Top Tweets for #LearnPlus
Inspiring brainstorming session with Dr. Sudhanshu Rai, CEO of Learn+, on research & innovation at @KIITUniversity, working together toward a Viksit Bharat.
#KIITUniversity #LearnPlus #Research #Innovation #ViksitBharat

Inspiring brainstorming session with Dr. Sudhanshu Rai, CEO of Learn+, on research & innovation at @KIITUniversity, working together toward a Viksit Bharat.
#KIITUniversity #LearnPlus #Research #Innovation #ViksitBharat

At the 4th International Quality Education Conference #IQEC @Plan_tanzania showcased incredible work done through our projects such as the #LearnPlus project implemented in Kisarawe, the #PlayMatters project implemented in Kibondo and our IQE program implemented in Rukwa.
1/

Mpaka sasa mradi wa #LearnPlus una vituo 29 na kituo kimoja ni shule kamili ambayo ni Vibula Shule ya Msingi iliyopo Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani.
@Plan_tanzania
@RESCUEorg
#IQEC2024

Hivi ni baadhi ya vituo vidogo ambavyo vinaendeshwa na mradi wa #LearnPlus ambavyo ni Vizembe, Visima Vitatu, Vihigo,vyote vipo Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani.
#IQEC2024

Mpaka sasa mradi #LearnPlus una vituo 29 na kituo kimoja ni shule kamili ambayo ni Vibula Shule ya Msingi iliyopo Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani.
#IQEC2024
@Plan_tanzania
@RESCUEorg

Mradi wa #LearnPlus pia unalenga kumsaidia mtoto kupata nafasi ya kukua kiakili, ya kufikiri kiakili na kumjengea uwezo wa kujifunza na kuhoji baadhi ya mambo.
#IQEC2024
@Plan_tanzania
@RESCUEorg

Walimu wanatoa mafunzo kwa muda wa wiki 12 kwa kufundisha watoto kuwa tayari kujifunza na kujiunga darasa la awali. ~ Mr Creptone Madunda kutoka @Plan_tanzania
#LearnPlus
#IQEC2024

Tumeanzisha vituo vidogo vidogo vya kufundishia sehemu wanapoishi watoto na kwa kushirikiana na wananchi pamoja na Serikali lengo ni kuwatoa hofu wanafunzi. ~ Mr. Creptone Madunda kutoka @Plan_tanzania
#LearnPlus
#IQEC2024

Mtoto anapata nafasi ya kujifunza Lugha na mawasiliano, matumizi ya lugha sahihi ambapo itamsaidia katika kuwasiliana na watu ikiwemo wanafunzi wenzake na familia yake kwa ujumla.
#LearnPlus
#IQEC2024
@Plan_tanzania
@RESCUEorg

Pia kupitia mradi wa #LearnPlus mtoto anapata nafasi ya kukua kimwili, apa mtoto namjengea nafasi ya kuweza kutumia vifaa vya shule ikiwemo peni, pencil, na vifaaa vingine.
#IQEC2024
@Plan_tanzania @RESCUEorg

Hivi ni baadhi ya vituo vidogo ambavyo vinaendeshwa na mradi wa #LearnPlus ambapo kimoja wapo ni Vizembe, Visima Vitatu, Vihigo,vyote vipo Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani.
#LearnPlus
#IQEC2024
@Plan_tanzania
@RESCUEorg

Walimu wanatoa mafunzo kwa muda wa wiki 12 kwa kufundisha watoto kuwa tayari kujifunza na kujiunga darasa la awali
#LearnPlus inamfanya mtoto awe tayari kukua kijamii na kihisia na anapata nafasi ya kujenga nafasi ya kujiamini.
#IQEC2024
@Plan_tanzania

Mpaka sasa mradi wa #LearnPlus una vituo 29 na kituo kimoja ni shule kamili ambayo ni Vibula Shule ya Msingi iliyopo Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani.
#LearnPlus
#IQEC2024
@Plan_tanzania
@RESCUEorg

#LearnPlus ni moja ya mradi uliopo chini ya @Plan_tanzania ulioanzishwa kwa lengo la kuwasaidia watoto ambao wamekosa nafasi ya kupata elimu ya awali. ~Mr Creptone Madunda, Project Coordinator.
#IQEC2024

Pia Mtoto anapata nafasi ya kukua kiakili, mtoto anapata nafasi ya kufikiri kiakili na kumjengea uwezo wa kujifunza na kuhoji baadhi ya mambo.
#LearnPlus
#IQEC2024
@Plan_tanzania
@RESCUEorg

Mtoto anapata nafasi ya kujifunza Lugha na mawasiliano, matumizi ya lugha sahihi ambapo itamsaidia katika kuwasiliana na watu ikiwemo wanafunzi wenzake na familia yake kwa ujumla.
#LearnPlus
#IQEC2024
@Plan_tanzania
@RESCUEorg

Kupitia #LearnPlus tumeanzisha vituo vidogo vidogo vya kufundishia sehemu wanapoishi watoto na kwa kushirikiana na wananchi na Serikali lengo ni kuwatoa hofu wanafunzi.~|Mr Creptone Madunda
#IQEC2024
@Plan_tanzania

Pia kupitia mradi wa #LearnPlus mtoto anapata nafasi ya kukua kimwili, apa mtoto namjengea nafasi ya kuweza kutumia vifaa vya shule ikiwemo peni, pencil, na vifaaa vingine.
#LearnPlus
#IQEC2024
@Plan_tanzania
@RESCUEorg

Dhumuni la elimu hii mtoto awe tayari kukua kijamii na kihisia, apa mtoto anapata nafasi ya kujenga nafasi ya kujiamini. Pia mtoto anapata uwezo kuelewa na kujua kuwa shule ni sehemu ya kujifunzia.
#LearnPlus
#IQEC2024
@Plan_tanzania

Last Seen Hashtags on Sotwe
Hindugenocide
minichat()** filter:videos
Seen from Switzerland
teenageee
Seen from Switzerland
OnceaWildcatAlwaysaWildcat
Seen from Italy
Unexpected
Seen from United States
backshots snowbunny
Seen from United States
chav
Seen from Netherlands
RehabNightmare
Seen from United States
ΰΈ«ΰΈΰΈ±ΰΈΰΉΰΈΰΉΰΈΰΈ΅ΰΉΰΈΰΈΈΰΉΰΈ
Seen from Thailand
CBMPs
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers





























