Top Tweets for #Maskani
π’ Jiunge nasi leo saa nne asubuhi kwenye #Maskani #CitizenTV π
TISA itawakilishwa na @vyroneOchola Ochola β Afisa wa Masuala ya Uchumi.
π Usikose mjadala huu muhimu!
#Nepal

Ungana naye CPA @PhilipKakai1 Mwenyekiti ICPAK, kujadili bajeti 2025/26 kwenye @citizentvkenya pamoja na @RashidAbdalla.
π 10.00am
Usikose!π#Maskani #Bajeti ^CA

On the #Maskani hot seat today with @RashidAbdalla was CS Health Deborah Barasa. She addressed SHA's shortcomings, the status of Health workers' salaries as well as implementations around the health sector. Who should we have next on the accountability seat?

#Maskani @citizentvkenya
π’ Je, mamlaka vs utumishi itazidi kuwa suala kubwa? Tukiwa hatuna upinzani rasmi, hali itakuwa vipi? Je, Kiongozi wa Wachache ataweza kutoa usimamizi wa kutosha? Tujadili ukweli na changamoto zinazokabili uwajibikaji katika serikali yetu.
π¨ Tune in now to @citizentvkenya #Maskani! πΊ We're diving into "Uwaziri na Wizara" (Ministerial Appointments and Ministries) and exploring the roles and responsibilities within our government. Don't miss this insightful discussion! #Cabinet

Abdulswamad Sharrif Nassir β Gavana, Mombasa: Naomba watu walio nje ya Mombasa watuelewe. Kwa sasa, ripoti zinasema ya kwamba tatizo kubwa kwa vijana sio dawa za kulevya ilhali ni muguka #SemaNaCitizen #Maskani @RashidAbdalla
Abdulswamad Sharrif Nassir β Gavana, Mombasa: Sasa hivi zaidi ya asilimia 30 ya watu wanaotumia muguka ni watoto #SemaNaCitizen #Maskani @RashidAbdalla
FTA invites you to attend Maskani Workshop to learn more about VAT refund on newly built residences for UAE nationals, on 22 May 2024 at the Ministry of Energy & Infrastructure.
#FTA #UAE_TAX #UAE
#Zero_Bureaucracy
#Maskani

"Wakenya wakijua jinsi ambavyo Pesa zao zinatumika watawajibika kutoa ushuru" CPA Robert Kamwara. #SemaNaCitizen #Maskani na @RashidAbdalla @citizentvkenya

Nelly Ashubwe β Kamishna, SRC: Wakati unalipa watu pesa taslimu ndipo shida mingi huanza. Kwa hivyo, tulisema lazima tutafute mfumo wa kulipa mishahara kwa wafanyikazi wote iwe kwa simu au benki #SemaNaCitizen #Maskani @RashidAbdalla
Nelly Ashubwe β Kamishna, SRC: Serikali inaangalia vitu gani ambavyo vinaweza tendeka kutumia teknolojia kwa vile miaka inayokuja tutakuwa na βGen Zβ katika serikali #SemaNaCitizen #Maskani @RashidAbdalla
Kiwango kikubwa cha mapato kinagharamia mishahara. Asimilia 47 ya mapato ya serikali inalipa mishahara #SemaNaCitizen #Maskani @RashidAbdalla
Nelly Ashubwe β Kamishna, SRC: Kabla ya haya maneno ya vyeti gushi kuanza, kulikuwa na uwezekano wa mwajiri kuandika mtu kazi bila kuangalia uhalisi wa vyeti. Sasa hivi kabla ya mahojiano wanafanya upelelezi wa taasisi zote #SemaNaCitizen #Maskani @RashidAbdalla
Nelly Ashubwe β Kamishna, SRC: Majukumu yetu kulingana na sheria ni kuamaua mshahara ya mfanyakazi wa serikali na kumwambia mwajiri. Baada ya hayo, majukumu yetu yameisha #SemaNaCitizen #Maskani @RashidAbdalla
Jiunge nae Seneta mteule @OkenyuriEsther na wageni wengine ndani ya Kipindi cha Maskani Kesho asubuhi kwanzia saa nne hadi saa sita mchana na Mashirima Kapombe katika mazungumzo kuhusu Mgomo wa Madktari. @citizentvkenya
#SemaNaCitizen #Maskani #peter #KMPDU #strike #nurses

Jiunge nasi ndani ya Kipindi cha Maskani Kesho asubuhi kwanzia saa nne hadi saa sita mchana na Mashirima Kapombe katika mazungumzo kuhusu Mgomo wa Madktari.
#SemaNaCitizen #Maskani

George Natembeya β Gavana, Trans Nzoia: Kila kitu ambacho unafanya Kenya kinatafsiriwa kuwa katika msingi wa kisiasa, hata jambo lisilo na hatia kama kukataa ukabila na upendeleo katika uteuzi #SemaNaCitizen #Maskani @RashidAbdalla
Last Seen Hashtags on Sotwe
ColegialaCaliente
Seen from Turkey
ΰΈ£ΰΈ±ΰΈΰΈΰΈ²ΰΈΰΉΰΈ«ΰΈ₯ΰΈ‘ΰΈΰΈΰΈ±ΰΈ
Seen from Thailand
punokawan88
Seen from Austria
momson momson nolimit*
Seen from Indonesia
3d hentai monster
Seen from Indonesia
Chongqingtour
Seen from United States
momson()
Seen from United States
ε±η€ΊιͺιΌ
Seen from United States
sethlowell #nsfw
Seen from Vietnam
ΓpΓΌΕme
Seen from Turkey
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.1M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.9M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61M followers

X 
@x
60.8M followers








