Ep Yetu Ambayo Tunaisubiri Kwa Hamu inaitwa
#Khan Kesho Tutaitambulisha Rasmi Pale @barrabeachtz
na Kuanzia Saa Sita Usiku Baada Ya Utambulisho Rasmi
itaanza Kupatikana Kwenye Digital Platforms Zote Duniani
#Khan#KHANEP#KhanFc
Alhamis Hii October 27 nitakuwa na Launch rasmi
Ep Yangu katika fukwe za @barrabeachtz " Bahari Beach"
Dar Es Salaam kuanzia Saa 12 jioni nikiambatana na Rafiki
Mbalimbali, Kaa na Mimi kujua Unapataje Mualiko wako...
ila je, we Unadhani Ep itakua na Nyimbo Ngapi na inaitwaje?