Top Tweets for #MOROGORO
Tukutane kwenye mabanda yetu ya Yara: #Mbeya | #Dodoma | #Tabora | #Morogoro | #Arusha | #Zanzibar
Msimu huu wa Nane Nane, wataalamu wa Yara watakuwepo katika mikoa 6 kukutana na wewe mkulima na mfugaji.
Utapata ushauri wa kitaalamu kuhusu matumizi sahihi ya mbolea, lishe ya mimea, afya ya udongo, lishe ya mifugo pamoja na mbinu bora za kuongeza tija na ubora wa mazao na mifugo yako.
Karibu ujifunze, uulize maswali na upate ushauri wa kitaalamu utakaokusaidia kufanya maamuzi sahihi kwa kilimo na ufugaji wenye tija.
#yaratanzania #nanenane #knowledgegrows

AGCOT, Morogoro RAS Hail Success of Spice Agroforestry Project as Region Eyes Aroma Hub Status
https://t.co/AUqQu6purv
#AGCOT #SpiceAgroforestry #Morogoro #ClimateSmartAgriculture #NatureBasedSolutions #Tanzania #TAHA #WorldVegetableCenter #RuralDevelopment #Agribusiness
Jambo! 🇹🇿 Een hartelijke groet uit Tanzania.
Vandaag, de officiële openingsceremonie van de waterput 💧
Vooraf bezochten we de rivier waar veel mensen dagelijks hun water halen. Indrukwekkend om te zien en blij dat we schoonwater brengen🫶🏻
#Tanzania #Morogoro #SchoonWater
Nani alisema Morogoro ni mji kasoro bahari? 😄 Kwa ujio wa SGR, sasa ni Mji na Bahari! 🚄🌊
Twende tumefika Morogoro! 🚖
Pakua Twende Ride au Twende Driver & Deliver leo na upate 20% OFF kwenye safari zako 5 za kwanza. 🙌🏽
#TwendePamoja #Morogoro

Morogoro: A Land of Wetlands! 🌾🦩
Kilombero Valley — one of the largest wetlands in East Africa and a Ramsar Site.
A source of life and biodiversity. Let’s protect it!
#Morogoro #Wetlands #GreenForFutureTanzania 🇹🇿 @DenyseUwa @Greenisamissio1 @IUCN @WetlandOrg

Continuing to create health awareness across the region, our members organised walkathons, cycling events, health screenings and awareness drives.
From 600 participants in #Mombasa to growing movements in #Zanzibar, #Kisumu, #Morogoro, and #Tanga, every members joined to carry a shared purpose.
Because health is not just personal—it’s a responsibility we carry together!
@Bohras_EAfrica
@ProjectRiseDB
#DawoodiBohra
#WorldHealthDay
#HealthForAll

Airtel tupo KILA KONA! Wiki hii tumewasha mnara mpya wa mawasiliano unaotumia nishati safi katika Kijiji cha Amini, kata ya Kinole, Morogoro.
#AirtelTanzania #Tumewasha #TupoKilaKona
#Morogoro

Unusually powerful M5.4 earthquake struck on Tuesday evening in the Indian Ocean 168km from Dar es Salaam (Tanzania).
#Earthquake #Tanzania #Kibiti #DarEsSalaam #Zanzibar #Morogoro
All information:
https://t.co/MAPrcFEFlZ
🔥🙌🏽 #Morogoro #Tanzania 🔥
Eh! Hadi mmeandika kwenye lami ? 🤣
Sasa wajipange @tanpol kufanya usafi hadi wa lami kila siku!
Mkisikia #WenyeNchiWananchi mtafakari
Gen Z 🇹🇿 wamechoka wameamua #OktobaTunatoka
Wamesema “Shangazi we kaa pokea taarifa tu!”
Much love to this generation ❤️

#Morogoro
https://t.co/ragQk8Le5R
Start our Boys' program: We begin our Boys' program with a focus on leadership development, teamwork, and character building. Today we started washing our clothes.#Bootcamp25 #Tanzania #Morogoro.

எலிக்கு வெகுமதி!
#Rat | #Rescuetrainingmission | #earthquake | #Morogoro | #Tanzania
https://t.co/y4W3uzOWeZ

🛑TANZANIA ELECTIONS : #SuluhuCampaign , President Samia Suluhu @SuluhuSamia during her #Campaign at #Dakawa and #Dumila in #Morogoro region, thousands of Samia supporters joined her campaign .
We believe without any doubt that the citizens of Morogoro will once again give the Chama Cha Mapinduzi (CCM) the consent to continue leading our country, to serve them more effectively.
@UKWELITIMES @ikulumawasliano @CCMTanzania @Ccmtanzanianews @SamiaCampaigns

🛑REGIONAL NEWS 🇹🇿; President Samia Suluhu of Tanzania @SuluhuSamia appreciated people of #Kilosa, #Gairo and #Kibaigwa.
“May Allah bless you abundantly.”
@UKWELITIMES @ikulumawasliano #TanzaniaElections2025 , #SamiaSuluhuCampains #TanzaniadialyNews #UKWELITanzania

WanaMorogoro: Haya Sasa Ni Zaidi ya Mahaba kwa Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan
Katika hali ya kipekee na isiyo ya kawaida, maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Morogoro wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan kwa idadi ambayo haijawahi kushuhudiwa katika historia.
Ingawa ilitarajiwa kuwa na mapokezi makubwa, hamasa na shauku ya wananchi imevuka matarajio. Wengi wameeleza kuwa ni matokeo ya miradi mikubwa na yenye tija ambayo Rais Samia ameianzisha na kutekeleza ndani ya mkoa huo hasa katika sekta za afya, elimu, kilimo, miundombinu, pamoja na kuvutia wawekezaji. Kwa upekee, wananchi wameitaja SGR kama mradi unaobadili kabisa sura ya kiuchumi na kijamii ya Morogoro.
Shangwe, bashasha na nyuso za furaha vilitawala mkutano huo mkubwa, huku wananchi wakisisitiza kuwa wana deni la kumrudishia Mama Samia kupitia kura nyingi ifikapo Oktoba 29. Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema kilichoshuhudiwa Morogoro ni somo kwa wanasiasa kuwa siasa za vitendo, siasa zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja, ndizo zinazojenga uhalisia wa uongozi unaopendwa kwa dhati na wananchi.

Snapshots from Technical meeting & site visit for #NbS4Water -Ruvu project in #Morogoro
🤝Project supported by @CocaCola through @global_water to restore the Ngerengere #river catchment using #NbS for sustainable water replenishment.
➡ https://t.co/7CILYvIe2b
@wamiruvu_basin


⚡️UPDATE: The #Somali delegation, led by Deputy Planning Minister Mohamed Adan Mohamed and including Ambassador @IlyasAliHassan, on Tuesday arrived in #Morogoro by SGR railway to visit Mikumi National Park, marking 63 years of #Tanzania-#Somalia ties. The group also includes Somalia’s ambassador to #Canada, a senator, ministry officials, and members of the Somali community.

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.4M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers




















































