Top Tweets for #KOROSHO
Sorry for a Past Drawing... but that's all i have, it's okay! Korosho~
Anyway, Happy Launch Anniversary Hibikiπ₯³πβοΈ
#Throwback #Hibiki #ιΏ
#ιΏι²ζ°΄ζ₯ #ιΏηθͺη₯ #ιΏηθͺη₯2025
#θ¦ιγγγγγγ #θ¦γγ
#Kancolle #Korosho

π¨πΎβπΎπ° Waziri wa kilimo Mh. Hussein Bashe amesema serikali imeanza kulipa wakulima wa korosho madeni ya nyuma yaliyodumu kwa miaka 3 na kuongeza kuwa wizara inategemea kupokea shilingi bilioni 200 ambazo ni ushuru wa mauzo ya nje ya zao la Korosho(Export levy). #KOROSHO

π Ripoti ya mauzo ya Korosho kupitia minada ya msimu wa mauzo wa mwaka 2024-2025 imeonesha ongezeko la mauzo ya zao la korosho kutoka tani 254,500 (2023-2024) hadi tani 410,000 (2024-2025) ambapo ongezeko hilo limechangiwa na uzalishaji wa korosho nchini kuongezeka. #KOROSHO

π¨βπ»π Wastani wa bei ya juu ya mauzo ya zao la Korosho katika chama cha ushirika wilayani Masasi MAMCU Ltd umeshuka kutoka shilingi 2,590 kwa kilo kwenye mauzo ya mnada wa Disemba 2, 2024 hadi shilingi 2,450 kwa kilo kwenye mnada wa jana Disemba 9, 2024. #KOROSHO

π¨βπ»π Bei ya mauzo ya Korosho katika chama cha ushirika cha TANECU Ltd imepanda kutoka shilingi 2,910 kwa kilo katika mnada wa Novemba 22, 2024 hadi kufikia shilingi 3,080 kwa kilo katika mnada uliofanyika jana Novemba 29, 2024. #KOROSHO

π¨βπ»π Bei ya mauzo ya Korosho katika mnada wa chama cha ushirika Corecu Limited wilayani Kibiti imeshuka kutoka shilingi 2,580 kwa kilo katika mnada wa Novemba 14, 2024 hadi shilingi 2,060 kwa kilo katika mnada wa Novemba 27, 2024 ambapo tani 179,527 zimeuzwa. #KOROSHO

π Chama kikuu cha ushirika cha RUNALI Ltd leo Novemba 24, 2024 kimeuza tani 4,003 za korosho kwa wastani wa shilingi 2,610 hadi shilingi 3,060 kwa kilo. #KOROSHO

Kwa kipindi cha wiki nne ya minada, wakulima wa #Korosho wamelipwa Tshs 743.5 billion, huu ndio uchumi jumuifu.
Ikumbukwe hii minada itaendelea kila wiki mpaka mwanzoni Mwa mwezi wa pili 2024.
Uchumi wa aina hii unahakikisha hakuna mtu anaachwa as long as ni mkulima wa zao husika.
Ewe mzee mwenzangu na kijana, karibuni tukalime, mashamba yapo, mbolea za ruzuku zipo, mbegu za ruzuku zipo, madawa kwa mfano kwenye Korosho tunapewa sawa na bure, kazi kwetu, tushindwe sisi tu.
@HusseinBashe
ππ Ripoti ya mnada wa chama cha ushirika cha Runali Limited kinachohudumia wilaya za Ruangwa, Liwale na Nachingwea leo Oktoba 27, 2024 | Kilo 14,516,790 zenye thamani ya shilingi 47,179,567,500 zimeuzwa.
---
Bei ya mauzo ni shilingi 3,110 hadi 3,390 kwa kilo. #KOROSHO

π Ripoti ya mnada wa Korosho kwenye chama cha ushirika TANECU Oktoba 25, 2024 | Tani 19,073 zimeuzwa kwa wastani wa bei ya shilingi 3,200 hadi 3,430 kwa kilo. #KOROSHO

π¨βπΎπ° Chama cha ushirika TANECU kinachohudumia wilaya za Tandahimba na Newala kimeanza kuwalipa wakulima wa Korosho walioziuza kupitia mfumo wa TMX kupitia mnada wa kwanza na wa pili.
---
Mnada wa kwanza: shilingi bilioni 17 | Mnada wa pili; shilingi bilioni 81. #KOROSHO

π¨βπΎπ° Uongozi wa chama cha ushirika cha Runali Limited umeanza kuwalipa wakulima malipo ya mnada wa kwanza uliofanyika Oktoba 13, 2024. #KOROSHO

π¨βπ»π° Mnada wa pili wa zao la Korosho chama cha ushirika Mwambao mkoani Lindi uliofanyika leo Oktoba 19, 2024 umefanikiwa kuuza kilo 11,097,464 zenye thamani ya sh. 36,011,270,680.
---
Bei ya mauzo ya korosho katika mnada huo imefikia sh. 3,060 hadi 3,430 kwa kilo. #KOROSHO

Last Seen Hashtags on Sotwe
anxiouspanda()+filter:native_video
Seen from Indonesia
cholitas
anxiouspanda(*)(*)filter:videos
taboo incest
Seen from United States
kazebrawlstars
Seen from Norway
latina
Seen from United States
minichat filter:videos
Seen from France
izmirpasif
Seen from Turkey
roblox cumtribute
Seen from United States
SiriDahl
Seen from Brazil
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers









