Top Tweets for #KitengeTVUpdates
Baadhi ya wadau walioshiriki Kili Marathon mwaka huu wameeleza jinsi zilivyokuwa.
#KitengeTVUpdates
CHANNEL ZA BURE ZARUDISHWA DSTV.
Rasmi leo Waziri wa Habari @Nnauye_Nape ametangaza kurudishwa kwa Channel za bure kwenye king'amuzi cha DSTV, leo alipotembelea ofisi @dstvtz
#KitengeTVUpdates
Rais wa mpito wa Guinea, Kanali Mamady Doumbouya ameisamehe timu ya Taifa ya Guinea kwa kutoka katika Mashindano ya #AFCON2021 huku akitaka timu hiyo kurejesha fedha ambazo walipewa kwa ajili ya michezo ya robo fainali, nusu fainali na fainali.
#KitengeTVUpdates

Mmoja ya Mashuhuda wa ajali ya Mtumbwi katika Mwalo wa Nyandao huko Geita ambayo iliua wavuvi wawili, amesimulia mkasa huo ulivyotokea.
#KitengeTVUpdates
Chanzo Moto ambao uliwaka leo kwenye moja ya nyumba zilizopo Mtaa wa Shibamu, Magomeni Mapipa Dar es salaam inaelezwa kuwa kutokana na shoti ya Umeme kwa mujibu wa Mashuhuda wa tukio hilo.
#KitengeTVUpdates
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni @gondwe3 ametembelea Mtaa wa Shibamu, Magomeni Mapipa Dar es salaam ambapo leo Nyumba zilizo eneo hilo ziliwaka moto na kuzua taharuki kubwa.
#KitengeTVUpdates
Mohamed Ibrahim Moalimuu ambae ni Msemaji Mkuu wa Serikali ya Somalia amejeruhiwa kwenye mlipuko uliotokea katika mji wa Mogadishu.
Msemaji wa Polisi nchini humo, Abdifatah Aden, amesema kwamba mlipuko huo ulisababishwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga.
#KitengeTVUpdates

Real Madrid au Barcelona watalazimika kutumia euro milioni 350 (£292m) kumsajili mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland.
#KitengeTVUpdates

WAKILI WA MORRISON ACHUKUA FOMU YA USPIKA.
Wakili aliyesimamia Kesi ya Bernard Morrison, Nduruma Majembe leo amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
#KitengeTVUpdates
"Kama mpenzi wa mpira wa miguu kinachofanyika kinapoteza ladha ya mpira wa miguu"
Abbas Tarimba - Mbunge wa Kinondoni.
#KitengeTVUpdates
SURE BOY AKIWASALIMU WANA-YANGA
Salum Abubakar ‘Sure Boy’ kwa mara ya kwanza akiwasalimia wana-Yanga kwa Mkapa. Nyota huyo amejiunga na Yanga akitokea Azam FC
#KitengeTVUpdates
MECHI ILIKUWA YA KIUFUNDI
"Mechi ilikuwa ngumu kila timu imeingia 50 kwa 50 wote tumetengeneza nafasi Yanga alicheza kipindi cha kwanza Simba nao walicheza kipindi cha pili"
Nasreedin Nabi - Kocha wa Yanga.
#KitengeTVUpdates
TAMBO ZA MASHABIKI
Tambo za Shabiki wa Yanga kabla ya mchezo wa watani wa jadi kuanza.
#KitengeTVUpdates
TUKIO LA KOCHA PABLO KWENYE PRESS.
Mwanahabari @Ngitu3 amelielezea tukio la kocha wa Simba Pablo Franco kuondoka kwenye mkutano na waandishi wa Habari.
YouTube tumekuwekea tukio zima la kocha wa simba alivyofika kwenye mkutanona kuondoka kisa mabango ya GSM.
#KitengeTVUpdates
KOCHA APEWE MUDA.
"Muda bado kocha apewe muda zaidi ili timu ikae sawa si uliona Ajibu alivyoingia"
Mzaramo wa Simba.
#KitengeTVUpdates
YANGA ATAKUA BINGWA RAUNDI YA KWANZA.
"Yanga hii anaenda kuweka rekodi kutangaza ubingwa raundi ya kwanza haijawahi kutokea hii Yanga tunakwenda kuifanya"
Shabiki wa Yanga.
Maneno ya Shabiki huyu yatawezekana kweli kutokea?
#KitengeTVUpdates
YANGA HII WAGONJWA WANAPONA.
"Yaani kwa Yanga hii hata wagonjwa wakiangalia wanapona" Shabiki wa Yanga.
#KitengeTVUpdates
YEYOTE AJE-COASTAL UNION
Baada ya kumbana Mnyama kwa Mkapa na kupata suluhu Mashabiki wa Wana Mangushi Coastal Union ya Tanga wanasema kwasasa yeyote aje tu hakuna wa kuwasumbua.
#KitengeTVUpdates
WACHEZAJI WAMEFANYA VIZURI
Mashabiki wa Simba wanasema wameridhika na matokeo na wachezaji wote wamecheza vizuri.
#KitengeTVUpdates
Vibe la wana Mangushi Coastal Union kwa Mkapa leo baada ya kupata suluhu na Mnyama.
#KitengeTVUpdates
Last Seen Hashtags on Sotwe
zelal
Seen from Turkey
ConsigueTusDogleg
Seen from United States
teenage ()filter:native_video
Seen from United Kingdom
nolimit
Seen from Switzerland
somno
Seen from United States
Ankaragay
Seen from Turkey
سوبر_لايف
Seen from United States
omegle
Seen from Turkey
舞小喵
Seen from United States
cuckson
Seen from Brazil
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.9M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.9M followers

X 
@x
60.8M followers
