Top Tweets for #KitengeUpdates
Naibu Waziri wa Vijana, Ajira na Uwezeshaji Hassan Khamis Hafidh amesema katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi Bajeti ya Wizara ya Vijana kuwa, wengi wanaofanya kazi Hotel za Zanzibar si Wazawa.
#KitengeUpdates
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026.
#KitengeUpdates
Rais Vladimir Putin wa Urusi aligundua kuwa beji ya Mmoja ya Mawaziri wa Tanzania ilikuwa imejipinda, na akairekebisha.
#KitengeUpdates
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Shada la maua katika Kaburi la Askari Asiyejulikana (Tomb of the Unknown Soldier) pembezoni mwa Ukuta wa Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow nchini Urusi, tarehe 03 Juni, 2026.
#KitengeUpdates

Mzee wa Minyama @mshambuliaji Yuko Mjini Lilongwe, Malawi kushuhudia usiku wa tuzo za Consumer Choice Africa-Malawi.
@ccawardsafrica
#KitengeUpdates

Mzee wa Minyama @mshambuliaji na Mwanzilishi wa tuzo za Consumer Choice Dkt. Diana Laizer @bhokeegina wako safarini asubuhi hii kuelekea Lilongwe, Malawi kwenye tuzo hizo zinazofanyika nchini humo leo usiku.
#KitengeUpdates

Mzee wa Minyama @mshambuliaji na @Salym Wakiwa kwenye Ibada ya Eid, Masjid Maamour, Upanda Dar es Salaam.
#KitengeUpdates

Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi amesema Viongozi wa Vyama Siasa ni wadau muhimu wa amani.
Jaji Mutungi amesema hayo wakati wa kikao cha Viongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa lilifofanyika Mkoani Morogoro
#KitengeUpdates
Rais wa Marekani Donald Trump ameondoka Washington, D.C. kuelekea China kwa ziara inayotajwa kuwa ya kihistoria.
Ziara hiyo inatarajiwa kuimarisha mazungumzo kuhusu ushirikiano wa kimataifa, biashara, na masuala ya kidiplomasia kati ya Marekani na China.
#KitengeUpdates
Mmoja ya Walinzi wa Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir alikuwa bado hajagundua kuwa Suti yake imechanika, hata pale aliposhtuliwa na mwenzie kazi iliendelea.
Kiir alikuwa anawasili kushuhudia kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni Mjini Kampala leo.
#KitengeUpdates
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron leo asubuhi alijiunga na mwanariadha wa mbio za marathon kutoka Kenya na bingwa mara mbili wa Olimpiki, Eliud Kipchoge, kwa mazoezi ya kukimbia asubuhi mjini Nairobi wakati wa ziara yake kwa ajili ya Mkutano wa Africa Forward.
#KitengeUpdates
Hivi ndivyo Sherehe za Siku ya Utamaduni wa Tanzania Mjini The Hague, Uholanzi zilizoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania Mjini The Hague zilivyobamba.
@UbaloziTheHague
#KitengeUpdates
Shirika la Bima la Zanzibar (@Zic_znz ), limepiga hodi The Hague, Uholanzi kuwafuata Diaspora kwa lengo la kuwaambia BIMA ya mali zao wakate kupitia Shirika hilo.
Majanga hayana hodi, ZIC inawaambia Diaspora wapo na walitumie.
#KitengeUpdates
Balozi wa Tanzania Mjini @UbaloziTheHague , Uholanzi Coroline Kitana Chipeta (@CarollaChipeta ), akiwa na Watanzania mbali mbali kwenye Sherehe za Miaka 62 ya Muungano zilizoandaliwa na Ubalozi huo leo.
#KitengeUpdates

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge pamoja na Viongozi wengine leo Mei 08, 2026 amezindua Kituo cha Mafuta cha GSM Energy kilichopo Kibaha.
Mbali na GSM Energy hii ya Kibaha pia kuna vituo vingine Mbagala na Tunduma pia vitazinduliwa hivi karibuni.
#kitengeUpdates
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imeweka mkakati kuhakikisha mafuta hayaadimiki nchini pamoja na kubuni namna za kutekeleza ruzuku kwenye bidhaa hiyo ili kupunguza gharama.
Dkt. Mwigulu amesema hayo leo Bungeni Jijini Dodoma.
#KitengeUpdates
Rais wa Kenya, William Ruto amewasili nchini kwa Ziara ya Kitaifa ya siku mbili ambapo atapokelewa kwa gwaride la heshima na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan, Ikulu Dar es Salaam na kufanya mazungumzo ya uwili ili kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Kenya.
#KitengeUpdates

Mwili wa mtu mmoja aliyekufa umekutwa kwenye daraja salender mchana huu.
Tayari Kikosi cha Jeshi la Uokoaji Zimamoto limeshafika eneo la tukio.
#KitengeUpdates
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani @HassaniMwamweta amewashukuru Wana Diaspora kwa kujitokeza kwa wingi na kuhudumiwa na taasisi mbali mbali toka Tanzania kwenye Kliniki iliyofanyika kwa siku mbili jana na leo Mjini Berlin, Ujerumani.
#KitengeUpdates
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na Ujumbe wa Rwanda uliongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Paul Kagame, tarehe 03 Mei, 2026.
#KitengeUpdates

Last Seen Hashtags on Sotwe
HappyEnding
Seen from United States
Ψ―ΩΩΨͺ_Ψ¨Ψ―ΩΩ
Seen from France
sophierain
Seen from United Kingdom
SarapNgBata
Seen from Philippines
diyarbakΔ±rtravesti
Seen from Turkey
ε€§δΉcos
Seen from United States
awekmelayutudung
Seen from Malaysia
ebony public
Seen from United States
TPMSpooky
Seen from United States
brondong coli
Seen from Indonesia
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.2M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
97.3M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.6M followers

KATY PERRY 
@katyperry
86.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
80.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
68.7M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
61.3M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60M followers





















