Top Tweets for #MNINGA
Ubora unaoonekana. Uimara unaoaminika.
Mninga halisi kwa mahitaji ya ujenzi na samani.
Imechaguliwa kwa umakini, imara na inadumu muda mrefu.
✔ Mbao za ubora wa juu
✔ Imara na zinazodumu
✔ Inafaa kwa kazi zote za ujenzi
Sizes & Bei:
2×8 – Tsh 120,000
2×6 – Tsh 80,000
#Mninga

🪵 Nunua Mbao Ngumu za Kipekee za #Mninga!
Tunakuletea mbao ngumu za ubora wa juu, zinazofaa kikamilifu kwa kutengeneza samani/furniture nzuri na za kudumu.
➡ Bei zetu:
2×8×8 – Tsh 120,000
2×6×8 – Tsh 80,000
💬 Weka oda yako mapema ili upate mbao bora na za ubora wa kipekee!

🔥 Achana na usumbufu wa mchwa kwenye furniture zako!
Usikubali kulala huku unasikia kelele za mbao zinatafunwa 😖
Chagua MBAO ZA MNINGA HALISI – suluhisho la kudumu kwa nyumba yako 👇
🪵 MBAO ZA MNINGA (Hardwood Imara)
✔ Zinadumu muda mrefu bila kushambuliwa na mchwa
#Mninga

Kitanda 6*6
Kitanda kimetengenezwa kwa mbao imara #mninga.
Tupo Kimara-temboni.
Mawasiliano yetu 0687250772

Sikukuu ya siku mbili isiharibu ibada yako ya mwezi mzima 📌
Karibu nikuuzie mbao ngumu #Hardwood mti wa #Mninga
Size- 2*8*9
Bei - Tsh 115,000/= pisi
Thamani ya fanicha zako ni mbao ngumu 💪
📲📩0678 013 639
#BuildingsMaterials #mabatiworkshop

Nani kakuchoma mkukiii mbona damu zinanivujia mimiiii.
Harmonize Yu bttr Go...🎶🎵
☣️ jamaa anaimba kuliko yule boss wake mistari imenyooka sana.🔥
Hardwood #Mninga super 👌
2*8*9 =120,000/=
2*6*9=80,000/=

Hii Site bado naidai sana😜
…Cha kuzingatia ni mavitu makali na bora kuhakikisha kila kitu kinatokea kama kinavyopangwa👍
…Boss anazo raha, mi ni naaani😄
#mninga
#zingatiaubora
Leteni michongo mezani🙏

Nunua bidhaa bora kupendezesha nyumba yako.
Samani/furniture.
Zilizo tengenezwa kwa mbao ngumu ya #Mninga
Weka oda yako mapema upate kilicho bora.
Pia tunauza mbao ngumu za mninga.
Size
2*8*9 Tsh 120k
2*6*9 Tsh 75k
Whatsapp 0689001102

Mbao ngumu za #Mninga
Size
🔝 2*8*9
Boresha samani zako kwa matumizi ya mbao imara zaidi.
Contact 0689001102



Tumia mbao ngumu {hardwood} yenye rangi nzuri na samani zake huwa na mwonekano mzuri.
#mninga
Bei ya Mbao za Mninga
2*8 tsh 90,000 ft 9
2*6 tsh 60,000 ft 9
2*10 tsh 120,000 ft 9
Wasiliana +255689001102

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers


















































