Top Tweets for #JohnDilinga
“#JohnDilinga aliupiga wimbo wa Banana kwenye kipindi chake enzi zile akasema ngoma ilikuwa kali. Baada ya kuupiga Banana ndio akahit akawa Banana.”- @ZahirAlly
#SalamaNaZahirZorro #YST
“Bwana mwanaume boxer atavaa mpaka itapomsibu yeye mwenyewe kuibadilisha. Binafsi navaa mara moja tu.”- #JohnDilinga #DJJD
#SalamaNaDJJD #YST


“#AfandeSele nilimsaidia na alipopata akataka kunikatia asilimia kubwa nikamwambia 30% ilinitosha baadae alirudi akasema ndugu zake walitaka kumtenga juu ya hilo, ndugu ambao hawakumsaidia mwanzo. Tulikuja kupishana baada ya yeye kunigeuka kwenye maneno yake.”- #JohnDilinga #DJJD
“Nilisaidia wasanii wengi na miongoni mwao walikuwa #MrNice na #AfandeSele.”- #JohnDilinga #DJJD
#SalamaNaDJJD #YST
“Binadamu kuna muda ili wasijilaumu wao wenyewe kwa yale waliokufanyia watatafuta namna ya kukulaumu wewe.”- #JohnDilinga #DJJD
#SalamaNaDJJD #YST
“Kwa mapenzi niliokuwa nayo kwa muziki nilitamani sana wanamuziki wafanikiwe. Nilikuwa nikisikia ngoma kali hata kama msanii hana pesa mimi naipiga maana msanii anaweza kuja kwako kachoka anajikakamua kukupa pesa aliobaki nayo ili upige muziki wake.”- #JohnDilinga #DJJD
#YST

“Kila mtu anakipawa chake na jinsi ya kufanya kitu chake kiwe chake. Kuna umakini ambao unapaswa kuwepo na sio sifa tu.”- #JohnDilinga #DJJD
#SalamaNaDJJD #YST
“Maisha hutoa discipline ya hali ya juu sana. Unavyozidi kukua hupaswi kufika kwenye level ya kujisahau. Kadri maisha yanavyokwenda unapaswa kujua unaenda nayo vipi maana maisha hubadilika.”- #JohnDilinga #DJJD
#SalamaNaDJJD #YST

“Nilikuwa DJ wa kwanza kusikika katika redio tatu tofauti pamoja na clubs na kwenye TV.”- #JohnDilinga #DJJD
#SalamaNaDJJD #YST

“Watu hudhania ukishalipia kitu, kila kitu kinakaa sawa lakini kuna vitu ni vya hisia sio vya pesa.”- #JohnDilinga #DJJD
#SalamaNaDJJD #YST
Ilinisumbua kujua kwamba nimetoka kwenye familia ambayo baba yangu alikuwa mkimbizi kutoka kwenye vita maana Baba yangu alikuwa mwanajeshi na aliuawa Zambia. Nilipenda kufahamu mengi kuhusu historia yetu tulipotokea.”- #JohnDilinga #DJJD
#SalamaNaDJJD #YST

“Watu wengi humkimbilia Mungu wakiwa na shida lakini wakishapata wanachokihitaji wanamsahau Mungu. Mimi huwa napenda kumkimbilia Mungu mara zote nikipata na nikikosa namshukuru kwa yote.”- #JohnDilinga #DJJD
#SalamaNaDJJD #YST

Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers
