Top Tweets for #ESTACHALLENGE
Zoezi la utoaji wa zawadi kwa washindi wa #ESTACHALLENGE litafanyika siku ya jumapili ya tarehe 26 februari 2023 katika viwanja vya JCB STUDIOZ, TEGETA AZANIA - DAR ES SALAAM; kuanzia saa 04:00 asubuhi.

Tunapofikia mwisho wa #ESTACHALLENGE hawa ndio washindi waliopatiokana katika upande wa Sauti ya Pili(ALTO) kutokana na mchakatk mzima wa challenge hii kuanzia katika mitandao ya kijamii na Live Audition iliyofanyika siku ya Jumapili ya tarehe 12 februari 2023

Tunapofikia mwisho wa #ESTACHALLENGE hawa ndio washindi waliopatiokana katika upande wa Sauti ya Kwanza(SOPRANO) kutokana na mchakatk mzima wa challenge hii kuanzia katika mitandao ya kijamii na Live Audition iliyofanyika siku ya Jumapili ya tarehe 12 februari 2023

#ESTACHALLENGE Updates.
Mchakato bado unaendelea ili kuwapata washindi wa #ESTACHALLENGE. Na hawa ndio waliofanikiwa kuingia katika hatua ya pili ya mchakato huo. Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.
Wimbo wa ESTA unapatikana katika Youtube Channel yetu.
#ESTA

Na Leo ndio tunafikia mwisho wa #ESTACHALLENGE . Washindi watatangazwa mara baada ya mchakato wa kuwapata washindi kukamilika...
Endelea kushiriki mibaraka ya huduma hii pamoja nasi na endelea kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamiii ili kupata taarifa kamili.

#ESTACHALLENGE UPDATES...
Unaweza kushiriki sasa. Siku zimebaki chache washindi kutangazwa.👏🏾
Wimbo: 👇🏽
https://t.co/6IPf5jGCLj
Instrumental: 👇🏽
https://t.co/qpAoZ5yWZV
#thelightbearerstz

#ESTACHALLENGE updates...
SHIRIKI SASA.!!
Zawadi ni kwa washindi watatu wa Sauti ya kwanza (Soprano) na kwa mshindi mmoja wa Sauti ya pili (Alto)
NB: Mwisho wa Challenge ni tarehe 31 Januari 2023 na washindi watatangazwa tarehe 04 Februari 2023.
#esta #thelightbearerstz

Happy sabbath...
ESTA Official Video is now available in our Youtube Channel...
#ESTACHALLENGE is on progress till 04th february.
#esta #thelightbearerstz #jcbstudioz #joshshotit

Kwa namna ya pekee The Light Bearers Tz Pamoja na JCB STUDIOZ TZ, wanakuletea #ESTACHALLENGE(Sopranos & Altos) ambayo itadumu kwa takribani mwezi mmoja, kuanzia leo hii mpaka tarehe 04 Februari 2023...

Last Seen Hashtags on Sotwe
minichatt() video
Seen from Turkey
dramajapan
Seen from Malaysia
ใจบาปแป๊ป
Seen from United States
czech
Seen from Oman
معصيتي_راحتي
Seen from Israel
gayjogja
Seen from Indonesia
BeSafeDoSafe
Seen from United States
brosis
Seen from Turkey
รับงานพระอินทร์
Seen from Thailand
รับงานอุบล
Seen from Thailand
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers

