Top Tweets for #Fungoni
Wiki hii nilipata nafasi ya kutembelea miradi ya #Fungoni na #Tajiri iliyopo Kigamboni Mkoani Dar es Salaam na Pangani Mkoani Tanga, mtawalia. Miradi hii inatekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na wabia wetu Kampuni ya Strandline Resources kupitia kampuni tanzu ya ubia ya #Nyati Mineral Sands Limited.
Miradi hii yote miwili ni muhimu katika ukuaji wa sekta ya madini nchini na itakapokamilika itakuwa inazalisha madini mkakati (Strategic Minerals) yaliyopo kwenye kundi la heavy minerals. Mineral sands ni mchanga unaopatikana katika fukwe za bahari au maziwa uliobeba kiasi kikubwa cha madini muhimu kama vile titanium na zircon. Madini haya kwa asili yake ni mazito na hivyo huitwa ‘heavy minerals’. Hutegemea na sehemu mchanga ulikotoka (provenance), mchanga huu unaweza kubeba mawe ya thamani ya vito kama almasi, sapphire, garnet, na wakati mwingine metali za thamani. Fukwe za Tanzania zinaweza kuwa maeneo muhimu yanayoweza kuwa na aina hii ya madini.
Baadhi ya matumizi ya heavy minerals (mfano titanium) yanatumika kutengeneza sticks au rods zinazotumika wakati wa kuchomea/welding vyuma.
• Titanium kwa sehemu kubwa pia hutumika kutengeneza rangi za aina mbalimbali zinazotumika kwenye vitu mbalimbali yakiwemo majengo;
• Madini haya pia hutumika kwa kiwango kikubwa kwenye viwanda vya plastics kwa ajili ya kuzalisha vifaa/vyombo mbalimbali vya aina hii.
• Titanium hutumika kutengeneza wino na kwenye viwanda vya kutengeneza makaratazi.
• Zircon hutumika kwenye viwanda vya ceramics kwa ajili ya kuongeza mng’ao au muonekano mzuri kwenye tiles/marumaru.
• Matumizi mengine makubwa ya titanium kwenye teknolojia ya kisasa ni katika kuzalisha vifaa vinavyotumika kutengeneza ndege, vifaa vya hospitali na vile vya ulinzi,
• Zircon hutumika pia kutengeneza mitambo ya nuclear (nuclear reactors).
Tukiwa ziarani tulielezwa kuwa, zoezi la kuwalipa fidia wananchi waliopisha mradi wa Uchimbaji Madini Tembo (heavy mineral sands) utakaotekelezwa eneo la Fungoni Kigamboni Mkoani Dar es Salaam limefikia asilimia 92 huku kiasi cha shilingi bilioni 18 kikiwa tayari zimekwishalipwa.
Kulingana na utafiti uliofanywa, mradi wa uchimbaji madini tembo Fungoni una kiasi cha tani milioni 12 za mbale na uhai wa mradi ni miaka 6 kwa kuchakata tani milioni 2 za mbale kwa mwaka, uchorongaji zaidi utafanyika katika maeneo hayo ili kuongeza kiasi cha mashapo na hivyo kuongeza uhai wa mgodi.
Vile vile, kwa utafiti uliofanywa katika mradi wa Tajiri, kiasi cha mashapo yenye kiasi cha tani milioni 268 katika ubora wa asilimia 3.3 kimegunduliwa na uhai wa mradi huo unatarajia kuwa miaka takribani 23.
Wizara ya madini imeridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi hii yote miwili. Tunaipongeza kampuni ya Nyati kwa kazi nzuri wanayoifanya.
Wizara ya Madini itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi.
#TanzaniaCriticalMineralsHubAfrica #CriticalMinerals #StrategicMinerals #TanzaniaMining #Mining #InvestTanzania #MadiniYetu #HeavyMineralSands

@Strandline10 Strandline Resources has signed a US$26 million project finance facility agreement with @NedbankCIB Nedbank CIB for its #Fungoni heavy mineral sands project in #Tanzania.
https://t.co/swfctSdXdd
#StrandlineResources has chosen GR Engineering Services (#GRES) as engineering, procurement and construction (#EPC) contractor for the #processing #plant and facilities at the #Fungoni #mineralsands project in #Tanzania https://t.co/59hFZQabAs #mining #construction

#StrandlineResources has moved a step closer to bringing its #Fungoni #mineralsands project in #Tanzania into production with the award of a fixed-price #EPC contract to #GREngineering. https://t.co/Hgm7VfCVQP #contractwin #mineengineering #Tanzaniamining

Strandline Resources $STA gets go-ahead for #Fungoni project in #Tanzania
#mineralsands
https://t.co/r0A73EprDh
#Fungoni #MineralSands project poised for development | @ASX #Tanzania #EastAfrica #StrandlineResources | https://t.co/vsO6eawy5z

Impressive DFS results at #Fungoni #mineral sands project in #Tanzania delivers 20% share price jump for #Strandline $STA #mineral sands https://t.co/cxDqV6h6UT
Strandline Resources: Fungoni Definitive Feasibility Study delivers outstanding financial returns $STA https://t.co/Y16K78wqf3
@ASX #StrandlineResources submits #mining licence application for #Fungoni to Ministry of Energy & Minerals of #Ta … https://t.co/3PlVJYvqxz

#StrandlineResources secures environmental certificate for #Fungoni project - https://t.co/FQmHnhTxqW
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.2M followers

Bill Gates 
@billgates
65M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers









