Top Tweets for #MASHABIKI
🎵🙏 Mwanamuziki Bahati ameomba msamaha kwa mashabiki wake na jamii ya Kikristo baada ya matukio ya hivi karibuni. Alikiri makosa na kuahidi kuboresha tabia zake.
Soma zaidi: 👉 https://t.co/k7WZEJqqKE
#Bahati #KenyaMusic #Mashabiki #Msamaha #Burudani #Kikristo
🟢 Willy Paul awaonya wanaume: “Waweke utajiri kwanza, mahusiano yanangojea.” Mashabiki wanashangilia kauli hii ya msanii maarufu. Tafuta maelezo kamili hapa 👇
https://t.co/4tkgV5lpXY
#WillyPaul #KenyaBurudani #Mashabiki
#MASHABIKI WA #HAMAS WAKO WAPI LEO ⁉️📚💦
Siku hizi hamuwasifu tena #Hamas kuwa ni mashujaa au majemedari (mujahedeen) wa vita.⁉️
Kulikuwa na wakati ambapo mliwaona kama watetezi wa kweli wa Waislamu wa Gaza, huku mkiwadharau Waarabu na Wasaudi kuwa ni vibaraka na wanafiki.
Je, hamkujua kwamba #mbio za sakafuni za udanganyifu wa #Hamas hazingedumu?
Walikudhuruni #hamas kwa kuwadanganyeni kwa propaganda zao na mabango ya uongo yaliyojaa machozi ya khiana kwa niaba ya #Wapalestina 🇸🇩 wa Gaza.
Walizibebesha nafsi zao majukumu kubwa wasio na uwezo wa kuyabeba — wala washirika wao wa #Kishia Iran🇮🇷, ambao wanajulikana kwa usaliti wao dhidi ya Ummah wa Kiislamu.
#HAMAS NI MAKHAINI kwa ujasiri wa kipumbavu
Wakawazamisha watu wa Gaza 🇸🇩 katika umwagaji wa damu wa kutisha, huku wao wakijificha kama panya ndani ya #mitaro yao ya #ardhini.
Jihaad ya kike sana hii.....vipi mwanaume unaanzisha vita kisha unakimbia kwenye shimo watu wanakufa juu ya ardhi 🔥
Mwenyezi Mungu awalipe #hamas na mashia🇮🇷 kwa dhulma na usaliti waliowatendea Waislamu wa Gaza🇸🇩.
@Rahim_Meghji
@EsirEid @khilafah8 @SaidBitomwa
Haha sheikh muqbil unamjua⁉️
Tukikoletea fatawa zake na audio zake utamkimbia
🔹️fateni haki acheni kujizungusha zungusha kwa wanachuoni wa kisalafy kiwizi wizi na fatwa moja ili mfanye talbis
UNAJUA SHEIKH MUQBIL ANASEMAJE KUHUSU #HAMASI NA KUHUSU #MASHABIKI WA MPIRA ⁉️
hahahaha
#DriveOnReloaded
@RadioCitizenFM
@OgalTina
@abdimunai
Awamu Ya Taratibu Naliwaza
#Mashabiki shakiki wote wa Idhaa Hii
LugariMassive kakamega Still tuned in
YANGA SC | “..timu ya kumfunga TP Mazembe tunayo... anakufa goli 4 na kuendelea”
Mashabiki wa Yanga wanasema sasa kocha wao ameshaingia kwenye mfumo, na kwa hii gusa achia twende kwao, kazi wanayo Jumamosi”
#YangaSC #TPMazembe #CAFCL #Mashabiki
YANGA DODOMA | “…Yanga kwanza, Dodoma Jiji baadaye”.
Mashabiki wa Yanga wanatamba kuelekea mchezo wao dhidi ya Dodoma, waeleza kuwa na Imani na kikosi chao kwa sasa, wasema zawadi ya Krismas ni Prince Dube kuipiga Dodoma jiji goli mbili…
#YangaSC #YangaDodoma #Mashabiki #NBCPL #NBCPremierLeague
YANGA SC: “Tunatarajia pointi sita kutoka kwa TP Mazembe”
Mashabiki wa Yanga na hesabu rahisi za kufuzu hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, wakieleza matumaini ya ushindi kuelekea mechi yao dhidi ya TP Mazembe….
#CAFCL #YangaSC #Mashabiki
Hadi sasa kwenye msimamo wa kundi H, linaongozwa na DR Congo wenye pointi 12 ambao tayari wamefuzu kwenye fainali hizo kuingia AFCON 2025.
Shabiki wa timu ya DRC Leopard alikuwa na haya ya kusema baada ya ushindi...
#drc #congo #daressalaam #benjaminmkapa #uwanja #mashabiki
Sikiliza namna shabiki wa timu ya Taifa Stars ya Tanzania anavyomwaga sifa kwa wachezaji kadhaa...
#tanzania #afcon2025 #drc #naibuwaziri #hamismwinjuma #daressalaam #benjaminmkapa #uwanja #mashabiki #uingereza
Mh. rais @SuluhuSamia sikia Ujumbe Mzuuri kabisa kutoka kwa MwanaNchi Timamu..
Ni kwamba umezungukwa na Mashabiki Sio Marafiki... Ujumbe Saafi kabisaa umegusa Mpaka "MACHAWA" wako Tagg nyingine @SuluhuSamia #KataaMACHAWA na #MASHABIKI

PICHA YA NYOTA WATATU WA YANGA: Shabiki wa Yanga SC, kutoka Mwenge Dar es Salaam, atamba na picha inayowahusisha wachezaji watatu wa Wananchi ambao ni Chama, Pacome na Aziz Ki.
Shabiki wa Simba anasema timu yake inafanya vizuri kwenye mechi za kirafiki.
#Mashabiki #YangaSC #SimbaSC
MASHABIKI WATOA NENO: “Kizazi cha akina Samatta kinapotea” sehemu ya maneno ya mmoja wa mashabiki akizungumzia hoja ya timu za Tanzania, kusajili wachezaji 12 wa kigeni.
(Imeandaliwa na @allymuftiTZ)
#Mashabiki #Soka
MASHABIKI YANGA WAISIFU AZAM FC: “Wapinzani wetu walikuwa bora zaidi” maneno ya mmoja wa mashabiki wa Yanga SC, wakizungumzia mchezo wa fainali ya #CRDBBankFederationCup dhidi ya Azam FC.
(Imeandaliwa na @allymuftiTZ )
#Mashabiki #YangaSC
The beautiful game makes for some beautiful moments and some equally frustrating ones too.
Cc @44BulldogsFC 🥂
📷: @madova_arts
#Soccer #Dimba #44Bulldogs #Dorphanage #Mashabiki

Akamatwe kabla ya Mechi au Baada ya mechi?
#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #Michezo #HainaKuchoka #SimbaSc #YangaSc #SimbaNaYanga #Mashabiki #CAF
"...Yanga wamefanikiwa zaidi" - Neno la pongezi kutoka kwa mashabiki wa soka mkoani Tabora kufuatia Tanzania kuwa nchi pekee iliyopeleka timu mbili hatua ya robo fainali #CAFCL
#Mashabiki #SimbaSC #YangaSC
Utani kidogo ...?
Hivi unajua kwenye jengo la yangasc lililozinduliwa Leo imewekwa medali ya #CAF kwa timu ya #Simbasc au #Mashabiki zake wanaruhusiwa kwenda kuangalia medali ya #cafc ilivyo na hii inatumika kamabutalihi wa ndani

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.3M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.7M followers

X 
@x
60.8M followers













