Top Tweets for #FreeJanethRithe
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake ACT Wazalendo Taifa , @JaneRithe bado anashikiliwa na Jeshi la Polisi
Janeth anastahili haki ya kupata dhamana
#FreeJanethRithe

Bado Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake yupo ndani @JaneRithe tuendelee Kido haki yake ya dhamana.
#FreeJanethRithe

Kusifia utawala ni hiyari,
Kukosoa utawala ni wajibu,
Tuna haki ya kukosoa na kutoa maoni kwa lugha laini au kwa lugha ngumu.
Lugha zote zinapaswa kuvumiliwa kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba
Katiba haisemi una haki ya kutoa maoni kwa upole,
#FreeJanethRithe
#NRNE

@JaneRithe Wewe ndio Mfano Mkubwa Wa kiongozi Mwanamke Jasiri Na Shupavu Asiepindishapindisha maneno
Sisi tunaokujua Tunakujua Wewe Kama kiongozi Bora Zaidi Mwanamke kuwahi kutokea ndani ya siasa za Upinzani
#FreeJanethRithe

Sasa hivi wanawake hatuko salama, anatekwa mume hujakaa sawa na mama na wewe unakamatwa watoto wanabaki bila wazazi. Hata huko kwenye vita watoto na wanawake huwa wanapewa ulinzi. Tumefika pabaya sana.
#FreeJanethRithe
#FreeJanethRithe
#FreeJanethRithe

Kama hataki kusemwa aache kazi ya umma. Aache urais aende akakaange vitumbua auze apate hela ya kulea familia yake. Rais ni mwajiriwa wa umma. Atasemwa na kusemwa kwa vyovyote. Rais kusemwa ni haki ya raia.
#FreeJanethRithe
OKTOBA #LindaKura

Achilia mbali Rais wa Nchi, iwe wewe tu muuza mama ntilie aje mtu akuambie umechanganyikiwa huna akili sijui hujui ulifanyalo kisa alikuja siku moja kula kwenye mgahawa wako akaona ubwabwa umezidi chinvi utajisikiaje
Muwe na kiasi jameni eeee

Kwahiyo Jeshi la Polisi linamshikilia Janet Rite kwasababu ya hii video?
Mbona kila alichosema hapa ni ukweli mtu hakuna hata chembe ya uwongo.
Jeshi la Polisi acheni uonevu, mwachieni huyu Mama maana hana kosa lolote.
#FreeJanethRithe #FreeJanethRithe
@MariaSTsehai @JaneRithe @SuluhuSamia Sawa, pamoja ACT kuwa na msimamo baridi katika harakati za ukombozi haitufanyi kufumbia macho ukiukwaji na uvunjifu wa utawala wa sheria popote pale. Tutakemea uvunjwaji wa sheria kwa thamani ya maisha ya mwanadamu yeyote yule.
#FreeJanethRithe NOW📍
ACT wanakaujinga😡📍

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.6M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.8M followers
























