Top Tweets for #Matendo
Kwenye Biblia moja ya safari ya Mtume Paulo Kutoka Yerusalemu kwenda Kaisaria alikuwa na jopo la askari 470 wakimlinda ktk safari yake.
Ktk #Matendo 23:23, mkuu wa jeshi aliamuru waandaliwe:
Askari wa miguu 200
Askari wapanda farasi 70
Askari wenye mikuki 200
Jumla: askari 470
#Matendo 10:3-4
"malaika wa Mungu, akimjia na kumwambia, Kornelio! - Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu"
Nakuombea Mungu akumbuke maombi na sadaka zako ktk jina la Yesu

"Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo" #Matendo 4:12
Pale kwenye #MATENDO 9:36-42. Kuna demu anaitwa Dorcas (Thabitha).
Huyu manzi alivalisha wajane na wasiojiweza. Ikafika time akadanja. Watu wakalia hadi Petro akaja kumfufua maana Mungu alikuwa na kusudio lake.
Swali:
• Wewe leo hii ukiumwa tuu nani atakuombea...!? 🤔

ANZA KUTAKASA #MOYO KABLA YA #MATENDO YAKO 💦📚
Ibn ‘Uthaymīn – Allah amrehemu – amesema:
“Basi jitahidi, ewe ndugu yangu, katika kutakasa moyo wako kabla ya kutakasa viungo vyako. Ni watu wangapi huswali, hufunga, hutoa sadaka, na kuhiji, lakini mioyo yao imeharibika.”
Sharh Riyāḍ aṣ-Ṣāliḥīn (3/277)
قال ابن عثيمين رحمه الله:
« فاحرص يا أخي على طهارة قلبك قبل طهارة جوارحك كم من إنسان يصلي ويصوم ويتصدق ويحج لكن قلبه فاسد »
شرح رياض الصالحين (٢٧٧/٣)
#Matendo 2:42
“Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali”
Leo pia tutakuwepo Hemani kwa watu wa Dodoma.

#Matendo 13:2
",,walipokuwa wakimfanyia Bwana ibada na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, Nitengeeni Barnaba na Sauli kwa kazi ile niliyowaitia"
Karibu leo tena tumfanyie Bwana ibada. Nimekuwekea ratiba zetu mtu wa Dodoma.

Namuona MUNGU. He is going to renew you. He is going to revive you. He is going to restore you.
#Matendo 3:19
"Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana"
Receive refreshment from the LORD
#Matendo 5:29
"Petro na mitume wakajibu, wakisema, Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu"
Wiki nyingine ya kujifunza kumtii Mungu
#Matendo 2:42
"Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali"
Na hii ndio maana ya kuwa kwenye usharika, kuwa kwenye Kanisa la Mtaa, kuwa kwenye Local Church.
Ili tukue vizuri kiroho mwaka 2024 uwe na kituo maalumu cha ushirika wako wa kiroho. Kanisa lako la Mtaa (Local Church, wengine wanaita Usharika).
Hapo ndipo utumishi wako unapoanzia na kukua kwako kiroho. Usikomee kuwa msharika wa mtandaoni tu, kuwa na usharika wako maalumu ambao ni physical. Mungu akubariki kwa utii kwa kuwa umekubali kukua kiroho 2024
#Matendo 2:40
"Jiokoeni na kizazi hiki chenye ukaidi"
MIE NDIO NAKWAMBIA HIVYO. KIZAZI CHA UJUAJI!
#Matendo 2:17
"Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto"
Moja ya ahadi muhimu mwaka huu kutembea nayo na kumkumbusha Mungu kwa wingi
#Matendo 18:9,10
"Bwana akamwambia Paulo kwa maono usiku, Usiogope, bali nena, wala usinyamaze, kwa kuwa mimi ni pamoja nawe, wala hapana mtu atakayekushambulia ili kukudhuru; kwa maana mimi nina watu wengi katika mji huu"
BWANA YESU ANA WATU WENGI KILA MAHALI!
#Matendo 13:36
"Kwa maana Daudi, akiisha kulitumikia shauri la Mungu katika kizazi chake, alilala, akawekwa pamoja na baba zake"
NIJAPOMALIZA MWENDO WANGU HAPA DUNIANI BASI NIWE NIMELITUMIKIA KUSUDI LAKO IPASAVYO. EEE BWANA UNISAIDIE. HILI NI OMBI LANGU KWAKO.
#Matendo 26:14
'Tukaanguka nchi sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya kiebrania, Sauli! Sauli! Mbona waniudhi? Ni vigumu kwako kuupiga mateke mchokoo'
"Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu"
#Matendo 17:30
SIKU NYINGINE YA KUTENGENEZA NA BWANA. HILI NI AGIZO. UNA UHIARI WA KUTII AU KUKAIDI.
Pia tembelea hapa upate mwongozo wa maombi ya leo👇👇👇
https://t.co/Flb3UnKc46
"Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu"
#Matendo 17:30
Ni amri. Na ni juu yako kukaidi agizo au kutii. Unayo nafasi ya kuamua leo tena.
"Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu"
#Matendo 17:30
Ndiyo,
NI SIKU NYINGINE YA KUFANYA MAAMUZI MAANA HILI NI AGIZO TOKA JUU KWA BABA. WATU WOTE WA KILA MAHALI WATUBU. FANYA SHINGO NGUMU SASA..
Last Seen Hashtags on Sotwe
familytaboo
Seen from Brazil
캣츠클로
Seen from United States
snaphack filter:native_video
Seen from Canada
Overdo
Seen from United Kingdom
minichat()********************************************************************************************************************** **filter:native_video()
Seen from Brazil
aleynatilkii̇fsa
Seen from Turkey
gavat kocalar#
Seen from Turkey
VictorVercetti
Seen from United States
teenageee minichat snapchat()+filter:native_video
Seen from Netherlands
ViggoMortensen
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers


