Top Tweets for #HADITHI
MWENYE KUKATAA #SUNNA ZA MTUME KUPITIA #HADITHI ZAKE NI KAAFIRI📚💦
🫴ETI KISA HADITHI ZINA SANAD(WASIMULIAJI) NÀ HAO WASIMULIAJI HATUWAAMINI KAMA WALIONGEA KWELI 😂
🤏 KWANI #QURAAN KUTOKA KWA ALLAH KUJA KUTUFIKIA SISI LEO IMEKUJAJE BILA YA SANAD⁉️
MTUME KAILETAJE QURAAN MPAKA KUJA KWETU LEO HII⁉️😂
🫴hebu niambie mpaka imetufikia sisi hapa sahivi imefika fikaje kwetu na sisi hatujaonana na mtume laive⁉️😂
Wameifikisha kina nani kwetu hii Quraan⁉️😂
KUPITI MASIMULIZI AU HAMNA MASIMULIZI⁉️
AU ALIVYOSHUSHIWA TU NA JIBRIL AKAKULETEA WEWE JUHAAL WA TZ 🇹🇿
QURAAN KUTOKA KWA ALLAH ILIMFIKIA MTUME KWA MASIMULIZI YA #JIBRIL
🫴je ulitaka mtume aikatae kwakua imekuja kwa njia ya kusimuliwa na JIBRIL⁉️😂
kwanini basi mtume aliikubali quraan kwa kusimuliwa na JIBRIL⁉️
🔹️ni kwasababu moja tu "JIBRIL NI MWAMINIFU" "AL AMIIN"
KWAHIYO KIGEZO KILICHOZINGATIWA HAPO SIO KUONANA LAIVE BAINA YA "ALLAH NA MTUME ILI APEWE QURAAN"
🫴SASA UTAIKATAA QURAAN KISA MTUME HAJAOJANA NA ALLAH LAIVE KUPEWA HIYO QURAAN⁉️😂
KWANZA HATA HUJUI MAANA YA NENO "HADITHI"
HATA QURAAN YENYEWE ALLAH KAIITA NI #HADITHI
Surat Az-Zumar – 39:23
> اللَّهُ نَزَّلَ أَحْسَنَ الْحَدِيثِ كِتَابًا مُّتَشَابِهًا مَّثَانِيَ تَقْشَعِرُّ مِنْهُ جُلُودُ الَّذِينَ يَخْشَوْنَ رَبَّهُمْ...
“Allah ameteremsha #Hadith (kauli/maneno) bora zaidi, Kitabu kinacho, kinachorudiwa (kufundisha kwa kurudiarudia), vinatetemeka ngozi za wale wanaomcha Mola wao...”
Surat At-Tur – 52:34-35
> فَلْيَأْتُوا #بِحَدِيثٍ مِّثْلِهِ إِن كَانُوا صَادِقِينَ
“Basi na walete #hadithi (kauli) mfano wa hii ikiwa wao ni wakweli.”
Surat Al-Qalam – 68:44
> فَذَرْنِي وَمَن يُكَذِّبُ بِهَـٰذَا #ٱلْحَدِيثِ ۖ سَنَسْتَدْرِجُهُم مِّنْ حَيْثُ لَا يَعْلَمُونَ
“Basi niache na yule anayekadhibisha #hadith hii (Qur'an); tutawavuta polepole kwa njia wasiyoijua.”
🫴KWAHIYO TUIKATAE QURAAN KWAKUA NAYO NI "HADITHI" AU MASIMULIZI😂⁉️ kama unavyosema masimulizi ya hekaya za paulo 🤭
ETI MASIMULIZI YANAWEZA KUA YA UONGO
🫴WE NI KITUKO SANA.
KWAHIYO UNATAKA KUSEMA KWENYE HADITHI ZA MTUME HUWAAMINI MASWAHABA WAKE⁉️
KWAHIYO MASWAHABA WOTE WA MTUME WALIKUA NI WARONGO⁉️
UNAWATOA UAMINIFU MASWAHABA WA MTUME ⁉️
🫴HEBU TUPE AYA INAYOSEMA;
"MASWAHABA WALIKUA SI WAAMINIFU "
ILI TUJUE KWAMBA HICHO WALICHOKIONA TOKA KWA MTUME NA KUTUSIMULIA SI CHA KWELI
ALLAH ANASEMA MASWAHABA WA MTUME NI WATU WEMA
Surat Al-Fath – 48:29
> مُّحَمَّدٌ رَّسُولُ اللَّهِ ۚ وَالَّذِينَ مَعَهُ أَشِدَّاءُ عَلَى الْكُفَّارِ رُحَمَاءُ بَيْنَهُمْ ۖ تَرَاهُمْ رُكَّعًا سُجَّدًا يَبْتَغُونَ فَضْلًا مِّنَ اللَّهِ وَرِضْوَانًا ۖ سِيمَاهُمْ فِي وُجُوهِهِم مِّنْ أَثَرِ السُّجُودِ ۚ ذَٰلِكَ مَثَلُهُمْ فِي التَّوْرَاةِ ۚ وَمَثَلُهُمْ فِي الْإِنجِيلِ كَزَرْعٍ أَخْرَجَ شَطْأَهُ فَآزَرَهُ فَاسْتَغْلَظَ فَاسْتَوَىٰ عَلَىٰ سُوقِهِ يُعْجِبُ الزُّرَّاعَ لِيَغِيظَ بِهِمُ الْكُفَّارَ ۗ وَعَدَ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ مِنْهُم مَّغْفِرَةً وَأَجْرًا عَظِيمًا
"Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na #wale walio #pamoja naye ni wakali dhidi ya makafiri, na ni wenye kurehemeana wao kwa wao. #Unawaona wakirukuu na kusujudu, wakitafuta fadhila kwa Mwenyezi Mungu na radhi Yake. Alama zao ziko nyusoni mwao kwa athari ya kusujudu. Huo ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama mmea uliotoa machipukizi yake, kisha yakamtia nguvu, akasimama imara juu ya shina lake, ukawapendeza wakulima – ili kwao awatie ghadhabu makafiri. Mwenyezi Mungu amewaahidi walioamini na wakatenda mema miongoni #mwao msamaha na ujira mkubwa."
🫴MASWAHABA WALIKUA NI WATU WAAMINIFU KWA ALLAH NA NDIO MAANA HATUNA SHAKA NA MASIMULIZI YAO 🤝
@AbdallahAl91947 @BlackWolfBeast @SaumuYanga
@DDefya
@abusumayyah_o Mtume ameleta Qur an hamna sehemu amesema leo nimewaleteeni hadith.
And hapo hapo penye hadith ambapo panashida ni simulizi hizo zimesimuliwa na watu tena nao wamesimuliwa na watu unataka tuziamin? basi mbona wewe hauamin hadith dhaifu why huziamin so na wewe ni kafir?
KUZIKATAA #HADITHI ZA MTUME NI SAWA NA KUMKATAA YEYE MTUME , NA HUO NI #UKAFIRI KWA USHAHIDI WA QURAAN📚💦
>> wenye msimamo huu wa kikafiri sunna za mtume kupitia hadithi zake ni; MAYAHUDI ,WAKRISTO, QURAANIYUUN NA MASHIA ALLAH AWALAANI
🫴sasa nina shaka wewe utakua unaangukia kwenye makundi hayo Allah atuepushe
ALLAHA ANASEMA;
"Surah Al-Hashr (59:7):
> ...وَمَآ ءَاتَىٰكُمُ ٱلرَّسُولُ فَخُذُوهُ وَمَا نَهَىٰكُمْ عَنْهُ فَٱنتَهُوا۟...
"Na anachokupeni Mtume kichukueni, na anachokukatazeni jiepusheni nacho."
Allah anasema:
> "Na anayemtii Mtume, basi bila shaka amemtii Allah."
(Surah An-Nisa 4:80)
Surah An-Nisa (4:59):
> يَـٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوٓا۟ أَطِيعُوا۟ ٱللَّهَ وَأَطِيعُوا۟ ٱلرَّسُولَ وَأُو۟لِى ٱلْأَمْرِ مِنكُمْ...
> "Enyi mlioamini! Mtiini Allah na mtiini Mtume na wenye mamlaka katika nyinyi..."
قُلْ إِن كُنتُمْ تُحِبُّونَ ٱللَّهَ فَٱتَّبِعُونِى يُحْبِبْكُمُ ٱللَّهُ وَيَغْفِرْ لَكُمْ ذُنُوبَكُمْ ۗ وَٱللَّهُ غَفُورٌۭ رَّحِيمٌۭ
> "Sema: Ikiwa nyinyi #mnampenda Allah, basi nifuateni #mimi, na Allah atakupendeni na atakusameheni dhambi zenu. Na Allah ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu."
(Aal Imran 3:31)
Aya kamili: Surah Al-Ahzab (33:21)
> لَّقَدْ كَانَ لَكُمْ فِى رَسُولِ ٱللَّهِ أُسْوَةٌۭ حَسَنَةٌۭ لِّمَن كَانَ يَرْجُوا۟ ٱللَّهَ وَٱلْيَوْمَ ٱلْءَاخِرَ وَذَكَرَ ٱللَّهَ كَثِيرًۭا
> "Hakika nyinyi mnayo mfano mwema kwa Mtume wa Allah, kwa anayemtarajia Allah na Siku ya Mwisho, na akamkumbuka Allah sana."
(Al-Ahzab 33:21)
KWANZA UNAJUA MAANA YA #SHAHADA YA KWANZA YA UISLAMU 1⁉️😂
Nguzo ya kwanza ya Uislamu ni:
> "Kushuhudia kwamba hakuna mungu wa haki isipokuwa Allah, na kwamba Muhammad ni Mtume wa Allah."
(Ash-hadu an lā ilāha illa-llāh, wa ash-hadu anna Muḥammadan rasūlu-llāh)
🫴"Muḥammadun Rasūlu-llāh"
Muhammad ﷺ ni mjumbe wa Allah.
Inalazimisha kufuata mafundisho ya Mtume ﷺ kama sehemu ya kumtii Allah
NINI MAANA YA 🫴 Muḥammadun Rasūlu-llāh"⁉️
1. Kumuamini katika yote aliyokuja nayo,
2. Kumtii katika yale aliyotuamrisha,
3. Kuacha aliyotukataza na kuyachukia,
4. Kumuabudu Allah kwa njia aliyoielekeza yeye,
NINA MASHAKA :
🫴au umesilimu juzi toka #ugalatiani kaka?
Maana naona unaongea #ushubwada tu hapa
NDIO MAANA #MASALAFY TUNASISITIZA WATU WAFUNZWE #TAWHWED KWANZA KABLA YA KUKIMBILIA MASUALA YA #JIHAAD KWAKUA ...DINI HAITONUSURIWA NA WATU WENYE AKILI ZA KILEVI NAMNA HII
@AbdallahAl91947 @BlackWolfBeast @khilafah8 @Matallahkhamis
@abusumayyah_o wewe ndo ujiulize why unamvua mtu Uislam sababu ya kuzikataa hadith, unajua wewe jamaa maandiko mengi lakin hata unachoandika hukijui na hata unachopinga au pinga hukijui, uzuri wa ujenzi wa hoja uwe unajua unasimamia nn? sio maelezo mengi ambayo yanajirudia rudia.
#Watoto wa Kisaudi husali Swala ya Alfajiri kila siku katika Msikiti wa Mtume (Masjid Nabawi)...
Hupata mafundisho ya kila siku kuhusu #Qur'an, #Hadithi, na #Aqīdah. 🇸🇦
Ndiyo maana wanaowapiga matamko ya kilugha na wenye ndevu za fitina wamewachukia kwa miaka mingi na kuwaita "#Wahabi".
Hii ni kwa sababu dini ya Wasaudi iko wazi na safi –
🤏(wanasema:
"Amesema Allah na amesema Mtume") – hatuifanyi siasa, wala hatupori mali za watu kama wanavyofanya Masufi, Ikhwanul Muslimin, na washirika wao wa kimkakati.
@Rahim_Meghji @AbdallahAl91947 @BinKombo3 @khilafah8 @Matallahkhamis @HabiibYahyaa
الاطفال السعوديين في صلاة الفجر كل يوم بالمسجد النبوي...
دروس يومية في القران والحديث والعقيدة. 🇸🇦
لهذا يكرهكم اللاطمون ولحى الفتنة على مدى سنوات ويسمونكم وهابية.
لأن دين السعوديين واضح وصافي (قال الله وقال الرسول)، لانسيّس ولانسلب أموال الشعوب كالصوفية والاخونجية والمحورجية.
Ndanda Mukaya, kijana mwenye tamaa ya madaraka, anaingia kwenye siasa za uchawi baada ya kiapo kwa Babu Kahenga. Je, nguvu za giza zitamfikisha kwenye kiti cha enzi au zitamwangamiza? #SiasaNaUchawi #NdotoYaKiti #Hadithi
👇👇👇
Usher in this new year by attending this event happening this Saturday at Eugenia Park
Tickets are available here:
https://t.co/4DWZvY6Eb4
#hadithi

🎻 The Kenya International Chamber Festival returns to Nairobi with the world premiere of *Hadithi* by Tomas Benitez! Narrated by Levi Wataka and choreographed by Dance Theater Kenya. Don’t miss it! 🌟
#KICF2024 #Hadithi #WorldPremiere #LeviWataka #DanceTheaterKenya #ViolinMagic

An unforgettable fusion of cultures and sounds! 🎶
Hadithi by Tomas Benitez, featuring the brilliant works of multiple artists takes you on a musical journey like no other. 🌍✨
#newevents #Hadithi #TomasBenitez #CharltonSingleton #PhilipGlass #Tchaikovsky #Piazzolla

#IRWD2023 3 DAYS -TO- GO cultivating good food for alll #LandIsFood
#Fursa kuonesha kazi &matokeo ktk kumwezesha Mwanamke aishie kijijini #Hadithi za ukweli kuhusu Mwanamke & uzalishaji wa chakula @TawlaTZ @tgnptz @stand4herlandtz @ Landesa_Global @Stand4HerLand @unwomentanzania

Reading is a great habit. Like all habits, it needs repetition and regularity to establish itself. Which Kiswahili storybooks are you reading with your child this term?
#storybooks #storybooks #childrenbooks #hadithi #Worldcoin Breaking News Babu Owino
What is Mama doing in this Scene?
#childrensbooks #storybooks #books #childrenillustrations #hadithi #earlylearning HELB
Kabarak Crazy Kennar

Toddlerhood is the perfect mix of play and chaos 😊
#childrensbooks #childrenillustration #storytime #Storytelling #Toto #hadithi #toddler #Worldcoin

Toto is a very playful character😄here is another scene where toto is sticking the tongue out.
#childrensbooks #childrenstories #storybooksforkids #storytime #funstories #hadithi #TwitterX Sudan

What face is Toto making in this Scene?😀
#childrensbooks #illustrations #hadithi #childrensactivities #storybooksforkids #MainaAndKingangi #MondayMotivation

Empowering young minds with African Stories : Inspire curiosity, imagination & cultural appreciation through the More Africa Series.
#childrensbooks #storybooksforkids #storytime #storytelling #readaloud #reading #hadithi #africanliterature #africanstories #TawaMaternityUnit
#TBT - Hii ndio My bro Banana Zorro hii anaitaga Miziki Ya Miziki.
#Hadithi
#BongoFlavaMabeganiFor20Years
Here is a book to teach your children about conflict resolution and forgiveness. The book's level is for children between 7years to 9years.
#storytelling #yourstory #storytime #readaloud #bookseries #hadithi #earthquake #PresidentRutoChallenge
Our own Sec Gen will be sharing on his life becoming
Let's all turn up at the assembly hall and get this amazing life story
#HADITHI ZETU✔️✔️

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.1M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.9M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61M followers

X 
@x
60.8M followers















