Top Tweets for #GreyAMA
Ushawahi ingiza fedha kupitia uandishi?
#GreyAMA
" Mikataba itakusaidia kulinda maslahi yako unapofanya kazi na wateja kwenye majukwaa mbalimbali ya kidijitali"
Godfrey Mollel kupitia #GreyAMA
Jiunge nasi sasa kupitia link https://t.co/f4thd9RN9E
Grey tunawakaribisha kwenye #GreyAMA itakayofanyika July 29 ambapo mada kuu ni Kazi za kidijiti nje ya majukwaa ya freelancing.

Asante sana @mafolebaraka
Take home message
" Chuja taarifa unazopokea kwenye mitandao Mbalimbali ya kijamii kabla ya kusambaza au kufanya maamuzi"
#GreyAMA #tusemezane
Nimeikuta Tiktok , huyu kaka simjui ila anaongea vizuri sana
Lakini pia usiache kujifunza "sharpen your weapons". Ukishajitambulisha kama expert na watu wakakuamini ndo muda wa kupanga bei zako kwa wateja.
So digital marketing unaweza kuifanya kama side hustle na ikakulipa zaidi #GreyAMA
@greyfinanceEA Mwanzoni unapaswa kutambua kuwa na Kuna siku ya kupata na siku ya kukosa,
Hivyo hii ni moja ya challenge ,
Hivyo ujiandae kujitoa vilivyo ili uweze kufikia malengo yako.
Kumbuka kuvaa kiatu cha marketer.
@greyfinanceEA
#GreyAMA
Places You can increase your knowledge on digital marketing
1 YouTube
2 Udemy
3 Google
4 Websites
5 People doing the same thing
@greyfinanceEA #GreyAMA
Listening to this session naona kabisa kuna kazi nyingi sana Digital marketing hasa content creation. Kwa haraka tu kuna biashara kubwa tz nadhani zingeperfom vizuri zaid kama zingekuwa na active social pages. Mfano Homecity, ifate mfano wa HOME DEPOT (selling DIY) #GreyAMA
@greyfinanceEA Namna unavyoweza kutengeneza pesa kwanza ni lazima uwe na content kwa ajili ya digital space.
Pili namna unavyoshare content zako be specific na jenga jina lako
Tatu , thubutu
Nne, Jenga portfolio
Tano make you passion a business
Sita, the way you server customers
#GreyAMA
Digital marketing ni kitendo cha kutangaza,kuuza bidhaa kupitia platform mbalimbali za mitandao.
Ina branches nyingi kama;
-social media management
-email marketing
-content creation
-Search engine marketing/organization
#GreyAMA @mafolebaraka
So platform ziko
Moja ya namna nzuri ya kujifunza kwa wale ambao hawana background ya digital marketing wanaweza kuuliza waliowatangulia kwenye uwanda wa digital marketing,
Pia kugoogle course za digital marketing na kuamua eneo husika la kujifunza(one role to base with)
@greyfinanceEA
#GreyAMA
Role 1
Social media marketing
Nmejua kumbe Kuna umuhimu wa kujiestablish mtandaoni na kuamua angle
Unayo taka kujiwekeza
Role 2
Search engine optimization.
#GreyAMA
Siku ya leo nmepata wasaa wa kujifunza namna ya kujifunza namna njema ya kujiajiri mtandaoni.
Nmepata kujifunza Roles Mbalimbali za Digital marketing nitazihainisha kadhaa hapa chini .
Shuka nayo hapa👇🏽
#GreyAMA

Digital Marketing here I come. Ongoing session "namna ya kujiajiri kupitia Digital marketing"
#GreyAMA

Roles zinazopatikana kwenye digital marketing
1. Social media management
2. Search engine optimization
3.Copywriting
4. Media buying
#GreyAMA
Huenda umekuwa ukitamani kujifunza digital marketing kwa kipindi kirefu lakini hufahamu wapi unaweza anzia.
Jumamosi hii kupitia #GreyAMA tutakuwa na Neema Kaniki na Joseph Khaby @KabyJoseph wakitufunza namna gani mtu anaweza kujiajiri kupitia digital marketing

#GreyAMA
👨🏿💻Engaging in public projects can offer tremendous benefits.
@SharonJebitok
@asatayo
@greyfinanceEA
@mafolebaraka
@greyfinance
#GreyAMA
Skills >>>> Certifications
Stop rushing on Courses (playing clips at X2 speed) to get the certificate on online platforms while learning. Take it slow but Sure...
cc:
@mafolebaraka
@greyfinance
@greyfinanceEA

Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers









