Top Tweets for #ForexWithPurpose
Kuna mentors wachache wanaowekeza muda na nguvu kuinua kizazi kijacho cha traders. Maliki, your vision and commitment are priceless. Iโm ready to learn, grow, and walk this journey of mastery. ๐๐ #ForexWithPurpose #GoldTrading"
Out of this Project (May Project), nna Kontena (Intake) nimejifungia Kulipika Kwa miezi mitatu ya moto Since Juni 30. KIMYA KIMYA (Bila kelele). Nikikamilisha nitawaletea matokeo yao. Hata hivyo WAPO HUMU.
Kwa uwezo wake Mungu, Nitalimwaga (Litagraduate) mwezi Septemba. Moja ya Mafanikio yangu Makubwa niku-Impact jamii ya watu ambao wameteseka kwa muda mrefu. Kuwaonyesha njia na kuwaondolea Vigingi kupitia kuwaambukiza Maarifa niliyonayo. Kwasababu hata wao hakuna siku inapita bila kutamka neno "Mwenyezimungu akubariki" (wananiombea Dua). Hizi kwangu nazibeba kama Baraka. Soko lina Mzunguuko wa Tril 7, mimi peke yangu siwezi kuzimaliza.
Nimekutana na Comments tofauti tofauti kwenye tweets zangu kuhusu Darasa, nimekuwa sijibu (Sio dharau) ila kwasababu ya Mzigo wa hawa nilionao ambao napambana nao. Wakiwa wengi mno uwezekano wa kuwa Manage ni mdogo (Kutrack kila Mwanafunzi kujua progress yake na ku-Formulate mifumo itakayowajenga unakuwa mgumu). Hivyo HAWATAPATA WANACHOSTAHILI. Ukizingatia Na wanaotaka Kusoma ni WENGI.
So nimekuwa niki recruit Limited number ya watu mmoja mmoja na kuwapa Kipaumbele zaidi wale Watu wanaoletwa na wanafunzi wangu ambao nilishaa wafundisha wakapata Mafanikio, au wale ambao bado wanasoma (ni wanafunzi wangu) wakaleta na ndugu zao!.
Falsafa yangu ni kuamini ya kuwa, unapopewa kiwango kikubwa cha Maarifa huwa hakiwi kwaajili yako pekee, bali ni mkate unaopaswa ku-Share na wengine wapate kusaidika. Kuna watu leo wananitamkia kuishi Maisha waliyokuwa wakidhani ni ndoto yao kwa MIMI KUFANYIKA BARAKA KWAO. NAFARIJIKA.
NITAISHI HUMO!
TUTAKUWEPO!

Last Seen Hashtags on Sotwe
nl pyt
ูุญู_ุนุฑุงูู
omegle
Seen from Germany
เธเธฒเธเนเธญเธเธเนเธฒเธข
Seen from Germany
Teenage() +filter:native_video
Seen from Turkey
ๅๆ
Seen from United States
nolimit nolimit nolimit() +filter:native_video
ุณุงูุจ_ุงุจูุง
Seen from Netherlands
bacol
Seen from Indonesia
momson((())) filter:videos
Seen from Mexico
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers




