Top Tweets for #KitengeSports
Bado milango ni migumu katika dimba la New York New Jersey kwenye fainali ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.
28': Argentina ๐ฆ๐ท 0-0 ๐ช๐ธ Spain
#KitengeSports

Mapema sana, Declan Rice anaiandikia England bao la uongozi dhidi ya Ufaransa katika dimba la Miami, Florida Marekani.
France ๐ซ๐ท 0-1 ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England
โฝ 02' Rice
#KitengeSports

Hakika kabisa sasa ni Vita ya Argentina na Uhispania kwenye Fainali ya Kombe la Dunia 2026. England anabadilishiwa kibao na kufungwa mabao 2-1 kwa haraka mno na kisha kutupwa nje ya Michuano.
#KitengeSports
Lautaro Martinez anaweka chuma ya pili kwa Mabingwa watetezi, Argentina dhidi ya England, pasi ya pili ya goli kutoka kwa Lionel Messi.
Argentina ๐ฆ๐ท 2-1 ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England
โฝ 85' Enzo (๐
ฐ๏ธ Messi)
โฝ 90+2' Martinez (๐
ฐ๏ธ Messi)
โฝ 55' Gordon
#KitengeSports

Hakuna mbabe mpaka mapumziko katika dimba la Atlanta, Georgia Marekani kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 kati ya Mabingwa watetezi, Argentina dhidi ya England.
HT: Argentina ๐ฆ๐ท 0-0 ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England
#KitengeSports

Pedro Porro ameiandikia Uhispania bao la pili dhidi ya Mabingwa mara mbili, Ufaransa katika dimba la Dallas, Texas Marekani kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.
France ๐ซ๐ท 0-2 ๐ช๐ธ Spain
โฝ 21' Oyarzabal (P)
โฝ 58' Porro
#KitengeSports

Mikel Oyarzabal anaiandikia Uhispania bao la uongozi dhidi ya Ufaransa katika dimba la Dallas Texas Marekani kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.
France ๐ซ๐ท 0-1 ๐ช๐ธ Spain
โฝ 21โ Mikel Oyarzabal (P)
#KitengeSports

Jude Bellingham anaiandikia England bao la pili na la uongozi dhidi ya Norway kwenye hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.
Norway ๐ณ๐ด 1-2 ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England
โฝ 36' Schjelderup
โฝ 45+2' Bellingham
โฝ 93' Bellingham
#KitengeSports

Dakika 45 za kwanza zimemalizika katika dimba la Miami, Florida Marekani mzani ukiwa sawa kati ya Norway 'Vikings' dhidi ya England 'Three Lions'.
HT: Norway ๐ณ๐ด 1-1 ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England
โฝ 36' Schjelderup
โฝ 45+2' Bellingham
#KitengeSports

Andreas Schjelderup anaiandikia Timu ya Taifa ya Norway, 'Vikings' bao la uongozi dhidi ya England 'Three Lions' kwenye robo fainali ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 katika dimba la Miami, Florida Marekani.
Norway ๐ณ๐ด 1-0 ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England
โฝ 36' Schjelderup
#KitengeSports

๐๐
๐
๐๐๐๐๐: Klabu ya Young Africans SC imemtangaza aliyekuwa kocha wa Mamelodi Sundowns, Manqoba Mngqithi kuwa kocha mkuu klabuni hapo kwa mkataba wa miaka akichukua mikoba ya Pedro Gonรงalves aliyetupiwa virago mapema mwezi Mei 2026.
#KitengeSports

Ousmane Dembele anaiandikia Ufaransa bao la pili dakika 6 tu baada ya Mbappe kuandika bao la uongozi dhidi ya Simba wa Atlas, Morocco katika dimba la Boston, Massachusetts.
France ๐ซ๐ท 2-0 ๐ฒ๐ฆ Morocco
โ 28' Mbappe
โฝ 60' Mbappe
โฝ 66' Dembele
#KitengeSports

Mostafa Ziko anaiandikia Misri bao la pili dhidi ya.....ndio hujakosea, Mabingwa watetezi, Argentina kwenye mchezo wa 16 bora wa michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.
Argentina ๐ฆ๐ท 0-2 ๐ช๐ฌ Misri
โ 21' Messi
โฝ 15' lbrahim
โฝ 68' Mostafa Ziko
#KitengeSports

Lionel Messi ameikosesha Argentina fursa ya kupata bao la uongozi akikosa mkwaju wa penalti dhidi ya mafarao, Misri.
Argentina ๐ฆ๐ท 0-1 ๐ช๐ฌ Misri
โ 20โ Messi
โฝ 15โ Y. lbrahim
#KitengeSports

Uhispania wanapata bao la uongozi dhidi ya Ureno katika dimba la Dallas, Texas kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.
Portugal ๐ต๐น 0-1 ๐ช๐ธ Spain
โฝ 90+1' Merino
#KitengeSports

Hakuna mbabe mpaka mapumziko katika dimba la Dallas, Texas kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora wa michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 Kati ya Uhispania dhidi ya Ureno.
HT: Portugal ๐ต๐น 0-0 ๐ช๐ธ Spain
#KitengeSports

Erling Haaland ameweka chuma ya pili akiizamisha jumla jahazi la Mabingwa mara tano, Brazil kwenye michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.
Brazil ๐ง๐ท 0-2 ๐ณ๐ด Norway
โฝ Haaland
โฝ Haaland
#KitengeSports

Erling Haaland anaiandikia Norway 'The Vikings' bao la uongozi dhidi ya Mabingwa mara tano, Brazil katika dimba la New York, New Jersey Marekani kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora wa Kombe la Dunia la FIFA 2026.
Brazil ๐ง๐ท 0-1 ๐ณ๐ด Norway
โฝ 70' Haaland
#KitengeSports

Kylian Mbappe, Michael Olise, Ousmane Dembele na wenzao wa Ufaransa wameshindwa kupata bao mpaka mapumziko mbele ya wababe wa Ujerumani, Paraguay kwenye mchezo wa pili wa hatua ya 16 bora wa Kombe la Dunia la FIFA 2026.
HT: France ๐ซ๐ท 0-0 ๐ต๐พ Paraguay
#KitengeSports

Azzedine Ounahi ameiandikia Simba wa Atlas, Morocco bao la uongozi dhidi ya wenyeji wenza wa michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026, Morocco katika dimba la Houston, Texas.
Canada ๐จ๐ฆ 0-1 ๐ฒ๐ฆ Morocco
โฝ 50' Azzedine Ounahi
#KitengeSports

Last Seen Hashtags on Sotwe
ๆกๅใฏใใ
Seen from United States
Drofika
Seen from United States
whores
Seen from Turkey
sleeping sister filter:videos
ebony
Seen from United States
ใใฉใ ใคใชใ
Seen from United States
เนเธเธเนเธชเนเธซเธเนเธฒ
Seen from Thailand
เคซเคผเคฟเคคเฅเคจเคพเคเคฐเฅ
Seen from United States
ๆตๅบ
Seen from Japan
omegle
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.2M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.4M followers

X 
@x
60.8M followers
