Top Tweets for #Firstmate
Ishi kwa Kujua Muda wowote Maisha yanakushangaza.
#Firstmate
Mtaani kuna Aina za watu hawa!
1. Yule jamaa angesoma sijui angekuwaje, Yuko smart Sana na mambo yake anayaendesha kisomi.
2. Yule jamaa kama vile hakwenda shule vile- Yani mambo anayofanya ya kujua mwenyewe, sijui asingesoma ingekuwaje
Epuka kuwa namba 2
#Firstmate
Kama watu hawatocheka kuhusu MIPANGO yako, basi haina maajabi- Hakuna cha Maana🚨
#Firstmate
Ikibidi upunguze MAZOEA na watu furani ili muendelee KUHESHIMIANA.
#Firstmate
Sometimes unamnyima mtu kitu, si kwa sababu hautaki kumpa
Bali unamnyima ili ajue wakati kipindi unapompatia ulimthamini kiasi gani
#FIRSTMATE
Ferry rides hit different when you're sporting the flag.
#landho #firstmate #ferry #flag #ocean #petsgonewild #statenisland #dogsofinstagram #ai #doglover #aiartworks #aiart #aiartcommunity #inspired #digitalart
https://t.co/Q1IRfKKX8F
Juzi Kati kuna Mwanangu kaibiwa simu mitaa ya mbagala,
Anadai ilikuwa mfukoni, wala hajasimama sehemu Ila Tu alikuwa anapishana na watu!
Nikajua Tu alivaa(sweat pant👇)na nilimuuliza akasema ni kweli!
Ni nzuri Ila simple Sana kudondosha au kuchomolewa🙌
#Firstmate

Zama zinabadilika chap Sana, Enzi tunasoma sekondari Maticha walipambana Sana na wavaa modo-
Siku hizi madogo wanavaa suruali pana kama sifa- mpk Maticha wanamaindi!
#Firstmate
UVUMILIVU ulinitembelea, ukaniambia mambo mazuri huja kwa wale wanaofanya kazi na kusubiri
UPENDO uliponitembelea ukaniambia ni lazima nijipende Mimi Kwanza ndipo niwapende wengine
TUMAINI lilinitembelea likaniambia bila kujali maisha magumu kesho USHINDI
#Firstmate
FACT-👇
-Hutopendwa na Kila Mtu,-Haijalishi wewe ni malaika.
- MATURITY 👇
- Ni kuamua kuviacha Vingine Vikupite
-Asiyekutaka Muache aende
#Firstmate
Kuwa na shemeji ni Jambo la kiungwana-
Ila wewe na shemeji yako mkianza kuitana Shem darling, hapa ndipo Shetani huwa anaingiza Kati,-muda wowote chochote kinatokea.
*Sutakagi kabisa mazoea na mashemeji*
#Firstmate
-Ikibidi!, Muda Furani uhadimike Sana ili kupandisha THAMANI yako.(Iwe online,iwe mtaani)
-Ikibidi, Upunguze MAZOEA na watu furani ili muendelee KUHESHIMIANA.
-Ikibidi, UJiondoe Chap sehemu unayohisi HUKUBALIKI, Kabla ya kuondolewa kwa dhihaka na aibu.
#FirstMate.
อาบน้ำแห้ง ไม่ง้อสายยาง!
หมาแมวไม่ชอบน้ำ? ไม่เป็นไร แค่มีโฟมอาบน้ำแห้งสูตรลูกพลับญี่ปุ่นสกัด FirstMate Dry Bath Foam กลิ่นลาเวนเดอร์ หอมผ่อนคลาย ขนสะอาดไม่เหนียวเหนอะ
ราคา ฿297 เท่านั้น
🧡 กดเลยใน Shopee: https://t.co/yjPJH26VSp
#รีวิวดีรีวิวดัง #อาบน้ำแห้ง #FirstMate
Unaenda buchani unahakikisha umechagua nyama ya maana kabisa,
Unafika home huamini unachokiona- ni malapu lapu na mifupa😂
Hawa jamaa sijui huwa Wana Mbinu gani🙌
#Firstmate
Kuishi kwa Shemeji ni Stress Sana,
Imagine, unaamka asubuhi unamsalimia shemeji-haitikii.
Hapo ndo unajiuliza, Uliezingua ni wewe au Sister 🤣
#Firstmate
Unaomba Namba kwa Manzi anakupa ya bwana wake, si ushamba huu- si uninyime Tu!
Kuna girl alikuwa RAFIKI yangu sasa akawa akiombwa namba anatoa ya kwangu-nilimpiga biti na mazoea yakafa!
#Firstmate
Unaweza kufungua code hata moja hapo👇🙌
Kama Una nyingine tupe😁
69
420
710
637
459
#Firstmate
@prossoff Ohoo niache Kwanza niheme aisee...unionee na Huruma maana haikuwa rahisi, nimetumia muda mrefu mno kuipata- hata hivyo Naomba pia ruhusa ya kuwa na namba yako bila hizini yako!
#Firstmate
Unajisifu Una Nyota ya Mademu bro!
Kiuhalisia ukii convert hiyo Nyota ni ya Umaskini!
#Firstmate
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
97.5M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.3M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.4M followers




