Top Tweets for #DizzimUpdates
#DizzimSports: Klabu ya Simba imepangwa na Orlando Pirate FC ya Afrika Kusini katika mchezo wa hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika.
#DizzimUpdates #DizzimTV #DizzimOnline
#WeGotYouCovered
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Tulia Akson amemwapisha Mbunge wa kuteuliwa, Shamsi Vuai Nahodha kushika wadhifa huo leo Aprili 5 jijini Dodoma.
#DizzimUpdates #DizzimTV #DizzimOnline
#WeGotYouCovered

#DizzimUpdates: Uongozi wa Bunge la Tanzania umetangaza kuwa kuanzia kesho Aprili 05/2022 vikao vya Bunge hilo vitakuwa vikirushwa moja kwa moja (Live)
#DizzimTv #DizzimOnline #DizzimUpdates

#DizzimUpdates: Waziri wa Kilimo nchini Tanzania Hussen Bashe amesema ni kweli Kuna tatizo la mafuta ya kula nchini.
Waziri Bashe amesema Mahitaji ni tani laki sita na nusu na Uzalishaji wa ndani hauzidi laki mbili na nusu.

#DizzimSports: Droo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) inapangwa kesho Jumanne huku Simba ya Tanzania ikitarajiwa kukutana na, Al Ahli Tripoli (Libya), Orlando Pirates (Afrika Kusini) au TP Mazembe (DR Congo).
Cc @exaud_msaka_habari ✍
#DizzimTv #DizzimUpdates

Tayari Makundi ya Michuano ya Kombe la Dunia itakayochezwa huko Qatar mwaka huu wa 2022 yamewekwa hadharani
Vipi kwa mtazamo wako lipo ni kundi la kifo na lipo kundi linaloonekana rahisi hapo?
#DizzimUpdates #DizzimTv

Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Machi 31 2022 amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri ambapo amemhamisha Damas Daniel Ndumbaro (aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii) Kuwa Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria.
#DizzimUpdates

Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) imempitisha na kumpendekeza aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara wa chama hicho leo Alhamisi Machi 31, 2022
#DizzimTv #DizzimUpdates #DizzimOnline

Mchezaji wa Yanga Princess na timu ya Taifa ya Wanawake @twigastarstz Aisha Masaka ameondoka kuelekea Sweden kujiunga na Timu ya BK HACKEN.
#DizzimUpdates #DizzimTV #DizzimOnline #DizzimSports #WeGotYouCovered

Aidha Mwanamke huyo naye aliulizwa achague kati ya huduma ya jamii na viboko 10 ambapo alipendelea kupigwa viboko 10 ambapo naye aliadhibiwa
#DizzimTv #DizzimOnline #DizzimUpdates
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa taarifa kuwa Faru Rajabu amefariki dunia
Faru Rabaju amefariki usiku wa kuamkia leo Machi 21, 2022 akiwa na miaka 43. Faru Rajabu ni mtoto wa Faru John ambaye naye alifariki mwaka 2015.
#DizzimOnline #DizzimTv #DizzimUpdates

#DizzimUpdates: Klabu ya Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli moja kwa sifuri dhidi ya RS Berkane ya Morocco
Goli la Simba Sc limefungwa na Pape Sakho katika dakika za mwisho za kipindi cha kwanza #DizzimTv

#DizzimUpdates: Katika kuhakikisha kunakuwa na weledi katika Utamgazaji, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania @tcra_tanzania imeendesha mafunzo maalum kwa watangazaji na wafanyakazi wa #DizzimTv

#DizzimUpdates: Mwanaume mmoja Raia wa DR Congo aliyetambulika kwa jina moja la Luwizo ameingia kwenye rekodi baada ya kufunga ndoa na wanawake watatu ambao ni mapacha kwa wakati mmoja
https://t.co/4ea0Prl3IZ

Aidha ametawaka wanajeshi wa Ukraine waziondoe alama za barabarani ili kupoteza mwelekeo kwa wanajeshi wa Urusi wakitembea ndani ya nchi hiyo.
#DizzimUpdates #DizzimTv #DizzimOnline
#DizzimUpdates: Wakati mapigano ya wanajeshi wa Urusi na Ukraine yakiendelea, mshindi wa taji la Miss Ukraine mwaka 2015, Anastasia Lenna ametangaza kuingia vitani kusaidia nchi yake


#DizzimUpdates: Shirikisho la mchezo wa Judo Duniani limemsimamisha uanachama Rais wa Urusi Vladmir Putin
Putin alikuwa Rais wa Heshima wa Mchezo huo duniani #DizzimTv https://t.co/xGdJDgGCCd

#DizzimUpdates : Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kuwa Polisi mkoani hapo wanamshikilia mkazi wa mtaa wa Buguku kata ya Buhonga jijini Mwanza, Diana Bundala (39) maarufu kama "Mfalme Zumaridi" kwa kosa la usafirishaji haramu wa binadamu 149. #DizzimTv

Katika taarifa yake wizara hiyo imesema wameweza kuzuia majeshi ya Russia kuendelea kuingia kwa kutumia mpaka wa Belarus uliopo umbali wa kilometa 32 kufikia mji mkuu.
#DizzimTv #DizzimOnline #DizzimUpdates
Last Seen Hashtags on Sotwe
2019年6月5日
Seen from Germany
nolimit nolimit()*+filter:native_video
Seen from Germany
EMillion
Seen from United States
Bigblackdick
Seen from United States
東郷重位
Seen from United States
rashmer con
Seen from Italy
omegle
Seen from Norway
dom
Seen from Turkey
ตัดต่อรูปโป๊
Seen from Thailand
D・N・A2
Seen from Japan
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.7M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.8M followers





