Top Tweets for #KilimoTips
#KilimoTips
Kiafya, bamia husaidia kusafisha utumbo mpana, kulainisha choo (kuzua choo kigumu, constipation) huongeza uroto (Bone marrow) kwa wale wenye upungufu wa uroto kwenye maungio pia bamia zina vitamin C ambayo husaidia kulainisha ngozi na kuongeza kuimarisha uwezo wa macho kuona. #KilimoNiAjia2025
@MalemboFarm ll @MalemboGlobal
@AcademyFarms ll @ugalielimu

#KilimoTips
Eneo moja na lenye nguvu kuliko maeneo mengine ya kulisaidia bara Afrika ni eneo la Kilimo. Kilimo ndiyo njia na ndiyo Mwanga wa kuisaidia Afrika. #KilimoNiAjira
@MalemboFarm ll @AcademyFarms

#KilimoTips
Kanda zilizoathirika na mabadiliko ya tabia nchi kwa Afrika ni pamoja na
1.Ukanda wa Afrika Mashariki na Magharibi na hii itashusha ukuaji wa uchumi kwa asilimia 15% ifikapo mwaka 2050.
2.Ukanda wa Kaskazini na Kusini ambako kutashusha ukuaji wa uchumi kwa asilimia 10%
3.Ukanda wa Afrika ya kati kwao athari ni ndogo ambapo uchumi utashuka kwa asilimia 5% #KilimoNiAjira
#KilimoTips
Ufanisi wa AFCTA kwa nchi za Afrika utatategemea sana sekta ya kilimo. Biashara kwenye bidhaa zitokanazo na kilimo bado iko kwa kiwango cha chini mno kuliko ukanda wowote ule duniani(chini ya 20%) #KilimoNiAjira
#KilimoTips
Kilimo biashara ni matokeo ya uhifadhi wa ardhi, lakini uhifadhi wa Ardhi una maana ikiwa ardhi hiyo inalinda vizazi vya leo na kesho na siyo tu kusema unalinda vizazi vya kesho. #KilimoNiAjira
#KilimoTips
Teknolojia nyingi kwenye kilimo siyo matokeo bora ya sera na mikakati bali ni matokeo ya mashinikizo ya kimazingira. #KilimoNiAjira
#KilimoTips
Afrika za Afrika Sera za kilimo hazina ulinzi (zinaitwa buffer) kwa wananchi pale ambapo changamoto za ukosefu wa chakula zinapokuwa za muda mrefu na hivyo kulazimisha teknolojia mpya ili kuoka wananchi. #KilimoNiAjira
#KilimoTips
Mwalimu Nyerere alikiweka Kilimo kwenye Mipango ya kwanza kabisa ya uchumi na hasa kwenye mpango wake wa miaka 3(1961/1964) ambao vipaumbel vyake vilikuwa a). Kilimo na Mifugo b). Mawasiliano c). Elimu ya ufundi na sekondari. #KilimoNiAjira
#KilimoTips
Uwekezaji kwenye viwanda vya nguo ni njia rahisi ya kutatua changamoto ya ajira kwa kuangalia uwiano wa mtaji na kazi( capital/labour ratio). Tanzania tunayo fursa tendeti kwenye eneo hili. #KilimoNiAjira
#KilimoTips
Nimewahi kupata hasara kwenye kilimo kiasi kwamba ilinibidi nianze kupita kila shina la mmea nikimwambia Mungu Shuka Baba, sikuiiti ushuke ila Shuka Baba.
Niligundua nilikuwa mjinga wa maarifa kwa wakati huo maana uvumbuzi wa tatizo ulikuwa ndani yangu kwa kutumia uwezo wa kupata maarifa na kuyatumia kutatua matatizo yangu.
Usiwekeze katika lolote pasina kuwa na maarifa. Maarifa ndiyo hukupa tija kwenye lolote unalotaka kulifanya. #KilimoNiAjira

#KilimoTips
“Maisha ya ustaafu sio maisha yanayopaswa kwenda kumuongezea ugumu mstaafu bali yanapaswa kwenda kumpa furaha mstaafu. Fundisha wastaafu namna ya kwenda kuishi maisha ya furaha na si maisha ya karaha.” #KilimoNiAjira
@MalemboFarm ll @AcademyFarms

#KilimoTips
Ndugu Mwandishi hoja inaweza kuwa; ni kwa jinsi gani tunatumia takwimu zetu kuamua sera zipi tuchukue, lini na kwa mifumo upi, hii itatusaidia kusonga mbele kama Taifa. #KilimoNiAjira
@MalemboGlobal ll @MalemboGlobal

#KilimoTips
Uwepo wangu kwenye sekta ya kilimo kwa zaidi ya Miaka kumi, nimejifunza wanaoingia kwenye kilimo na waliopo kwenye kilimo na ufugaji, Moja ya changamoto kubwa ni kukoswa MAARIFA na TAARIFA muhimu za biashara. #KilimoNiAjira
@ugalielimu ll @ugalielimu

#KilimoTips
Kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara nadhani mtazamo wangu na wengi ni tofauti Mimi naona faida zaidi kufuga wa kienyeji kuliko wa kisasa, pengine Mbinu za ufugaji na gharama za uendeshaji ndiyo siri yangu. #KilimoNiAjira
@MalemboFarm ll @AcademyFarms

#KilimoTips
Mwaka 2016-17, Nimewahi kulima Ekari moja ya Chinese Mwasonga-Kigamboni. Lengo ninunue Simu inaitwa I Phone wakati huo I Phone 7 plus GB256 na nilifanikiwa, nikajisemea ohoo! kumbe naweza kufanya makubwa kwa hizi mboga mboga. #KilimoNiAjira

#KilimoTips
Pamoja na kuwa sekta ya fedha haijawafikia vya kutosha wafugaji,bado 1/4 ya mauzo kwenye sekta hii huchangia 1/4 ya mauzo ya sekta nzima ya kilimo. #KilimoNiAjira

#KilimoTips
Takwimu nchini zinaonesha kuwa ni kati ya 5-8% ya wafugaji huifikia sekta ya fedha kwa urahisi. Tunayo kazi kubwa ya kufanya kuweza kuboresha sekta hii kupitia sekta ya fedha. Unapendekeza hatua gani? #KilimoNiAjira

#KilimoTips
This is frozen semen imported kutoka India na Brazil … sikia Dunia imekuwa Kijiji uhitaji kununua Mtamba Brazil ulete Tanzania, MAARIFA na TAARIFA. #KilimoNiAjira

#KilimoTips
Ili kuleta mageuzi ya kiuchumi(economic transformation); ni sharti kuwepo na muunganiko kati ya sekta za kilimo na zile zisizo za kilimo. Vijana walio kwenye mnyororo wa thamani wa kilimo na hii ndiyo maana halisi ya muunganiko huu. #KilimoNiAjira

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65M followers

Bill Gates 
@billgates
64.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers







