Top Tweets for #DivaUpdates
Beautiful African Princess @officialnandy na Talented @diamondplatnumz Simba Ndio washindi wa Trace awards toka Tanzania
Tuzo za Trace Awards 2025 zimefanyika usiku wa Jumatano, Februari 26 huko Zanzibar ikiwa na Mastaa wakubwa wa muziki wa Kiafrika walikuwepo #Divaupdates

Mwanadada @poshyqueeen mpenzi wa Mwanamuziki @harmonize_tz amefunguka kuwa moja ya vitu vya gharama anavyo vaa ni pamoja na mkufu ambao alinunuliwa na mpenzi wake unaogharimu kiasi cha Shilingi Milion 9
#DivaUpdates

"katika Maisha Usipopambana , Kuomba Kunadhalilisha , Kuomba Ni Aibu ya Kwanza , Kunyimwa ni aibu Ya Pili , Kutangazwa Ni aibu Ya Tatu , Pambana sana Kutafuta Pesa , Umasikini Unadhalilisha Mno. Ndo adui pekee anaye niumiza kichwa na kunikosesha usingizi
#divaupdates
#Sports
Mpaka Sasa #Komasava By @diamondplatnumz Ndio Ngoma Namba Moja Africa Kwa Kupigwa zaidi sehemu Mbalimbali.
#Divatv #DivaUpdates

@diamondplatnumz with @BustaRhymes Making some new music , click link in my bio #DivaUpdates πΉπΏπ
@john_22_bocco akabidhiwa 2,500,000 kwa kuwa Mchezaji Bora na @emiratealuminiumprofile1
#sports @divamediaafrica #divaupdates https://t.co/OF4ZGguwtD
Maoni Yenu , chati hio apa ..
@rayvanny atikisa Chati Za Muziki Tanzania ... @divamediaafrica #Divaupdates https://t.co/1L2XppH1xH
Mwanamuziki wa Tanzania Aishie Marekani @roma_zimbabwe leo na kundi lake la @romastamina wanaachia kazi Mpya ambayo amesikika Mkali ferooz ndani Yake.
unahisi itakuwa inahusu nini?
#divaupdates @divamediaafrica https://t.co/jiZj1U6DEy
Comment tuambie Baada Ya Kusikia Wana Mahusiano Umejisikiaje?!
π§· π #divaupdates Link In My Bio for new News π€ https://t.co/Frok0uqIqk
Mpyaaaa kazipate habari usisahau subscribe Jaman acha comment Pia kazi Juu Ya Kazi @divamediaafrica #divaupdates #enews
πMatangazo DM https://t.co/HOofWnEWBH
Jaman unaambiwa Tanzania Ilishuka sana miaka 4 iliopita katika uhuru wa vyombo vya habari uliobinywa #WorldPressFreedomDay
#Divaupdates
Mwanamuziki Wa Zamani wa Miondoka Ya Kufokafoka Black Rob alietamba na Kibao cha whoa , afariki dunia.
Rest In Peace, Black Rob.
@divamediaafrica
#divaupdates
#Podcast
link in My bio
https://t.co/XaOH3QXMWn
"Tunatamani kuona watanzania wanapokelewa, wanasikilizwa na kuhudumiwa katika ofisi zenu, ili huduma wanazotakiwa kupata ziwafikie" Mhe. Kassim Majaliwa,
#divaupdates @divamediaafrica @shopatdiva
https://t.co/sSD9M3A8jb
Magazeti Ya Leo .
Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Biashara, Burudani, Michezo na umbea kuvuta siku yako basi weka notification on.
24hrs Providing latest nees @divamediaafrica
#divaupdates
https://t.co/Cw5MNfe3Jt
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @samia_suluhu_hassan
anaendelea na zoezi la kuwaapisha viongozi wateule mbalimbali muda huu Ikulu Dar es salaam.
#divaupdates @divamediaafrica
https://t.co/W3Y1uXDSny
Ibada Takatifu Imeisha na sasa ni muda wa Mwili kutoka kanisani St.Peters na baada Ya hapa sasa Mwili unaelekea uwanja wa uhuru kwa viongozi kwenda toa heshima za Mwisho
#divaupdates #Tanzania
Mapema leo @flavianamatata akiwa katika kazi za kijamii kuchangia Pads kwa watoto wa kike
link in bio for more
#divaupdates @divamediaafrica
whatsapp 0656 336919 ku advertise biashara yako.
https://t.co/F5q0RyGfzq

Last Seen Hashtags on Sotwe
FindNYCulture
public #cum
Seen from United States
KayleyGunner
Seen from United Arab Emirates
ladyboy
Seen from Singapore
anxiouspanda #minichat #snapchat
Seen from Netherlands
genczmo
Seen from United States
sopasdepostores
Seen from United States
REFI
Seen from Argentina
AIArtworks
Seen from Saudi Arabia
studioWTH
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers

