Top Tweets for #MASLAHI
Sana mzee, uje utueleze walivyomuua Magufuli na namna wanavyocollude na wasakatonge wa upinzani kukandamiza watanzania maskini.
Na wakikuua au kukudhuru, tunajua ni Rais @SuluhuSamia na serikali yake. Uzuri ulishakaa jikoni kwao, unawajua vizuri.
#Maslahi
@ayubu_madenge Mechi Ipo. Why..
1. political pull from the government
2. Political pull from @fifa
3. Referees from #Egypt
4. Yanga ndio mwenye game yake, na amehamasisha tofauti na hizo nyakati zingine .
5. Simba anachofanya ni kuinyima Yanga viingilio. #Maslahi mjini shule
Wagombea @ACTwazalendo Uenyekiti na Wajumbe wa Kamati Katika Mitaa ya Koleji Nanjinga
Likabuko Kiwanjani Kata ya Chikonji Jimbo la Lindi Mjini
#Mitaa ya Wote
#Maslahi ya wote

Wagombea @ACTwazalendo Wenyeviti wa Vitongoji na Mwenyekiti wa Kijiji Cha Muhuwesi Kata ya Muhuwesi Jimbo la Tunduru Kaskazini Mkoa wa Kichama Seloue
#Vijiji Vya wote
#Vitongoji Vya wote
#Maslahi ya wote

Wagombea wa @ACTwazalendo nafasi za Wenyeviti wa Vitongoji na Kijiji Cha Ligoma Kata ya Ligoma Jimbo la Tunduru
Kusini Mkoa wa Kichama wa Seloue
@ACTwazalendo
#Vijiji Vya Wote
#Vitongoji Vya wote
#Maslahi ya wote

Isaya 40:30-31
30 Hata vijana watazimia na kuchoka,na wanaume vijana wataanguka;
31 bali wao wamgojeao BWANA watapata nguvumpya;watapanda juu kwa mbawakama tai;watapiga mbio,wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu,wala hawatazimia @ACTwazalendo @MariaSTsehai #TaifaLaWote #Maslahi

Jana tareh 7 Feb 2024
Katibu wa Mkoa wa DSM,
Ndug @felixkamugisha7
Akisisitiza jambo kwa wajumbe wa kamati ya uongoz jimbo la Segerea na Kata zake
Dar tuitakayo ni ya zambarau
@Katibu habari Uenezi mahusiano na Umma.Mkoa DSM, ndug Monalisa Ndala
#Taifa la wote
#Maslahi ya wote

@kalegamyeh Kama mitandao ya simu Huwa inatutumia text mkazj wa mkoa flan Kuna simu tunauza duka flan nenda kanunue, wanashindwa Nini kutoa hizo tahadhali? Au mawaziri husika ( habari) wanashindwaje kupush hii agenda kuelekeza mitandao ya simu kutuma text za tahadhali, #MASLAHI NI TATIZO
Leo tarehe 21 Novemba, umefanyika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Kyerwa kuchagua Viongozi na Ngome zake zote, watakaodumu kwa miaka mitano Ijayo.
#TaifaLaWote
#Maslahi ya Wote.

πTUCTA #imeipongeza Serikali kwa kusaini #mikataba miwili na Serikali ya Saudi Arabia kwa ajili ya #kufungua fursa za Ajira za #Watanzania nchini Saudi na kwa kiasi kikubwa kuboresha #maslahi ya Wafanyakazi, ikiwemo kulinda haki zao na stahiki zao.
#Mguukwamguu2025

@AdoShaibu "Ni agenda nzuri ikiwa itasimamiwa na viongozi wakuu wenye dhamana na hamasa kubwa ya mabadiriko, sasa karibuni huku kwetu ; tunawapenda na kuwaamini katika kutuongoza kufyeka mapori kwa mwendo wa 5G na wananchi wanayo hamu kubwa ya mabadiriko na wapo tayari"#TaifaLaWote #Maslahi

IJUE KATIBA ya Ijumaa ya leo inaonyesha nguvu ya Mahakama na vyombo vingine vya kulinda amani nchini.
#ijuekatiba #katiba #tanzania #sheriakiganjani #sheriakiganjaniapp #legalgurus #legaltech #justlers #raia #mahakama #nchi #maslahi

Last Seen Hashtags on Sotwe
cocks rubbing
Seen from Turkey
corluesc
Seen from Turkey
NazilliBayan
Seen from Turkey
ometv
Seen from United States
cuckoldkocalarΔ±
Seen from Turkey
tsunade comic
mgai #snapchat (****)**() filter:videos
randomchat(*)*+filter:videos(**)*
Seen from Turkey
smno(***)filter:native_video
Seen from Thailand
aktif kΓΌrt
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers




















