Top Tweets for #EONII
Habari njema kwa wasafiri wanaotumia Shirika la Ndege la AIR FRANCE, ambapo ile filamu ya mapinduzi ya sanaa nchini, #Eonii sasa inapatikana kwenye ndege za shirika hilo na itaoneshwa hadi Juni 30 mwaka huu.
Huna haja kuhangaika ni filamu gani itakukata kiu yako ya burudani na kukupoza na uchovu wa usafiri angani, tafuta filamu yako pendwa ya kwanza ya kisayansi Tanzania inayotoa mweleko wa sanaa inapopaswa kwenda.
Hongera kwa Azam Media LTD pamoja na Power Brush Studios kwa hatua kubwa, ambayo imefikiwa na filamu ya EONII tangu kuachiwa kwake rasmi Juni 2023, ikiwa imeshinda tuzo za kimataifa mbili, Tamasha la Nchi za Jahazi (#ZIFF2023) pamoja na Swahili International Film & Awards Festival (#SIFFAAwards2023).
Mbali na tuzo hizo, #EONII2023 pia imeshiriki matamasha mbalimbali ya kimataifa, ikiwemo Tamasha la Kimataifa la Filamu Afrika (#AFRIFF2023) lililofanyika nchini Nigeria.
#EONIITheMovie #TheFutureBeckons #AzamMedia #AzamTV

Two Official Trailers for African Indie Sci-Fi Film 'EONII' from Tanzania https://t.co/tk9q7TyvYd
#scifi #Tanzania #AfricanCinema #EddieMzale #EONII

UZINDUZI WA KAZAMOYO NA LOLITA: Mwandishi wa tamthilia inayoisha ya #FunguLangu, Nikson Kagisa ameipongeza Azam Media kwa uwekezaji wake kwenye tasnia ya filamu, huku akitolea mfano filamu ya #ZIFF2023, #EONII ambayo imeandaliwa na #AzamTV kwa kushirikiana na Power Brush Studios.
Fungu Langu itatoa mkono wa karibu kwa tamthilia mpya ya #Kazamoyo itakayoanza Agosti 04 mwaka huu, pale pale kwenye nyumba ya vipaji na burudani #SinemaZetu
DAR NA BADO ๐ฅ
Kwa siku tatu zaidi filamu ya #EONII itaendelea kuonekana kupitia ukumbi wa sinema wa Century Cinemax Mlimani City jijini Dar es Salaam hadi Julai 20 mwaka huu.
Kama bado haujaitazama kata tiketi yako sasa ili usipitwe na filamu hii ya kibabe yennye msisimko wa aina yake.
#EONIITheMovie #EONII2023
In the distant future, resources in Tanzania are running out & people fight endlessly for survival.
Blood fills the streets and smog fills the air.
Watch EONII movie through #AzamTMAX App or #AzamTVWebApp
#Lies, #Politics, #Betrayal, #EONII #EONII #AzamTVMAXApp
WIKI YA BURUDANI DAR ES SALAAM
Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ndiyo hii leo, ambapo wakazi wa Dar es Salaam na viunga vyake wataishuhudia Filamu iliyoshinda Tuzo Bora ya #ZIFF2023 #EONII inayoletwa kwenu na Power Brush Studio kwa kushirikiana na #AzamTV katika ukumbi wa Century Cinemax Mlimani City, ambapo itaoneshwa wiki nzima hadi Julai 13, 2023.
Filamu hii itaoneshwa kuanzia saa 1:45 usiku kwenye ukumbi mkubwa zaidi (The Main Theatre) @cctanzania
Kata tiketi yako mapema ili usipitwe na siku ya kwanza ya kihistoria ๐คฉ
#EONIITheMovie #EONII2023 #EONIIMovie2023 #EONIIMovie

MWANZA NA DODOMA MMEFIKIWA ๐
Filamu Bora ya #ZIFF2023 #EONII inayoletwa kwenu na Power Brush Studio kwa kushirikiana na #AzamTV itaoneshwa leo Julai 7 hadi 9 katika ukumbi wa Misterious Sinematix Mwanza (Rock City Mall) na Dodoma kuanzia saa 1:00 jioni kwa kingilio cha shilingi Tsh 5,000/-Tshs.
Fanya โbookingโ kupitia namba zifuatazo 0766296553 - Mwanza na kwa Dodoma ni namba 0767099999.
#EONIITheMovie #EONII2023 #EONIIMovie2023 #EONIIMovie
Kama bado haujaitazama Filamu Bora ya #ZIFF2023 #EONII haujachelewa, unaweza kuitazama kupitia programu tumishi ya #AzamMaxApp ama kupitia tovuti yetu ya #AzamMaxWeb kwenye simu yako kiganjani.
Cha kufanya ni rahisi, bonyeza kiunganishi (link) kwenye bio yetu itakayokupeleka moja kwa moja kwenye tovuti yetu yenye viunganishi vya AppStore na Google PlayStore ambako app yetu inapatikana pia.
#EONIITheMovie #EONII2023 #EONIIMovie2023 #EONIIMovie

Hiki ndicho alichokisema Mwandaaji na Muongozaji wa filamu ya #EONII, Eddie Mzale baada ya filamu hiyo kutwaa tuzo ya Filamu Bora kwa Mwaka 2023 kwenye tuzo zinazoandaliwa na Tamasha la Kimataifa la Nchi za Jahazi (ZIFF).
#EONII2023 #EONIITheMovie #EONIIMovie #EONIIMovie2023
Kama ulipitwa na usiku wa Tamasha la Nchi za Jahazi (ZIFF 2023, tunakusogezea namna ambavyo Filamu Bora ya Mwaka kwenye Tamasha hilo, #EONII ilitajwa. ๐
#EONIITheMovie
#SabasabaSpecial
Vipenzi vya wengi, burudani ya kila nyumba #OsmanBey na #Eonii
Burudani kwa watoto na kila mmoja anataka kupiga nao picha.
Njoo #BandaLaAzam ndani ya #Sabasaba upate PUNGUZO BAABA KUBWA litakaloiwezesha familia kufurahia tamthilia zetu.
- Kisimbuzi cha Dish Full kikiwa na kifurushi cha 23,000/- kwa - 145,000/- tu
- Kisimbuzi bila Dish kwa 95,000/-
- Kisimbuzi cha Antenna Full - 65,000/-
- Kisimbuzi bila Antenna 49,000/-

Kama bado haujaitazama Filamu Bora ya #ZIFF2023 #EONII haujachelewa, unaweza kuitazama kupitia programu tumishi ya #AzamMaxApp ama kupitia tovuti yetu ya #AzamMaxWeb kwenye simu yako kiganjani.
Cha kufanya ni rahisi, bonyeza kiunganishi (link) kwenye bio yetu itakayokupeleka moja kwa moja kwenye tovuti yetu yenye viunganishi vya AppStore na Google PlayStore ambako app yetu inapatikana pia.
#EONIITheMovie #EONII2023 #EONIIMovie2023 #EONIIMovie

NI EONIIIIIIIIIII ๐ฅ๐ฅ
Filamu ya #EONII imetajwa kuwa filamu bora ya Tamasha la Nchi za Jahazi (ZIFF) kwa mwaka 2023.
Hongera kwa timu nzima ya Power Brush Studios na #AzamMedia kwa ujumla kwa kazi hii ya kipekee ๐คฉ
#ZIFF2023 #ZIFF #Zanzibar #zanzibarinternationalfilmfestival

ZIFF 2023: Filamu ya #EONII inaonekana muda huu kupitia Tamasha la Nchi za Jahazi (ZIFF).
Mambo ni mengi haswaaa ๐
๐ฅ Shangwe la Wazanzibar kwa kijana wao wa nyumbani Eddie Mzale lilikuwa juu pia.
Kama uko Zanzibar, sogea Ngome Kongwe muda huu uweze kuitazama filamu hii kupitia Tamasha la Nchi za Jahazi (ZIFF) kwa msimu wa 26.

Muda wa kutazama Filamu ya EONII katika AzamTVMax App na AzamTV Web App.
Tazama filamu hii kwa kulipia kifurushi cha shilingi 2,000 kwa waliopo Tanzania ama Dola moja kwa waliopo nje ya Tanzania.
Kwa kifurushi hiki utaweza kutazama movie hii ndani ya siku saba.
#EONII #AzamTVMaxApp



Serikali inaendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya filamu nchini kupitia Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania ambao miongoni mwa wanufaika wa mfuko huo ni wasanii wa filamu ili kuboresha kazi zao ziwe na kiwango cha kimataifa. Amesema Katibu Mkuu @yakubu_saidi #Eonii

ASANTENI REDIO YA NYUMBANI @ufmradiotz: Leo tulifikisha jambo zito, kubwa na la kihistoria, ambapo tuliitangaza rasmi Juni 23, 2023 (kesho) kuwa siku ya kihistoria tutakapozindua filamu mpya ya #EONII pale Mlimani City kuanzia saa 12:00 jioni.
#EONIITheMovie #SinemaZetu #HakikaNiZaKwetu #EONII2023 #EONIIMovie2023 #EONIIMovie #KituKingine #JamboKubwa #HiiNiKubwaZaidi

Last Seen Hashtags on Sotwe
เธเธฑเธเนเธขเนเธเธเธญเธขเนเธเธ
Seen from Thailand
bursatravesti
Seen from Turkey
darkzadie
Seen from Singapore
้กถ่
Seen from Saudi Arabia
Teenagee()***&Momson()*****
nolimit() or #momson() +filter:native_video
Seen from United States
ๅค่ณๅๆฏ่ญฐๅก่พ่ทใ่ฆๆฑใใพใ
Seen from Japan
baitboys
Seen from Peru
omegle()*** + filter:native_video
Seen from United States
ุฏููุช_ุจุฏูู
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.6M followers

X 
@x
60.8M followers




















