Top Tweets for #MFKilimoTalk
@MalemboFarm @masoudkipanya @RahmaMwita @FarmersRadioAF @BarakaSaimon3 @yose_hoza @hancymachemba @ManenoIzaak @Allan_Lucky @PLuzwilo @absakibanda Hongereni sana @MalemboFarm mnatusaidia sana juu ya issue za kilimo na ufugaji hata kupitia #MFKilimoTalk tunajifunza mengi sana.

Changamoto zinazowakabili vijana kwenye kilimo 1) ufahamu wa masoko 2) kuyafikia masoko.
#MFKilimoTalk
@MalemboFarm
Kuna maisha mazuri nadharia nzuri kwenye sera ya lakini kuna maisha magumu shambani(nje ya sera) haya ni majadiliano na wadau kwenye mjadala wa leo @TwitterSpaces #MFKilimoTalk karibu ujiunge nasi.
Sera zetu ni zuri kwenye maandishi lakini kwenye uhalia ni changamoto mdau kutoka kwenye mjadala unaondelea @TwitterSpaces karibu jiunge nasi #MFKilimoTalk @MalemboFarm
Masoko yako ila kwasababu tunafanya kilimo cha mazoea na masoko nayo tunayafanya kimazoea mdau kutoka kwenye mjadala wa leo #MFKilimoTalk karibu kwenye mjadala @TwitterSpaces
Matumizi ya mbegu zisizo na tija ni moja ya changamoto kubwa kwa matokeo ya kilimo chenye Tija mdau kutoka kwenye mjadala #MFKilimoTalk karibu ujiunge nasi.
Vijana wengi tunafanya kilimo cha Mazowa mdau kutoka kwenye mjadala #MFKilimoTalk jiunge nasi katika mjadala. @MalemboFarm
Kilimo kinahitaji mtaji mjadala unaonendelea sasa hivi #MFKilimoTalk karibu ujiunge nasi @twitterspace @malembofarm
Leo Saa 3:00 usiku tutaendelea na Mada yetu Sekta ya Kilimo ndiyo jawabu la tatizo la ajira Tanzania, kutana na Magwiji wa Elimu na kilimo kupitia @twitterspaces kujadili kuhusu fursa, changamoto, sera na nini kifanyike kuongeza tija kwenye hii sekta.
Ungana na #MFKilimoTalk
Kilimo kinachowalenga vijana kinahitaji mikakati inayozifikia ndoto zao na malengo yao. Eneo la teknolojia limekaa kimkakati miongoni mwa IDEAS za vijana na hivyo lapaswa kupewa kipaumbele ili dhana ya #KilimoNiAjira isionekane imepitwa na wakati. #MFKilimoTalk

@McinikaWaLamar @TwitterSpaces Leo Saa tatu usiku tupo Hewani Kupata Ujuzi Hii ni fursa kweli kweli #MFKilimoTalk
Sekta ya Kilimo ndiyo jawabu la tatizo la ajira Tanzania, kutana na Magwiji wa Elimu na kilimo kupitia @twitterspaces kujadili kuhusu fursa, changamoto, sera na nini kifanyike kuongeza tija kwenye hii sekta.
Ungana na #MFKilimoTalk Leo 09/05/2021 saa 3:00- 4:30 usiku.
Malembo Farm inakuletea mjadala utakaogusa kwa karibu Kilimo ,vijana ,wanawake, sera,Teknologia, Uwekezaji na Masoko hapa nchini, Afrika na Duniani uitwao #MFKilimoTalk
Utaletwa kwako kila J4 na J2 saa 3:00-4:30 usiku kupitia Twitter Spaces
#MFKilimoTalk

Sekta ya Kilimo ndiyo jawabu la tatizo la ajira Tanzania, kutana na Magwiji wa Elimu na kilimo kupitia @twitterspaces kujadili kuhusu fursa, changamoto, sera na nini kifanyike kuongeza tija kwenye hii sekta.
Ungana na #MFKilimoTalk

Sekta ya Kilimo ndiyo jawabu la tatizo la ajira Tanzania, kutana na Magwiji wa Elimu na kilimo kupitia @twitterspaces kujadili kuhusu fursa, changamoto, sera na nini kifanyike kuongeza tija kwenye hii sekta.
Ungana na #MFKilimoTalk

Sekta ya Kilimo ndiyo jawabu la tatizo la ajira Tanzania, kutana na Magwiji wa Elimu na kilimo kupitia @twitterspaces kujadili kuhusu fursa, changamoto, sera na nini kifanyike kuongeza tija kwenye hii sekta.
Ungana na #MFKilimoTalk

Sekta ya Kilimo ndio jawabu la tatizo la ajira Tanzania, kutana na Magwiji wa Elimu na kilimo kupitia @twitterspaces kujadili kuhusu fursa, changamoto, sera na nini kifanyike kuongeza tija kwenye hii sekta.

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers