Top Tweets for #EAtv
#VIDEO Mzee Athumani Hassan Ally mkazi wa Mwembe Yanga mkoani Dar es Salaam ana umri wa miaka 84 kwa sasa, hapa amekutana na kamera ya #EATV na kuelezea siri za maisha yake ambayo hayana magonjwa makubwa kama Presha , Sukari nk.
Pia anasema siri ni kuepuka wanawake ambapo mpaka umri huu ameshaoa wanawake wawili tu, hebu msikilize ujifunze jambo. #EastAfricaTV
Mwigizaji Mkongwe wa filamu Tanzania #HashimKambi amefariki dunia siku ya leo jijini Dar Es Salaam
#EATV #EARADIO Tunatoa pole kwa Familia ndugu jamaa na marafiki pamoja na Wanatasania ya filamu kwa kuondokewa na mpendwa wao.
#EastAfricaTV #HainaKuchoka #TogetherTunawakilisha

Siku chache zimepata hapahapa kupitia page yetu ya #EATV tulipost kuhusu album ya msanii gani kati ya @marioo_tz na @mbosso_ unaweza kuisikiliza kwanza kabla ya nyingine.
Sasa tumekuletea majibu ya kura zilizopigwa na mashabiki wa wasanii hao na #Mbosso ameondoka na ushindi wa asilimia 67 huku #Marioo akiwa amendoka na kura asilimia 33.

π¨ππππππ
βMalengo yetu Yanga yalikuwa ni kufika hatua ya Makundi ambayo tayari tumefika tunaangalia uwezekano wa kufika hatua inayofuata, tuna alama 4 ila hazitupi uhakika wa kufika robo fainaliβ Ali Kamwe, Afisa Habari wa Yanga SC.
Cc. #EaTVπ«‘
#MeaMswahiliUPDATES
π¨ππππππ
βSimba tuna bahati sana kuwa na mwenyekiti kama Murtaza Mangungu, ni kiongozi bora, kwenye mkutano mkuu wa Simba kuna wanachama waliokwenda wakiwa na malengo yao binafsiβ @mchomemapovu β Shabiki wa Simba SC.
Cc. #EaTVπ«‘
#MeaMswahiliUPDATES
π¨ππππππ
"Mimi ni shabiki kindakindaki, lia lia wa Simba, nipo tayari hata kufa kwaajili ya Simba, tukifungwa najisikia vibaya sanaβ @mchomemapovu β Shabiki wa Simba SC.
Cc. #EaTVπ«‘
#MeaMswahiliUPDATES
Shuhudia Chifu wa waganga akiwapa onyo waganga wanaofanya vikao vya siri.
Hii imetokea huko Mwanza.
#KURASA KILA SIKU
#EATV
Saa 11:55 Jioni
Pia ifuatilie katika mitandao #EastAfricaTV
SWALI LA SIKU OCTOBER 15, 2025
Ulishawahi kukata tamaa katika maisha yako?
Maoni yako yatasomwa LIVE kwenye #EATVSAA1 na JOHN LUPOKELA
#EATV SAA1
Kila Jumatatu β Ijumaa
1: 00 β 2:00 Usiku
Tunapatikina LIVE katika mitandao yetu ya kijamiii kwa anwani ya @Eastafricatv
#EATVSAA1

#KURASA LEO
Huko Katavi wazazi na walezi wametakiwa kuzingatia malezi bora watoto kwa kuwapatia mahitaji yao mhimu ili wasiingie katika vitendo viovu.
#KURASA KILA SIKU
#EATV
Saa 11:55 Jioni
Pia ifuatilie katika mitandao @eastafricatv
#KURASA LEO
Mtu asiyejulikana atupa mtoto mdogo akiwa hai.
#KURASA KILA SIKU
#EATV
Saa 11:55 Jioni
Pia ifuatilie katika mitandao #EastAfricaTV
#FridayNightLive ipo hewani ndani ya ting'a namba moja ,hakikisha remote imetulia mahali pake na dada wa kazi hapiti mbele ya tv.
Acha buruddani iongee.
#FridayNightLive #Eatv

Shoutout kwa kila anayeheshimu ubunifu na consistency yake.
Kama nawe ni Team #Msafii drop π₯ kwenye comment!
βπΎ : @GoodluckEpafra
#RichMsafii #EastAfricaRadio #EATV #HainaKuchoka

#VIDEO Baada ya Jeshi la polisi kutoa taarifa ya kukamatwa kwa watuhumiwa wawili waliohusika na kifo cha kijana Enock Thomas Mhangwa (25) mkazi wa kijiji cha Uyovu wilayani Bukombe mkoani Geita kwa tuhuma ya kijana huyo kuiba Kompyuta na mashine za kunyolea nywele #EATV imefika nyumbani kwa marehemu na kuzungumza na mama yake mzazi juu ya tukio hilo. #EastAfricaTV
#VIDEO Umelionaje Bunge bila Kambi rasmi ya Upinzani ? Fuatilia #Mjadala kupitia #EATV vijana wanajadili Bunge walitakalo baada ya uchaguzi Mkuu ujao #EastAfricaTV
#VIDEO Mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Babati Day wilayani Babati Mkoani Manyara Binti Mwenye umri wa Miaka 15 amekutwa amefariki chumbani kwake alikutwa anatokwa na mapovu mdomo na puani bila kujua chanzo cha kifo chake .
#EATV inaendelea kumtafuta Kamanda wa polisi ili kutoa taarifa kamili za kifo cha mtoto huyo #EastAfricaTV
#VIDEO Unaonaje uwezo wa vijana walioaminiwa katika maeneo mbalimbali ya kiongozi serikalini ? Endelea kufuatilia #Mjadala unaoendelea ndani ya #EATV muda huu #EasyAfricaTV
#VIDEO Moja ya vijana wanasiasa kutoka Mkoani Geita anasema kuwa Vijana wa sasa wanapenda siasa kuliko vijana wa zamani jambo ambalo ni nzuri, Unamtazamo gani kwenye hili, Fuatilia kipindi cha Mjadala kinaendelea sasa ndani ya #EATV #Mjadala #EastAfricaTV
Chadema wamefika mahakamani leo hawajamkuta Jaji. Imekuaje ? Usikose kutazama #EATVSAA1 leo itakapotimia saa moja usiku hapa #EATV.
Cc @exaudwamtei
Last Seen Hashtags on Sotwe
momsonn(*)** filter:videos
Seen from United States
ZenlessZoneZero
Seen from Singapore
nolimits() since:1800-08-03 filter:native_video
Seen from Canada
BlackBottom
Beyourluve
Seen from United States
GUTSWorldTour
Seen from United States
momsonn()()()()()()()()() + filter:native_video
Seen from Australia
ε₯³ζ§ε΄ζ
Seen from Japan
NaturePhotography
Seen from United States
momsonn ()****** + filter:media() -filter:images
Seen from Germany
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.7M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers



