Top Tweets for #HBaba
@eastafricatv " Mashabiki, wasanii, wadau wa sanaa msikae kimya, wakati wa furaha tulifurahi tamoja matatizo mnakausha sio poa "
#Hbaba ulikuwa wapi wakati wa matukio ya 29oct? Hao mashabiki gani mnaowataka waitikie ombi hili? Hawa ambao hawajui wazike nguo au waendelee kuzitunza? Wasenge nyie

Msanii #HBaba amewaomba wasanii wengine 20 kutoa Milioni moja moja kwa kila mmoja wao ili kumchangia #Matonya ambaye amekamatwa Mombasa Kenya kwa tuhuma za Ubakaji.
"Niwaombe viongozi na ngazi za juu tuangalie namna yakumsaidia ndugu yetu Matonya Mapungufu kwa mwanadamu nikawaida hakuna mkamilifu chini ya jua kukosea ndio kujifunza"
"Mashabiki, wasanii, wadau wa sanaa msikae kimya, wakati wa furaha tulifurahi tamoja matatizo mnakausha sio poa leo kwake kesho sisi. Wasanii 20 tutoe milioni moja moja tupo wengi"
Lengo la kupatikana kwa pesa hizo ni zitumike kama dhamana ya msanii Matonya.
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha

Ujumbe wa #HBaba kuhusu sakata la #HarmonizeTz na #Ibraah kutupiana maneno mitandaoni.
"Mdogo angu @harmonize_tz hebu maliza hili we na @ibraah_tz mnapoelekea sio pazuri, umepambania ukubwa umeupata, ulinde achana na hizi mbanga huyo ni mdogo wako muite myamalize mnapoelekea sio pazuri utachagua KAJALA au IBRA".
"Mimi nakujua huna roho mbaya kiasi hicho kwa upendo uliokuwa nao kwa @ibraah_tz hebu kaeni chini Mtwara mbali ndugu zangu".
Wasanii hao wa Konde Gang Music wameitwa Baraza Sanaa la Taifa (BASATA) asubuhi ya leo kuzungumza kinachoendelea kati yao.
#Trending #Viral #Harmonize #Ibraah #KondeGangMusic

#BURUDANI Mr Mwanza #HBaba akinyoosha maelezo sababu za kumsamehe #Harmonize sayarini #PlanetBongo.
#PlanetBongo #DataNaData @airtel_tanzania
#BURUDANI Muigizaji Mr Pimbi amefunguka sababu zilizofanya kurudi Team Konde Gang tofauti na zamani ambavyo alikuwa anampinga @harmonize_tz
#FridayNightLive #FNL #KondeGang #Harmonize #Hbaba
#BURUDANI Kumbe Mr Pimbi amepigwa Block mtandao wa Instagram na Simba la Masimba Dangote 😀
Sikia hapa akitaja sababu iliyofanya kublokiwa na @diamondplatnumz
#FridayNightLive #FNL #DiamondPlatnumz #Harmonize #HBaba @tbway360 @billsepengaa @conniebeily
#BURUDANI Mr Pimbi amefunguka tukio la #HBaba kumpigia magoti @harmonize_tz walipokutana Studio kwa madai ya alipokuwepo hana furaha.
#FridayNightLive #FNL #Harmonize #HBaba @tbway360 #Billsepengaa @conniebeily
#BURUDANI "Kuna watu wanalazimisha H Baba kukaa kundi la Chawa, Mimi sijawahi kuwa chawa napigania maisha yangu" - H Baba
#FridayNightLive #FNL #HBaba @tbway360 @billsepengaa
#BURUDANI Haji Manara anahonga, anajua ile shughuli ya kuvisha pete aliyofanya sio ndogo - H Baba.
#FridayNightLive #FNL #HBaba #DullaMakabila #HajiManara
#BURUDANI Comment ya msanii #HBaba akizungumzia story inayotrend kwa sasa mitandaoni kati ya msanii wa singeli #DullaMakabila na #HajiManara.
#FridayNightLive #FNL #HBaba #DullaMakabila #HajiManara
#BURUDANI Msanii #HBaba anasema hataki #DiamondPlatnumz na #Alikiba wapatane kwa sababu wakipatana game italala licha ya kuwaweka pamoja kwenye ngoma yake.
#FridayNightLive #FNL #HBaba #DiamondPlatnumz #Alikiba @tbway360 #Billsepengaa
#BURUDANI MR Mwanza #HBaba akifunguka Collabo yake akiwa na mastaa wawili wa BongoFleva @OfficialAliKiba na @diamondplatnumz kwenye ngoma 1.
#FridayNightLive #FNL #HBaba #DiamondPlatnumz #Alikiba @tbway360 #Billsepengaa
#Mwijaku ndo chawa mwenye akili nyingi kuwashinda chawa wote bongo. @babalevotz na #Hbaba wana vingi vya kujifunza kutoka kwa mwijaku.

Msanii #HBaba amefunguka kupitia #OFFAIR ya #PlanetBongo kuwa haujui wimbo mpya wa @harmonize_tz unaofanya vizuri kwa sasa Bongo 'Single Again'.
#PlanetBongo #OFFAIR @lesa_sid @MsafiiRich
2. Angalia billionaire kijana @diamondplatnumz umetulia unasaidia watu wengi umeajiri vijana kibao na mimi ndani hata siringi" - #HBaba
#DiamondPlatnumz #HBaba #WCB
#BURUDANI Msaniii #HBaba ametusanua hapa Mahakama Kuu ya Burudani #FridayNightLive kuwa ana watoto 13.
Una watoto wangapi au umepanga kuwa na watoto wangapi?
#FridayNightLive @LesaSid #Billsepengaa
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.4M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers





