Top Tweets for #Hasara
@HudsonKtv @buhler_doris @akgleichheit @Nil__Ba Die #Hasara wird auch immer primitiver und hysterischer #Block
Good morning 🌄
Nimestukaa Leo ni 10 september
Suala la huu mwaka kula pilau kwenye ndoa yangu lishakuwa ngumu
Mnaniangusha
No mpenzi
No money
#hasara tupu hii ni 380k free derliver
What's 0755036868

Wakati Kenya Airways inapata faida....ATCL bado wanapush hashtags za #Hasara
“Kwa mwaka wa fedha 2022/23 Kampuni ya Ndege Tanzania ilipata hasara ya shilingi bilioni 56.64, sawa na ongezeko la asilimia 61 kutoka hasara ya shilingi bilioni 35.24 iliyoripotiwa mwaka uliopita.” CPA Charles Kichere, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
#RipotiyaCAG2022/2023

#TRICKY_SANA HII
Itambulike kua akuna mfanyabiashara anaefanya kwa #hasara ata siku moja!
✍Kuna maswali mengi.
1.ANAWINDA TEUZI ?🤔
2.IMMUNITY YA MAGENDO YAKE YA KIBIASHARA?☹
3. Ccm imkingie kifua kwenye UHALIFU WAKE kwa wananchi?🤔
Mwisho:
Atuoni sababu yakutoa kwa police
AJITOLEA NYUMBA YAKE KUWA KITUO CHA POLISI
Mfanyabiashara wa Kata ya Ilangala katika kisiwa cha Gana Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa Mwanza Nyamitere Ugunya, amejitolea nyumba yake aliyokuwa anaitumia na kuikabidhi kwa Jeshi la Polisi ili iwe Kituo cha Polisi kwa ajili ya kutoa

Zaporozhye
🔥#Hasara za Adui
Ndege aina ya AS-90 inayotolewa na Uingereza ya Vikosi vya Wanajeshi vya Ukraine inateketea kwa moto baada ya kupigwa na mabomu ya "Krasnopol-M2" karibu na sekta ya Orekhov. Hili ni la nne kuharibiwa.
Fahamu mafanikio na hasara kadhaa kwa walipa kodi nchini Kenya iwapo mswaada wa fedha 2023/24 utapitishwa kuwa sheria kama ulivyo.
#mswaada #fedha #sheria #walipakodi #wananchi #hasara #faida #voa #voaswahili #dunianileo
Mkazi wa Nairobi aeleza namna maandamano nchini Kenya yalivyo sababisha kupata hasara ya kupoteza biashara yake baada ya kuchomwa moto.
#mkazi #maandamano #nairobi #kenya #hasara #biashara #moto #voa #voaswahili #dunianileo
Wafanyabiashara wanakabiliwa na hasara ya mamilioni ya fedha kutokana na ghasia za maandamano yanayo shuhudiwa nchini Kenya.
#maandamano #ghasia #hasara #wafanyabiashara #voa #voaswahili #dunianileo
Wafanyabiashara wanakabiliwa na hasara ya mamilioni ya fedha kutokana na ghasia za maandamano yanayo shuhudiwa nchini Kenya.
#wafanyabiashara #hasara #kenya #maandamano #nairobi #voa #voaswahili #dunianileo
Lakini pia kikubwa zaidi, TUNATOA ELIMU YA KITAALAM KABISA KWA Wakulima wetu, Kwa Vitu mbali mbali kwenye Kilimo kuanzia MAANDALIZI YA SHAMBA MPAKA MAVUNO.
Lengo letu ni kuhakikisha MKULIMA Anaepuka #HASARA Zisizo na Lazima.
Karibu KWETU uweze kufanya Mawasiliano nasi....
Leo nimeona hii kauli kwenye Daladala,
"Hasara haichagui mtaji."
Taja nyingine uliyowahi kuiona na ikabaki kukufikirisha.
@omari_manyama #mtaji #hasara @FIKRA_PEV
Kalime nyanya na vitunguu kijijin kweny kijana jiaridi mwaka unaisha tena huu UMEFANYA NINI?
kumtag tag raisi unazan anapenda sifa za watu wenye akili mgando kama wewe!
Ndio maana umtag mama aliyekuzaa amana anajua kazaa #Hasara tupu🚮😂
Nichukue nafasi hii kuwapongeza Wakuu wa Wilaya wote walioteuliwa na kuaminiwa na Mwenyekiti wetu wa Chama cha Mapinduzi, Rais Dkt @SuluhuSamia. Hii ni heshima kubwa sana. Nawatakia majukumu mema, wakawahudumie vizuri Watanzania wote, wakamwakilishe vema Rais wetu na Chama chetu.

Wazanzibari sio wajinga wanataka Muungano lakini ~~ Muondo wa Muungano wa sasa kwetu ni sawa na Ukoloni… #Hasara kwa Wazanzibari ni kubwa kwa Muundo ulipo sasa
Speaking with Tundu Lissu, @HilmiHilal88, @mwaipungu24, Tajiri Tajiri and Mtela Joe https://t.co/GCYNK92uav
تجمع سراسری مردم افغانستان علیه طالبان و نسل کشی هزاره ها،
در بین مردم افغان، مردم ایران هم به کمک آمدن.
هامبورگ، 16مهر شنبه
بر ضد ظلم ظالمان، مردم جهان به پا خواستند.
به امید اتحاد پایدار همه ی ملل و همه نژادها
#Hasara
#MahsaAmini
#تظاهرات_سراسری
Kimbunga Ian daraja la nne kilikuwa na upepo unaokwenda kilomita 240 kwa saa, kimeleta mafuriko na nyumba milioni 2 zilipoteza umeme. Sikiliza maelezo zaidi kuhusu athari zake...
#kimbungaIan #mafuriko #dharuba #hasara #vifo #uharibifu #florida #voa #voaswahili #dunianileo
@IAMartin_ Kubwa jinga kabisa hili,Kama kuna #hasara kubwa Magufuli alituachia kama TAIFA ni aina ya wabunge wake aliowapitisha kwa mtutu wa bunduki katika uchaguzi mkuu uliopita ili waje wabadilishe katiba atawale milele mSasa hapo anajiona amechangia #hoja na kuwawakilisha wananchi wake😂
@Nipashetz ATCL CAG anasema imepata #hasara na inajiendesha kwa hasara #lakini tunaambiwa soon ATCL wataagiza ndege nyingine 5 mpya ambazo zinanunuliwa cash😞.. Hii nchi bila kupata KATIBA MPYA ni hamna kitu
Wafugaji waeleza namna mafuriko yaliyovyo kuwa makubwa na kusababisha hasara kubwa kwa mifugo yao nchini Kenya.
#wafugaji #Mafuriko #Hasara #Mifugo #Kenya #voa #voaswahili #dunianileo #mvua
„Von fanatischen Islamisten terrorisiert, von den Taliban ihres Landes beraubt.“@dw_deutsch macht auf die prekäre Lage der #Hasara in #Afghanistan aufmerksam. Die ethnische Minderheit versucht, u.a. im Projektgebiet von @caritas_ci um Bamiyan zu überleben. https://t.co/nPbBBrskoL
Last Seen Hashtags on Sotwe
Bringkiranbedi
Seen from United States
femdom #scat
Seen from Korea
katrina jade
Seen from Turkey
CONTROLRadio
Seen from Brazil
homoflex
Seen from United States
ديوت_أمي
Seen from Egypt
cuckoldtürkiye
Seen from Turkey
BrasilPaisdoVolei
Seen from United States
Faith
Seen from United States
çeşme
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers

















