Top Tweets for #FNWW
Bondia Hassan Mwakinyo usiku wa jana baada ya kumpiga Bondia wa Ghana Elvis kwa KO katika raundi ya 7, Ametumia nafasi hiyo kutuma salamu mkoani Morogoro kwa bondia Twaha Kiduku na Kusema kuwa hamuogopi mkali huyo wa Masumbwi.
#FazaNationWorldWide πππ #Mwakinyo #FNWW πππ
Achiraf Hakim na kufanya mazungumzo mafupi Kuhusu baadhi ya vivutio vya Utalii vinavyopatikana nchini #Tanzania ambapo Hakim binafsi amekiri kuwahi kutembelea Visiwani Zanzibar.
#FazaNationWorldWide πππ #YoungAfricans #YangaSC #YangaTanzania #YangaSportsClub #FNWW πππ
Rais wa Yanga SC na Mwenyekiti wa Vilabu Barani Africa , Injinia Hersi Said akiwa katika ziara yake ya Kimichezo nchini Ufaransa , Amefanikiwa kukutana na beki wa #PSG na timu ya Taifa ya #Morocco ,
#FazaNationWorldWide πππ #YoungAfricans #AchirafHakim #Tanzania #FNWW πππ
Video ikiwaonyesha wakali wa #AfroBeats kutokea #Nigeria , #DAVIDO na #ASAKE wakiimba wimbo wa #NoCompetition kwenye tamasha la #Weloveyafestival lililofanyika huko nchini Benin.
#FazaNationWorldWide πππ #DMW #Benin #AsakeMusic #FNWW πππ
Stars itapiga kambi ya siku tatu visiwani humo kabla ya kocha mkuu Adel Amrouche kutangaza kikosi cha mwisho kitakachokwenda nchini Misri kuendelea na maandalizi ya mashindano hayo.
#FazaNationWorldWide πππ #TaifaStars #AFCON2024 #KilimanjaroStars #ZanzibarHeroes #FNWW πππ
Kikosi hicho jana Jumatano kilicheza mchezo wa majaribio ambapo wachezaji waligawanyika katika vikosi viwili na kutoa vikosi vya #KilimanjaroStars na #ZanzibarHereos mchezo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana.
#FazaNationWorldWide πππ #TaifaStars #AFCON2024 #FNWW πππ

Kikosi cha timu ya Taifa Tanzania #TaifaStars kimeanza mazoezi yake rasmi visiwani #Zanzibar ikiwa ni maandalizi ya Mashindano ya #AFCON yanayotarajiwa kutimua vumbi January 2024, nchini #IvoryCoast.
#FazaNationWorldWide πππ #Msuva #Tanzania #TaifaStars #AFCON24 #FNWW πππ

Kutokea Lagos , Nigeria katika tamasha la #WarriAgain mwanamama #TiwaSavage alikutana na Mkasa huu , Baada ya shabiki mmoja aliyehudhuria Show hiyo kumngβangβania wakati akitoa burudani katika siku ya Christmas.
#FazaNationWorldWide πππ #Tiwa #Lagos #AfroBeats #FNWW πππ
Sanaa hiyo ya mapigano ilipewa jina la #Karate ikiwa na maana ni Kujihami pasipo matumizi ya Silaha, Lengo lake kuu likiwa Ni kuisaidia jamii na si Kuumiza watu.
#FazaNationWorldWide πππ #Quavo #QuavoHuncho #MigosATL #Hiphop #Japan #Huncho #FNWW πππ
Rapa kutokea nchini Marekani #QuavoHuncho (Quavious Keyate Marshall) ambaye alikuwa Anaunda kundi la muziki la #Migos zamani , Amesafiri mpaka nchini Japan kwa lengo la Kujifunza mchezo wa mapigano wa Karate ambao ni maarufu nchini humo .
#FazaNationWorldWide ππ #FNWW πππ
Beki wa kati anayekipiga kunako Manchester United , #HarryMaguire ametangazwa kama mchezaji Bora wa Mwezi Novemba wa #PREMIERLEAGUE
#FazaNationWorldWide πππ #Maguire #ManchesterUnited #EPL #POTM #Drogba #XabiAlonso #KevinDeBruyne #Football #FNWW πππ

Diamond amesema kuwa Licaha ya D Voice kuimba muziki wa singeli vizuri , Katika album hiyo yenye jumla ya Nyimbo 10 , Kuna nyimbo mchanganyiko pamoja na kolabo kutoka kwa #Zuchu , #Mbosso , #Lavalava na #DiamondPlatnumz mwenyewe.
#FazaNationWorldWide πππ #DVoice #FNWW πππ

Usiku wa kuamkia hii leo, Mwanamuziki na Mkurugenzi mkuu wa Lebo ya muziki #WCB, Diamond Platnumz , Amemtambulisha msanii D Voice kuwa ndiye mwanamuziki mpya chini ya Lebo hiyo ambapo pia Ametambulisha album yake mpya.
#FazaNationWorldWide πππ #DVoice #Wasafi #FNWW πππ

Kupitia mahojiano mafupi #Babalevo amesema "Kiuhalisia namchukia sana @officialzuchu, sio mimi tu hadi familia yangu inamchukia" - Babalevo.
#FazaNationWorldWide πππ #Wasafi #WCBWasafi #Zuchu #OfficialZuchu #OfficialBabalevo #Bongoflava #FNWW πππ
Hivi ndivyo Droo ya hatua ya makundi Michuano ya Mabingwa Ulaya (UCL) kwa msimu wa 2023/24 ilivyopangwa.
#FazaNationWorldWide πππ #RoadToWembley #UCL #UEFA #uefachampionsleague #BayernMunich #MUFC #UEFAChampions #ChampionsLeague #wembleystadium #wembley #Football #FNWW πππ

Shirikisho la soka Duniani #FIFA limeifungia klabu ya Yanga SC kufanya sajili za wachezaji wapya mpaka watakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana.
#FazaNationWorldWide #YangaTanzania #YoungAfricans #TFF #GaelBigirimana #YangaSportsClub #NBCPremierLeague #Bigirimana #FNWW πππ

Tuzo hizi zinalenga kutambua Mchango wa Vijana Wa Afrika Mashariki katika Nyanja Mbalimbali.
#FazaNationWorldWide πππ #Arusha #AbigailChams #ATown #Bongoflava #FNWW πππ
Usiku wa Jana Jijini #Arusha Mwanamuziki wa Bongoflava Abigail Chams ameshinda Tuzo ya Msanii Bora Wa Kike Tuzo za Vijana Afrika Mashariki.
#FazaNationWorldWide πππ #GrandMelia #AbigailChams #ATown #Bongoflava #FNWW πππ
Kwa mara ya kwanza #TheAfricanPrincess Nandy na Billnass wameweka wazi sura ya mtoto wao wa Kike waliyempa jina Naya Bill ambae ametimiza Mwaka mmoja.
#FazaNationWorldWide πππ #Billnass #Follow #Nandy #AfricanPrincess #Nayabill #OfficialNandy #FNWW πππ
Unaweza kusema ni Mwanzo mzuri kwa Fei Toto pale Azam FC ambapo katika mechi zake tatu za mwanzo za Maandalizi ya msimu wa 2023/24 , Ametoa pasi mbili za mabao.
#FazaNationWorldWide πππ #Azam #AzamFC #FeiToto #FeisalSalum #WeAreAzamFC #NBCPremierLeague #FNWW πππ

Last Seen Hashtags on Sotwe
rebeu
Seen from France
ΰΈͺΰΈ²ΰΈ§ΰΉΰΈ«ΰΈΰΉΰΈΰΉΰΈ§ΰΈ’ΰΈΰΈ±ΰΈ§ΰΉΰΈΰΈ
Seen from Thailand
grandefratello aereo
Seen from Italy
Antofagasta relampago
Seen from United States
nolimit()** filter:videos()****
Seen from Canada
dimentokin
Seen from Indonesia
nolimit nolimit
Seen from Pakistan
hijab porn
Seen from Turkey
ΩΩΨ¨ΩΨ§
Ω
ΨΨ§Ψ±Ω
_Ψ§ΩΨ¨Ψ―Ω
Seen from Netherlands
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.4M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.1M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.5M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.5M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.5M followers









