Top Tweets for #Kibada
COMING SOON!
THIS FRIDAY EVENING
NEW SONG "KISHA NIKAONA"
#KIBADA SDA CHOIR
https://t.co/WIcd58KFYi
STAY TUNED!
DON'T FORGET TO #LIKE #SUBSCRIBE #COMMENT & #SHARING


#Kibada SDA Choir
🎞 Mungu ni msaada kwetu.. Miaka yote ,na ni kimbilio letu wakati wote. Karibu tubarikiwe na ujumbe huu wa wimbo utakaoleta furaha maishani mwetu.
#MAJENGO BIG DAY
#KIBADA SDA CHURCH
#Kwaya ya #KurasiniSdaChoir ipo tayari kuja kuabudu nasi kwa njia ya #Uimbaji Jumamosi hii.
Nyote Mnakaribishwa.
@CRDBBankPlc

#MAJENGO BIG DAY.
#KIBADA SDA CHURCH
#MHUBIRI MCH. KENNEDY WARUMBE
KATIBU MKUU - SEC
KONFERENSI YA KUSINI MASHARIKI MWA #TANZANIA
BWANA NI MWEMA SANA.
KARIBU KUSHIRIKI NASI MBARAKA HUU WA KIPEKEE.
@hopemediasec
@hopechanneltz
@Hope_Channel
@KijengeSDAMedia

#Majengo #Kibada #BigDay 2024
Karibu katika Ibada hii ya pekee ya kuwezesha kufanikisha ujenzi wa nyumba ya kuabudia - Kanisa.
Mgeni rasmi: #Abdulmajid Nsekela
Mkurugenzi mtendaji wa #CRDB BANK
NI JUMAMOSI HII!
Karibu sana, #Welcome
@CRDBBankPlc @amnsekela

Mungu ni mwema.
Jumamosi hii tarehe 12.10.2024 itakuwa ni sabato maalumu ya #MajengoDay kanisani #Kibada.
#Karibu kushiriki nasi mbaraka huu wa pekee.
Njoo na #sadaka yako kuwezesha kazi ya Mungu kusonga mbele.
BWANA akubariki unapojiandaa.

#HappySabbath
Ni tukio kubwa la kiuinjiristi linalotarajia kufanyika November 2024.
Tukio hili kubwa la Kwaya ya kanisa #Kibada, itakuwa na program mbali mbali za utume. Kila tukio litakuwa Mubashara kupitia account za #Kwaya. Karibuni sana

#HappySabbath
Sabato njema, Mungu awe nasi katika mapumziko haya.
#Karibu katika ibada ya #Meza ya Bwana. Sabato ya kesho, katika Kanisa la waadventista Wasabato #Kibada.
#IbadaTakatifu ya #MezaYaBWANA.

Karibu katika ibada siku ya #Sabato kanisani kwetu #Kibada. Hakika utabarikiwa na vipindi mbalimbali vya Mafundisho, Nyimbo za sifa na utukufu kwa Baba yetu wa Mbinguni.
#Maombi
#Uimbaji
#KibadaSDAChurchChoir
#Dorkas
#FimboYaMusa
#WaimbajiBinafsi
#Sat14September
Ikiwa ni pamoja na muendelezo wa Sikukuu ya Vibanda #Makambi 2024 yenye motto Usemao #Nitakwenda na Familia yangu.
Jumamosi ya tarehe 03-08-2024 #Kibada SDA Choir itashiriki katika #Ibada ya kufunga makambi katika Kanisa la #MJIMWEMA SDA.
KARIBUNI WOTE

Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers

























