Top Tweets for #LavyPads
Ukitumia pedi za #LavyPads ukiwa kwenye siku zako za hedhi, unahakikishiwa vitu vitatu vifuatavyo: Ukavu, Ulinzi na kuwa fresh muda wote.
Pedi hizi zinapatikana katika size mbili tofauti; 290mm na 330mm kukidhi mahitaji ya kila mwanamke.
#LavyProducts #SikuZakoNiSikuZetu

#LavyPads ndio habari ya mjini! Wanawake wote wanaopenda kuwa huru kipindi cha hedhi wanatumia pedi hizi zilizotengenezwa na teknolojia ya hali ya juu kufyonza damu haraka na kukuacha mkavu muda wote.

Je, umeshafanya shopping yako ya #LavyPads kukidhi mahitaji yako ukiwa kwenye siku zako za hedhi mwezi huu? ๐ฉธ

We have this bright compaign coming Ahead
Stay Alerted...
We call upon donours and for those who are willing to participate with and support us
#hqpads #softcarepads #lavypads #alwayspads #humancherishpadstanzania #freestylepads
Get in touch with usvia [email protected]

Katika maadhimisho yetu ya Siku ya Wanawake tunasherehekea kitu muhimu kinachofanya tuwe wanawake, hedhi yetu ๐ฉธKupitia pedi zetu pendwa za #LavyPads, tunayo furaha sisi kama kampuni kuhakikisha wanawake Tanzania wanatumia pedi bora na salama wakiwa katika siku zao za hedhi.

Ili kukidhi mahitaji ya kila mwanamke kutokana na maumbile yake, #LavyPads tuna pedi size mbili; 290mm na 330mm ๐ฉธ
Haijalishi muda, asubuhi, mchana au usiku, pedi hizi zinakuhakikishia uhuru, usalama na ukavu muda wote ๐ฏ

Ukitumia #LavyPads ukiwa kwenye siku za hedhi, una uhakika wa kuwa huru na mkavu muda wote.
Pedi zetu zinakuja katika sizes mbili tofauti (290mm na 330mm) na kila size kwa ndani zimefungwa na sticker ambazo ni Blue au Pink. Unaweza kutuambia kila sticker inawakilisha size gani?

Wasichana wa kituo hicho wataendelea kupata #lavypads kila mwezi kutoka @WYVFoundation kama mchango wetu wa kuhakikisha wasichana hao wanapata hitaji la pedi kila mwezi.Lengo la Taasisi ni kuwafikia watoto wa kike kwenye vituo vya watoto yatima 200 nchi nzima. @FlavianaMatata

Kupitia Taasisi ya @WYVFoundation nimetembelea Makao makuu ya kulea watoto yatima Kibada(Hisani Orphanage Centre)kilichopo kata ya kibada,Jimbo la Kigamboni-DSM.Tuliwapa elimu ya ukatili wa kijinsia na kujitambua.Pia tuliwapa #lavypads wasichana wa kituo hicho.

Oh, sis!!!โฆ.I was wondering when someone would say it!!! Heartfelt thank you to the folks at #LavyPads for liberating us from the itchy, AWFUL #AlwaysPads!!!! Thank you so so so so soโฆ!!!๐๐พ๐๐พ๐๐พ



New Month Essentials. #LavyPads

@FlavianaMatata @FlavianaMatata ulikuwa una kaliba ya urembo na fashion since way back kumbe....!! RIP to our Mom & Happy birthday. I belive you are the mission that she has to deliver in this world. Now we have #lavypads go go go go #FM ๐ช๐ช
@Kudu_ze_Kudu @FlavianaMatata Mimi pia...for over 10 years, I was a big fan of kotex and now I have moved to #LavyPads and I am quite happy.
Nuya essence for skin care products - my skin has been the happiest to be honest ๐๐๐
Sash cosmetics for lipsticks...
Influencer gani wa mtandaoni (twitter au instagram) ameweza kukushawishi kununua au kutumia bidhaa/huduma fulani au kufanya jambo fulani mf. kuchoma chanjo ya UVIKO19, kujiunga marathon n.k
WATAJE.
Mimi @FlavianaMatata amenishawishi kutumia #LavyProducts hasa #LavyPads
Uhuru wakati wa mazoezi ni jambo la muhimu haswa ukiwa kwenye siku zako za hedhi. Gundi nzuri, upana na urefu wa pedi zetu za #LavyPads unahakikisha hakuna mvujo au pedi kusogea hata unapofanya mazoezi.


Last Seen Hashtags on Sotwe
shemales
Seen from Venezuela
breastcancerawareness
Seen from United States
ููููู
ุง
Seen from Venezuela
pencilxpaper
omegle
Seen from United Kingdom
Miami
Seen from Venezuela
irenbici
Seen from United States
๋ฐ๋๋ฆผ
Seen from Korea
foodie
Seen from United States
AgataMlynarska
Seen from Indonesia
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.7M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.5M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers














