha biashara zako mtandaoni?
#DigitalTanzania inawapa fursa washiriki wote wa program hii kupondoa sintofahamu wanazokabiliana nazo mtandaoni kupitia wakufunzi wake mahiri
#WanawakeNaDijitali
#DigitalSlayer

Unazijua mbinu mpya za kukuza biashara au huduma unayoitoa kupitia mtandao?
Usiache kushiriki katika kongamano hili tarehe 30 Mwezi huu.
Nunua ticket yako Leo @tukiioTZ
#WanawakeNaDigitali
#DigitalSlayer
#MitandaoNaSisi
#WanawakeNaDijitali
Mitandao inakupa nafasi ya kuendesha kampeni za matangazo, kujenga nembo, na kukuza bidhaa kwa njia ya kisasa.
Njoo tujifunze na tufaidike kupitia kongamano hili tarehe 30 Mwezi huu.
Nunua ticket yako @tukiioTZ
#DigitalSlayer
#TechWomenTZ
#MitandaoNaSisi

#DigitalSlayer Mwasiti anaamsha hamasa kwa wajasiliamali wote kujiuliza ni kwa namna gani wanaweza kuitumia mitandao ya Kijamii katika shughuli zao.
Njoo ujifunze & ujitangaze kupitia kongamano letu #WanawakeNaDijitali tarehe 30.
Jisajili leo @tukiioTZ https://t.co/RM3j3BNJKS
#WanawakeNaDijitali na #DigitalSlayer-Mwansiti
Mjasiriamali anayeonyesha ujasiri kwa kuweka kazi zake mtandaoni kwa lengo la kurekodi mchango wake & kuonesha upeo wa vipaji vyake
Nunua ticket yako mapema @tukiioTZ kushiriki jambo letu la Mwezi huu.
#TechWomenTZ #MitandaoNaSisi
#WanawakeNaDijitali na #DigitalSlayer-Mwansiti
Mjasiriamali anayeonyesha ujasiri kwa kuweka kazi zake mtandaoni kwa lengo la kurekodi mchango wake & kuonesha upeo wa vipaji vyake
Nunua ticket yako mapema @tukiioTZ kushiriki jambo letu la Mwezi huu.
#TechWomenTZ #MitandaoNaSisi
Baada ya Kongamano la #IWD, kuna hili la Soko la #WanawakeNaDijitali
Tunakutanisha wanawake wa kidijitali na wataalamu kutoka tasnia mbalimbali kujadili kuongeza ushiriki wa wanawake katika uchumi wa kidijitali.
Jisajili hapa https://t.co/TFOmk5AETP
#DigitalSlayer #TechWomenTZ

Kila siku ni siku mpya ya kujifunza na kufanya mambo ya kipekee! #DigitalSlayer kutoka Korogwe Tanga ameamua kuchukua hatua kuelekea ndoto zake kupitia mitandao ya kijamii.
Kwa njia ya kujifunza na kuendeleza ustadi wa ushonaji kupitia Mitandao ya Kijamii.
Kumbe mitandao sio soko TU! Mitandao inafursa nyingi, jichagulie!
#WanawakeNaDijitali #TechWomenTZ #MitandaoNaSisi
Jinsi tunavyoweza kuchukua fursa ya soko la kidijitali, kama tulivyofanya katika masoko ya kawaida, ni suala muhimu katika biashara zetu mtandaoni.
Kupitia programu #DigitalTanzania tutarajie mafanikio makubwa kutoka kwa washiriki wetu.
#TechWomenTZ #DigitalSlayer #DigitalSkills

Jiunge nasi tarehe 30 Septemba na uwe sehemu ya wanawake wa kidijitali!
Jisajili hapa π https://t.co/kdgVdwHzvJ
Tujenge mustakabali wa kidigitali unaowawezesha wanawake!
#MitandaoNaSisi #DigitalSlayer #WanawakeNaDijitali
https://t.co/9TiHYSZ6hM
#WanawakeNaDijitali welcomes every woman to participate in our grand event of learning, collaborating and inspiring each other
We look forward to seeing you at this special event on 30th of #September Register now @tukiioTZ and be part of the change!
#MitandaoNaSisi #TechWomenTZ

Mwezi #September umefika, na siku hii maalum imewadia.
Jisajili sasa kupitia app ya @tukiioTZ ili kuhakikisha nafasi yako. Usikose nafasi hii adimu ya kujifunza, kushirikiana, na kukuza biashara yako mtandaoni.
#WanawakeNaDijitali #DigitalSlayer #MitandaoNaSisi #TechWomenTZ

Kumbukizi ya Kongamano #IWD, ambalo lilikuwa dira ya kutambua mchango wa wanawake katika teknolojia
Habari njema ni kwamba, fursa inarudi tena! Ni kongamano la #WanawakeNaDijitali, tutajadili na kuhamasisha mabadiliko katika soko la kidijitali
Pata ticket @tukiio
#DigitalSlayer

#WanawakeNaDijitali
Wakati wajasiliamali wengi wakianza kufungua ofisi za biashara zao na kuzihamishia mtandaoni, ni tofauti Kwa #DigitalSlayer Recho aliyeanza kunadi bidhaa zake mtandaoni kabla ya kufungua ofisi.
#MitandaoNaSisi
https://t.co/b3tiArzY3Y
#WanawakeNaDijitali
Zile mbio za kujenga uchumi imara kwa kutumia nguvu kazi ya wanawake ndiyo hizi sasa.
Recho ni miongoni mwa #DigitalSlayer anaetumia mitandao ya kijamii kukuza na kuendeleza biashara yake.
Kutoka #Korogwe Tanga.
#MitandaoNaSisi
#WanawakeNaDijitali
Zile mbio za kujenga uchumi imara kwa kutumia nguvu kazi ya wanawake ndiyo hizi sasa.
Recho ni miongoni mwa #DigitalSlayer anaetumia mitandao ya kijamii kukuza na kuendeleza biashara yake.
Kutoka #Korogwe Tanga.
#MitandaoNaSisi
Kiingilio ni shilingi 30,000 kwa mtu mmoja ambapo utapata logo design ya biashara yako, Proffessional pictures 2, Business cards design, professional pictures 3 za bidhaa zako na refreshments!
Jisajili kupitia app ya @tukiioTZ
#WanawakeNaDijitali #TechWomenTZ #DigitalSlayer

What is generative AI and why is it so popular?
.
.
.
#DigitALL
#TechWomenTZ
#WomenInTech
#WanawakeNaDijitali
#DigitalSlayer
Last Seen Hashtags on Sotwe
ΰΉΰΈΰΈΰΈΰΉΰΈ²ΰΈ’ΰΉΰΈΰΈ«ΰΉΰΈΰΈΰΈΰΉΰΈ³
Seen from Thailand
BigBootyWhiteGirl
Seen from Malaysia
Ψ¨Ψ―ΩΩΨ§Ψͺ
kucakta
Seen from Turkey
asian voyeur filter:videos
Seen from India
TrailerUpdate
Seen from United States
cocthudam
Seen from Vietnam
chinmask
Seen from United States
donnalisi
Seen from Italy
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers






