Top Tweets for #FrontofPackLabel
Participated in an advocacy w/shop by @NCDAllianceKe on unhealthy diets,nutrient profile model & front of pack warning labels. #advocacy starts with you and I
#TuongeeNCDS #FrontofPackLabel @NCDAllianceKe @pinkheartcancer @survivors_kenya

Wazazi wengi wanaona ni usasa/fashion kufanya shopping ya vyakula na mahitaji muhimu ya nyumbani supermarket, jambo la kujiuliza ni huwa wanasoma maelezo kwenye vile vifungashio vya bidhaa au kikubwa anajua brand flani ni nzuri yeye anabeba tu??
#FrontOfPackLabel
Katika kutekeleza programu yenye lengo la kuendelea kuchangia katika kupunguza ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza ambayo kwa kiasi kikubwa yanachangiwa na ulaji usiozingatia lishe bora, Chama cha Wanasheria Wanwake Tanzania (TAWLA) tuna dhumuni la kutumia maboresho ya kisera kuhakikisha watumiaji wa bidhaa zinazouzwa nchini wanakuwa na taarifa sahihi zitakazowasaidia kufanya maamuzi ya aina ya bidhaa na hivyo kupunguza ongezeko la magonja yasiyoambukiza unaotokana na ulaji usiozingatia lishe.
#FOPL
#FrontOfPackLabel
#HakiHainaJinsia

Ni muhimu kwa watunga sera wetu kupitisha sera zitakazotulinda dhidi ya hivi vyakula.
Na ni muhimu zaidi kwa umma kutambua hili kama sehemu ya kulinda afya zetu kwa kuchagua lishe iliyo bora kwetu.
@TBS_Tanzania @wizara_afyatz
#FOPL
#FrontOfPackLabel
#HakiHainaJinsia
FYI: "UPF" is short for Ultra Processed Foods, formulations made mostly from low-cost ultra-processed raw materials, including modified starches, hydrogenated fats, added sugars and salts, soy protein, and mechanically separated meat.
Katika kuendelea na mapambano dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza nchini, @TawlaTZ tukishirikiana na Wizara ya Afya tumeratibu Mkutano wasiku moja wa wadau wa afya nchini.
#FrontOfPackLabel
#FOPL
#HakiHainaJinsia

Sheria/Kanuni hizi zitachangia kupunguza ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza hususani yale yanayosababishwa na lishe isiyo bora.
#FOPL
#FrontOfPackLabel
#HakiHainaJinsia

Katika kuendelea na mapambano dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza nchini, @TawlaTZ tukishirikiana na Wizara ya Afya tumeratibu Mkutano wasiku moja wa wadau wa afya nchini.
#FrontOfPackLabel
#FOPL
#HakiHainaJinsia

Watoto kwa Watu wazima Sasahivi tunatumia sana vyakula vya Mafuta na Sukari ambavyo ni hatari kwa afya zetu Takwimu za Mahospitalini zinaongea.
Na Huwa hatusomi hata ingredients za vyakula tunavyonunua hasa za viwandani.~ Dr Fredrick Mashili
@TawlaTZ
#FrontOfPackLabel
#FOPL

Hii kitu ukimpa mtu ambaye hajasoma anaweza kujua Kuna Nini Humu kweli?
#FrontOfPackLabel #FOPL
#HakiHainaJinsia

Tanzania tuna shida ya Over ~ Nutrition na Under~Nutrition ambavyo vyote vinatupelekea kwenye Magonjwa yasiyoambukizwa. ~@fmashili, Head Department of Physiology-Muhas
@TawlaTZ
#FrontOfPackLabel
#FOPL
#HakiHainaJinsia

"Tanzania tuna shida ya Over - Nutrition na Under- Nutrition ambavyo vyote vinatupelekea kwenye Magonjwa yasiyoambukizwa"
#FrontOfPackLabel #FOPL
#HakiHainaJinsia @TawlaTZ

Umewahi kununua Kitu Ukakuta Kiko labeled"Ina Sukari Nyingi" au "Ina Chumvi nyingi"?
#FrontOfPackLabel @TawlaTZ
#FOPL #HakiHainaJinsia

A country needs NPM when considering implementing a policy or educational program. i.e., issues like high in sugar, saturated fats, transfats, etc ~ Dr. Fredrick Mashili, Head Department of Physiology-Muhas
@TawlaTZ
#FrontOfPackLabel
#FOPL
#HakiHainaJinsia

Watoto kwa Watu wazima Sasahivi tunatumia sana vyakula vya Mafuta na Sukari ambavyo ni hatari kwa afya zetu Takwimu za Mahospitalini zinaongea.
Na Huwa hatusomi hata ingredients za vyakula tunavyonunua hasa za viwandani.~ Dr Fredrick Mashili
@TawlaTZ
#FrontOfPackLabel
#FOPL

"Ukinunua Chakula kwenye Package Fulani (Mfano Juice, Biscuits) unajuaje Sukari hii imezidi au haijazidi?" ~ Dr. Fredrick Mashili, Head Department of Physiology-Muhas
@TawlaTZ
#FrontOfPackLabel
#FOPL
#HakiHainaJinsia

"Niwaombe wadau wote tunajitahidi kuzungumzia kwa pamoja Changamoto Hizi za Magonjwa yasiyoambukizwa, ambayo kwa Namna nyingine yanachangiwa sana na Ulaji wa Chakula" ~|| @elinami_mungure
#FrontOfPackLabel #FOPL
#HakiHainaJinsia @TawlaTZ

Last Seen Hashtags on Sotwe
เงี่ยนหีเเฉะ
Seen from Thailand
GAVOP
Seen from Argentina
nolimit filter:native_video
Seen from Turkey
MOMSON()************************************
Seen from Germany
batmanbayan
Seen from Turkey
monkeyapp
Seen from United Kingdom
esposoinfiel
Seen from Peru
pejuhin kara
Seen from Indonesia
ナナモ
Seen from United Kingdom
momson filter:videos
Seen from Pakistan
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.2M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.9M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.2M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61M followers

X 
@x
60.8M followers


















