Top Tweets for #FastrisingTuesday
Mambo vipi, Leo ni Fast rising Tuesday na your entertainment P.A amekutayarishia burudani kweli kweli kwenye East Africa Base.
#EAbase #Wachokozi #FastrisingTuesday

Kila mara wasanii wanaendelea kutoa mziki mpya na ni sawa tu kuwatambua ndio maana katika East Africa Base kila Jumanne ni Fast Rising Tuesday na @PresenterAli anakuchezea mziki mpya iliyotewa na wasanii wa Afrika Mashariki.
#EAbase
#Fastrisingtuesday
#Wachokozi

Mziki ni dawa ya moyo, na kila mara wasanii wanajikaza kutoa mziki mpya ili tuburudike. Na Leo tunakuchezea mziki mpya kutoka kwa wasanii wa Afrika Mashariki maana ni Fast Rising Tuesday .
Ungana naye @PresenterAli kwenye East Africa Base uburudike.
#FastrisingTuesday
#EAbase

Leo basi ni Fast Rising Tuesday na tunacheza mziki ya kizizi kipya ya wasanii ambao wanakuja kasi.
Ungana naye @PresenterAli upate burudani ya kitaalam .
#EABase
#FastrisingTuesday
#Wachokozi

Leo ni ile siku tunaiita Fast Rising Tuesday yaani tunakuchezea mziki yote mpya ya wasanii wetu wa hapa Afrika Mashariki.
Kama kawaida @PresenterAli anatesa na show moja kali, ni kusema kutenda kwenye East Africa Base, itakuwa ni kesi baadaye .
#fastrisingtuesday
#Wachokozi

Entertainment P.A @PresenterAli ako hapa kuwakilisha na kuhakikisha unapata show moja kali na burudani kisawasawa katika show ya kiswazi ya East Africa Base.
#FastrisingTuesday
#Tuesdaymotivation
#tuesdayvibes

Show motomoto, mziki kemkem ikiletwa kwako naye Presenter Ali kwenye EA Base hapa Switch Tv. #fastrisingtuesday #Switch4good #keepingtswitch

When you steal food in an african homeπππclick here to watchπ https://t.co/U50uo09nuR π
@ClaireSnazzy @mulamwah @MuhoroRolex @Teddy_tezz @_crazynairobian @AddihUche @stivo_boy @Nyaberih_ @Salma_zeinab @I___amBrad @KE_Fridah @AzziadNasenya @MaureenNdungu16 #MondayMotivation
Ni #FastrisingTuesday ndani ya #EABase naye @PresenterAli Ali.Leo tunaangusha vibao vya wasanii wanaochipuka na kufanya mambo ajab. Tazama @switchtvkenya na ukumbuke. 'wachokozi hawanaga utani'
Ungetaka tukuangushie kibao kipi?
#TuesdayMotivation #TuesdayThoughts #Tuesdayvibes

Ni #FastRisingTuesday ndani ya #EABase naye @PresenterAli . Leo zinachipuka, tukichokoza. Ni msanii yupi chipuka unayetambua kazi yake?
Tazama @switchtvkenya na ukumbuke, 'Wachokozi hawanaga utani'
#TuesdayMotivation #TuesdayThoughts #TuesdayVibes

Ni siku kuu ya kujiburudisha na @switchtvkenya kwenye #EABase naye @PresenterAli . Ni #FastrisingTuesday, tunawatambua wasanii chipuka na kazi zao.
Wamtambua nani?
Tazama @switchtvkenya na ukumbuke, 'wackokozi hawanaga utani'
#Mchokozi #EntertainmentPA #TuesdayMotivation

Ogopa huyu mtu, muogope sana! Akichokoza mitambo yote inapata hitilafu!
Karibu kwenye #EABase naye @PresenterAli...leo ni #FastRisingTuesday, twacheza midundo ya wasanii wanaochipuka. Tukuchezee ngoma ipi?
Kaa nasi hadi tamati. Kumbuka, #Wachokozi hawanaga Utani!
#tuesdayvibes

Unamtambua msanii yupi anayechipuka? Wewe wamfikiria, sisi tunatumbuizwa na nyimbo zake ndani ya #EABase naye @PresenterAli.
Ni #fastrisingtuesday, jumuika nasi pale @switchtvke tukuchokoze; 'wachokozi hawanaga utani'
#TuesdayMotivation #TuesdayThoughts #DAC2020

Wadau vipi? Mwasemaje eti? Leo ni ile siku ya kuwatambua wasanii wanaokuja kwa kasi kimziki hapa Afrika Mashariki.
Ni #FastrisingTuesday katika #EABase naye @presenterali, unamtambua msanii yupi?
Kaa nasi hadi tamati. Kumbuka, '#Wachokozi hawanaga utani!'
#tuesdayvibes

Na leo ni ile siku ya kuwatambua wasanii wanaochipuka kimziki hapa Afrika Mashariki.
Karibu katika #EABase naye @presenterali, mchokozi ambaye akiguruma simba wanalala.
Ni #FastrisingTuesday , tukuchezee wimbo upi?
#TuesdayMotivation #tuesdayvibes #TuesdayThoughts

Karibu kwenye #EABase naye @PresenterAli ...leo ni #FastRisingTuesday, twacheza midundo ya wasanii wanaochipuka.
Tukuchezee ngoma ipi?
Kaa nasi hadi tamati, usibanduke. Kumbuka, #Wachokozi hawanaga Utani!
#TuesdayMotivation #TuesdayThoughts

Its #FastrisingTuesday on #EABase with @presenterali.
Which fast rising artist in East Africa do you know,? Request their song, well play it .
Keep it locked!
#TuesdayThoughts #TuesdayMotivation

Sssshhh...lower your voice, @PresenterAli in the building with #EABased on @switchtvkenya.
Today is #FastrisingTuesday, we play music from Upcoming artists...which song would you like us to play for you?
#tuesdayvibes #TuesdayMotivation #TuesdayThoughts #WorldHandHygieneDay

Today is #FastrisingTuesday, welcome to #EABase on @switchtvkenya .
This is the day we play you music from upcoming artists. Now, which song would you like us to play for you?
Place your request and keep it locked with @PresenterAli
#tuesdayvibes #tuesdaymood #Mchokozi #Kenya

Tune into @switchtvkenya for #EABase with @PresenterAli.
Today its #FastRisingTuesday, we play music from upcoming artists in the industry. Which song would you like us to play for you?
#tuesdayvibes #TuesdayMotivation #EarthDay2020 #KomeshaCorona

Last Seen Hashtags on Sotwe
PbbGen11tenth
Seen from United States
aircompetition
Seen from United States
colibriexperience
Seen from United States
XPERIA_XZ3
Seen from United States
67onbase
Seen from United States
SpringΒ·Protect
Seen from United States
punagabasiane
Seen from United States
omegle
Seen from United States
nolimits #omegle filter:native_video
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.9M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers

