Top Tweets for #FMFproject
Wakati @FMFound tunafanya miradi yetu mwaka huu mwanzoni tukagundua kuwa shule hii ina upungufu wa matundu ya vyoo na hivyo tumejenga matundu 12 ya vyoo , chumba cha kujisitiri pamoja na kichomea taka .#FMFProject
~Lineth Masala

Sisi kama @FMFound tuko mkoa wa Shinyanga kwa muda wa miaka 5 sasa na katika shule hii tuna wanafunzi watano wanaonufaika na mradi wa ufadhili wa masomo na wanafunzi 30 wanaopata ufadhili wa pedi kwa mwaka mzima.#FMFProject
~ Lineth Masala

Sisi Kama Taasisi Sasa Tunafanya Uchechemuzi Wa Masuala Ya Hedhi Na Kupinga Ukatili Na Kama Alivyosema Mkurugenzi Wetu Lengo Kuu La @FMFound Ni Kuhakikisha Mtoto Wa Kike Anabaki Shuleni.#FMFProject
~Lineth Masala

Mradi Wa Vyoo Chini Ya Taasisi Ya @FMFound Umezinduliwa Leo Tarehe 3 October Na Kukabidhiwa Shule Ya Sekondari Masekelo Mkoani Shinyanga.
#FMFProject

Taasisi Ya @FMFound Wamehekikisha Na Wameweza Kupitia Miradi Yao Inayolenga Kutatua Changamoto Za Mtoto Wa Kike Pindi Anapokuwa Shuleni Kwa Kutengenezea Mazingira Bora Hasa Katika Sekta Ya Elimu Na Afya Sambamba Na Kuunga Mkono Jitihada Za Serikali.
#FMFProject

Leo, October 03, 2024 Taasisi ya Flaviana Matata kwa ufadhili wa DIAMONDS DO GOOD (DDG) wamekabodhi chumba maalumu kwa wasichana kujistiri wakati wa hedhi na matundu 12 ya vyoo katika shule ya sekondari Masekelo, mkoani Shinyanga.
#FMFProject

Flaviana Matata Foundation Leo Wako Shinyanga Shule Ya Sekondari Masekelo Kupitia Muendelezo Wa Utekelezaji Wa Miradi Ya Kila Mwaka Na Leo Lipo Jambo Kubwa Wamefanya Usikae Mbali
#FMFProject

“Hedhi salama ni hali ya msichana aliye ktk hedhi kupata pedi / Doso , kupata maji ya kujisafishia , chumba cha kujisitiri na kubadilishia vifaa vyake pia kupata sehemu ya kutupa au kuchoma pedi anapomaliza " Agness James Mwanafunzi wa shule ya sekondari Ndala #FMFProject

FMF tumetembelea shule ya sekondari Mtwango kwa ajili ya kuzungumza na wanafunzi kusikiliza changamoto zao pamoja na kutoa elimu juu ya Hedhi Salama na Afya ya Uzazi . Jumla ya wanafunzi 898 wamenufaika na elimu hii na kutoa maoni yao mbalimbali.
#FMFProject #EducationForAll
Ni muhimu sana kuwaelimisha watoto kuhusu matumizi sahihi ya teknolojia. Utandawazi ni kitu kizuri ila pia unakuja na athari zake endapo watoto wanapokosa muongozo sahihi.
#AjendayaMsichana2023 #GirlsEducationforAll #FMFProject
@girlagendatz @Dr_DGwajima @UNICEFTanzania
Breaking barriers for adolescent girls!
As we celebrate International Girl Child Day, let’s keep championing for transformational changes that will actually support girls future and their wellbeing.
#GirlChildDay #IGD2023 #ajendayamsichana2023 #FMFProject #EducationForAll

Hii shule ina wanafunzi 1001 na walikua wanatumia Vyoo sita pekee ikiwa viwili vya wanaume na vinne Kwa wanawake . @FMFound wamewapatia Vyoo vizuri na vya kisasa kabisa #FMFProject
Yaani Niko hapa kuwapa maua Yao @FMFound Kwa ujenzi matundu 24 ya vyoo pamoja na chumba maalum kwaajili ya wasichana kujisitiri katika shule ya sekondari Mazinge iliyopo mkoani Shinyanga #WASH #FMFProject

Shule ilifunguliwa mwaka 2007 ikiwa na wanafunzi 70 na sasa mwaka 2023 tuna wanafunzi 1001 ikiwa na matundu 6 ya Vyoo ambapo matundu 4 Kwa ajili ya wasichana na matundu 2 Kwa ajili ya wanaume na hivyo sisi tumeongeza Jumla ya matundu 24 na Chumba cha Kujisitiri #WASH #FMFproject
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Mhe. Johari Samizi akizindua na kukabidhi mradi wa matundu 24 ya vyoo pamoja na chumba maalum kwaajili ya wasichana kujisitiri, uliotekelezwa na taasisi ya Flaviana Matata katika shule ya sekondari Mazinge iliyopo mkoani Shinyanga #WASH #FMFProject

“ Napenda kuwasihi wanafunzi wa hapa shuleni Kusoma Kwa bidii kwani elimu ndiyo itakayotukomboa kutokana na umasikini " Mh Johari Samizi Shinyanga DC #WASH #FMFProject

Mimi ni mwanashinyanga ,nimezaliwa Shinyanga na Leo nimeambatana na Baba yangu na namshukuru Sana Kwa kuambatana na Mimi siku ya Leo Kwa I Mara nyingi amekua akisisikia tunafanya kazi Ila Leo ameshuhudia tunayoyafanya " @FlavianaMatata Mkurugenzi FMF #WASH #FMFProject

Girls education, education for all . Elimu Kwa wasichana ,Elimu Kwa wote ndio salamu yetu hapa shuleni Manyunyu #EndPeriodStigma #EndPeriodPoverty
#FMFProject

Mazinge kwa sasa ina jumla ya wanafunzi 1,080 ambao wanategemea matundu 6 tu ya choo, mazingira ambayo si rafiki hasa kwa wasichana katika upande wa usafi na hedhi salama.
#MiradiyaFMF #HedhiSalama #FMFProject #WASH

FMF ni taasisi ambayo ina lengo la kutatua changamoto mbali mbali zinazowakabili watoto wa kike katika kufikia ndoto zao #FMFProject #Teachers

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers






























