Top Tweets for #Kiwango
#Kiwango cha makusanyo ya maduhuli ya Serikali kimepanda kutoka shilingi bilioni 624.61 zilizokusanywa mwaka wa fedha 2021/2022 hadi kufikia shilingi bilioni 753.82 mwaka wa fedha 2023/2024 - Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Eng. Ramadhanj Lwamo @maelezonews

*ALIYOSEMA KATIBU MTENDAJI WA TUME YA MADINI, MHANDISI RAMADHANI LWAMO WAKATI WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI LEO MACHI 4, 2025 JIJINI DODOMA KUELEZA UTEKELEZAJI WA TUME KWA KIPINDI CHA MIAKA MINNE YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA*.
#Kiwango cha makusanyo ya maduhuli ya Serikali kimepanda kutoka shilingi bilioni 624.61 zilizokusanywa mwaka wa fedha 2021/2022 hadi kufikia shilingi bilioni 753.82 mwaka wa fedha 2023/2024
#Mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa umeongezeka kutoka asilimia 7.2 mwaka 2021 hadi asilimia 9 mwaka 2023 kutokana na kuimarika kwa usimamizi wa shughuli mbalimbali za madini.
#Ukuaji wa sekta ya madini umeongezeka kutoka asilimia 9.4 mwaka 2021 hadi kufikia asilimia 11.3 mwaka 2023.
#Ukuaji wa sekta ya madini na mchango wake katika Pato la Taifa unatarajiwa kufikia asilimia 10 na zaidi ifikapo mwaka 2025.
#Kuanzia mwaka wa fedha 2021/2022 mauzo ya madini katika masoko na vituo vya ununuzi wa madini yameendelea kuongezeka kutoka shilingi bilioni 2.361.80 hadi shilingi bilioni 2,597.18 kwa mwaka 2023/2024.
#Tume ya madini imeendelea kusimamia kikamilifu upatikanaji wa ajira kwa Watanzania kwenye kampuni mbalimbali za uchimbaji wa madini.
#Ajira 19,874 zimezalishwa na makampuni ya uchimbaji wa madini ambapo kati ya hizo, 19,371 ni Watanzania.
#Tume ya madini imeendelea kutenga maeneo mahsusi kwa ajili ya wachimbaji wadogo.
#Tume imefanikiwa kutenga maeneo 58 kwa ajili ya wachimbaji wadogo katika mikoa mbalimbali.
#Tume imeweka mazingira rafiki kwa ajili ya wachimbaji wadogo wa madini kupata leseni za uchimbaji pamoja na kuwaunganisha na taasisi za kifedha ili wapate mikopo kwa ajili ya uendelezaji wa shughuli za uchimbaji.
#Tume imefanikiwa kutoa jumla ya leseni 41,424 kati ya 37,318 zilizopangwa kutolewa katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita ambayo ni sawa na asilimia 111. Leseni hizo zilijumuisha leseni za uchimbaji mkubwa, uchimbaji wa kati na uchimbaji mdogo.
#Sekta ya madini ni miongoni mwa sekta muhimu katika kukuza uchumi na kuleta maendeleo ya jamii na Taifa kwa ujumla.
*Imeandaliwa na Idara ya Habari - MAELEZO*
@maelezonews
@TumeyamadiniTZ
@TZMsemajiMkuu

HOUSE FOR SALE IN #NAMUGONGO - #KIWANGO has #3bedrooms #2bathrooms 1boys quarters Sited on #12decimals selling at #175m ready private mailo land title available. For more information call me on...
+256788385406.
+256705043548.

House For Sale π₯ in #Namugongo #Kiwango has #3bedrooms #2bathrooms selling at #180M with ample parking space Seated on #12decimals, located in the well organized neighborhood,

41 songs by @Sanaipei_Tande on repeat.
From #najuta to #jali and #kiwango.
Woman you are gifted beyond what your vocals can express.
Thankyou for 300k plus views!!! Hata kama umewatch mara moja tunashukuru!! Keep those views coming! #kiwango ft @khaligraph_jones π₯° Watch Like Comment Share and Subscribe

πΆSituations will arise, in our lives, but you gotta be smart about it! πΆ
#kiwango ft @khaligraph_jones out on YouTube Watch Like Comment Share and Subscribe β€οΈ

200k views!!! And growing! Asanteni sana! Keep watching sharing commenting liking and subscribing β€ #Kiwango ft @KHALIGRAPH

#NewMusicAlert #Kiwango by @Sanaipei_Tande x @KHALIGRAPH on https://t.co/3ftFpUTTLH Home of Local,Urban & International Music .
Hit or miss ? #Brekko

It's out,it's hot yaani MOTO π₯aesee. @SanaipeiTande Ft @KaligraphJones much awaited #KIWANGO music video.
There is a reason why it's a talk about a hot drop by The King & her the queen herself click the link twende YouTube π₯π₯πhttps://t.co/avgyWv3RRa
"Wabishana, bei ya nywele na kodi zatoshana... Hujalazimishwa kaka!"
Mistari kutoka kwa wimbo #Kiwango wake @Sanaipei_Tande ft @KHALIGRAPH . Ni moto au motooo?
#JamboMassawe
#OngeaUsikike
And we are grateful for 100k plus views! Tusonge mbele! #kiwango ft the OG @Khaligraph out on YouTube Watch Like Comment Share and Subscribe β€οΈ
Video @mhandobrian
Audio @ihajimadeit
Make up @kwaga__

NEW MUSIC ALERT!!
Singer Sanaipei Tande has released the Kiwango video featuring Rapper Khaligraph Jones.
The song is off her NABO EP.
@Sanaipei_Tande x @KHALIGRAPH
#NABO
#Kiwango
Video: Mhando Brian
Audio: Ihaji
https://t.co/ZWXvD3bDgx
Last Seen Hashtags on Sotwe
CaughtOnCamera
Seen from Canada
fillinlove
Seen from Thailand
ΰΉΰΈΰΉΰΈΰΈΰΈ±ΰΈ§ΰΉΰΈ₯ΰΉΰΈ
Seen from Thailand
snapchat()()() +filter:native_video
Seen from United States
tidyheidi
monkeyapp()()()()
Seen from United States
Anal
Seen from Mexico
HEKNEWWHATHESDOING
Seen from Israel
candid
Seen from Argentina
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers




























