Top Tweets for #JFSTORIES
Mdau, ungekuwa eneo la tukio ungemwambia nini mpiga tarumbeta?
Soma Zaidi https://t.co/F4sxwjcUIq
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFChitChats #JFStories
Ukiingia Bafuni kuoga, unatumia dakika ngapi?
Mjadala zaidi https://t.co/gGsNDAXRZr
#JamiiForums #LifeStyle #JFStories #JamiiAfrica #JFChitChats

Vipi Mdau, unajali mwonekano wako Kimavazi au ni wale ili Mradi umevaa?😂😂😂
Mjadala zaidi, https://t.co/iUTq2r0MSx
#JamiiForums #JamiiAfrica #Uwajibikaji #LifeStyle #Fashion #JFChitChats #JFStories

Ulitumia mbinu gani ili kuendelea na Maisha baada ya kumpoteza Ndugu/Rafiki wa karibu sana?
Mjadala zaidi https://t.co/onFgKSJ7gR
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFChitChats #JFStories #Maisha

#MAISHA: Malezi uliyoyapata kutoka kwa Wazazi/Walezi wako yamekuathiri vipi kwenye namna unavyolea/utakavyowalea Watoto wako?
Mjadala zaidi https://t.co/UM8kXqBJJH
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFStories #JFChitChats #Malezi

Ungependa Mwanao afanye Kazi/Shughuli unazozifanya kwa sasa, au unatamani iwe tofauti?
Mjadala zaidi https://t.co/aczep5yvcs
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFStories #JFChitChats #Maisha

Umeajiri Vijana katika Biashara yako? Ni Waaminifu?
Unamshauri Mdau atumie mbinu gani ili kushughulikia changamoto za Uaminifu kutoka kwa Vijana wake wa Dukani?
Mjadala zaidi? huu https://t.co/bGZwkjJBG4
#JamiiForums #JamiiAfrica #Biashara #Uchumi #JFChitChats #JFStories

Ulitumia mbinu gani ili kufanikisha kujenga Nyumba yako ya kwanza? Ulichukua Mkopo au uliweka Akiba kidogokidogo?
Mjadala zaidi https://t.co/tUUvRgZLsC
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFChitChats #JFStories #Maisha

#MALEZI: Vipi kwa upande wako, Mzazi/Mlezi wako aliwahi kukuhusia jambo gani ambalo bado unalizingatia mpaka sasa?
Mjadala zaidi https://t.co/0pFBYGfGXR
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFStories #JFChitChats #Maisha

Unampa Ushauri gani Kijana aliyekuja Dar kutafuta Maisha?
Mjadala zaidi https://t.co/DqVYtagMyS
#JamiiAfrica #JamiiForums #Maisha #JFStories #JFChitChats

#BURUDANI: Vipi Mdau, bado unapendelea kwenda 'Club' au wewe ni mmoja wa wasiopenda hiyo Starehe?
Tembelea Mjadala huu https://t.co/CBd1VTj5rC
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFChitChats #JFStories #Entertainment

Vipi Mpambanaji, bila kazi wala Biashara yoyote, Akiba uliyonayo unaweza kumudu gharama za Maisha kwa muda gani?
Shiriki Mjadala huu https://t.co/ZBRyuZoEMn
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFChitChats #JFStories #Maisha

Na wewe ulikuwa unawaona Ndugu zako wa Dar wabinafsi au wewe ndiye Ndugu uliye Dar unayeonekana mbinafsi?😂😂😂
Shiriki kwenye Mjadala https://t.co/dGod6wAmB8
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFStories #JFChitChats #Maisha

Hebu tuambie Mdau, ikitolewa ofa ya kupata Milioni 10 sasa hivi kwa kigezo cha Usafi wa Miguu na Kucha zako, hela unapata au ndio mpaka majaaliwa?😂😂
Mjadala https://t.co/Y1XZaRq1cw
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFChitChats #JFStories #Beauty

Unamshauri nini Mdau?
Shiriki Mjadala zaidi https://t.co/nt44LgrOz5
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFChitChats #JFStories #Maisha

Unampa Mdau mbinu gani ili aweze kurudiana na Mpenzi wake?
Shiriki Mjadala huu zaidi https://t.co/BsmmPU0Lug
#JamiiForums #JamiiAfrica #Maisha #JFStories #JFChitChats

Mdau unapendekeza kitu gani kiwepo kwenye Nyumba za kupanga ambacho ni cha muhimu kwaajili ya Wapangaji?
Mjadala zaidi https://t.co/GbzxRoiOd4
#JamiiForums #JamiiAfrica #Maisha #JFChitChats #JFStories

Tembelea Mjadala huu kuona majibu ya Wadau wa https://t.co/OgiXhqmXJu kuhusu maana ya Ndwele https://t.co/jW9kof3NJH
#JamiiForums #JamiiAfrica #Maisha #QuestionOftheDay #JFChitChats #JFStories

Vipi Mdau, ulizingatia nini kwenye kumpa Mtoto wako Jina?
Jina ulilopewa na Wazazi/Walezi wako limewahi kukuletea usumbufu wowote Maishani mwako?
Mjadala zaidi https://t.co/G1DhhzgNfQ
#JamiiForums #JamiiAfrica #Maisha #JFChitChats #JFStories #Malezi #Parenting

Vipi Mdau, na wewe ni mpenzi wa Paa ndefu au huwa unazingatia nini kwenye Ujenzi wa Paa la Nyumba?
Shiriki Mjadala huu zaidi https://t.co/y8znYBFzPk
#JamiiForums #JamiiAfrica #Maisha #JFChitChats #JFStories

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.7M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
97.9M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.2M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.4M followers

X 
@x
60.8M followers































