Top Tweets for #Mathayo
#Mathayo 5:6
"Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa."
#Mathayo 5:7
"Heri wenye rehema; Maana hao watapata rehema."
#Mathayo 6:6
"Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi."

"Njoni kwangu nyinyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.Jifungeni nira yangu, mkajifunze kwangu, maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtatulizwa rohoni mwenu.Maana, nira niwapayo mimi ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi"
#Mathayo 11:28-30
Kufunga si kukaa na njaa tu ya chakula, bali ni kiu ya uwepo wa Mungu. Wanaomtafuta Mungu kwa bidii hawataondoka mikono mitupu.
"ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi"
#Mathayo 6:18

"Na mkiwa na imani, chochote mtakachoomba kwa sala, mtapata."
#Mathayo 21:22
Unapokuwa unaomba mbele za Mungu unatakiwa kuomba kwa imani ndipo utakapoona maombi yako yanajibiwa. Lakini usipoomba kwa imani hautajibiwa kamwe. Jifunze kuomba kwa imani utaona matokeo mazuri ya maombi
#Mathayo 6:33
"Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa."

#AyaYaSiku.
#Mathayo 6:14-15 Maana Mkiwasamehe Watu Makosa Yao, Baba Yenu Wa Mbinguni Atawasamehe Nyinyi Pia. Lakini Msipowasamehe Watu Makosa Yao, Naye Baba Yenu Hatawasamehe Nyinyi Makosa Yenu.
#Mathayo 5:45 ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaangazia jua lake watu wabaya na wema, na kuwanyeshea mvua watu wanyofu na waovu.
Neno la Mungu linasema:
"Lakini Yesu akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu; wala msiwazuie; kwa maana walio mfano wa hao, ufalme wa mbinguni ni wao" #Mathayo 19:14
Anayewazuia watoto anapingana na Mungu yafaa afungiwe jiwe la kusagia atupwe baharini📌
#Mathayo 7:12
"Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii."
Ufalme wa Mungu kwanza ndipo upate vyote; Usianze na vyote ili kuupata ufalme wa Mungu hutaupata.
#Mathayo 6:33

#Mathayo 6:1
"Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni"
#Mathayo 7:12
"Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii."
"MUNGU huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki. - 46 Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani?"
#Mathayo 5:45-46
Nimekuwekea Ratiba za ibada zetu Hemani

#Mathayo 9:37,38
"Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache. - 38 Basi mwombeni Bwana wa mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno yake."
Karibu sana Hemani mpendwa wangu tuutafute uso wa Mungu pamoja nawe na kukua pamoja. Nimekuwea ratiba zetu
+255758443873

#MATHAYO 25:1-12
KUNA UFUNUO UPO HAPA MUNGU AMENIPA.
Mfano huu👇🏾 Yesu aliutoa akiwa na maana gani?
🔷️WANAWALI 10=kanisa
🔷️TAA=imani
🔷️MAFUTA=Roho Mtakatifu
LEO TUANGALIE UTENDAJI KAZI WA ROHO MTAKATIFU KUANZIA MWAMINI ANAOKOKA NA KUUKULIA WOKOVU👇🏾👇🏾

TAZAMA 👇🏾👇🏾
i. “Wala msimhuzunishe yule Roho Mtakatifu wa Mungu; ambaye kwa yeye mlitiwa muhuri hata siku ya ukombozi.
”— Waefeso 4:30
ii: —#Mathayo 12:32
“Naye mtu ye yote atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali yeye atakayenena neno juu ya Roho Mtakatifu ...
#MATHAYO 25:1-12
KUNA UFUNUO UPO HAPA MUNGU AMENIPA.
Mfano huu👇🏾 Yesu aliutoa akiwa na maana gani?
🔷️WANAWALI 10=kanisa
🔷️TAA=imani
🔷️MAFUTA=Roho Mtakatifu
Kwa wale ambao hamkupata nafasi kupitia somo hili tafadhari unaweza pitia kwenye link hii👇🏾
https://t.co/fSOPjOfUcZ

Last Seen Hashtags on Sotwe
momson filter:videos
Seen from United States
actressesfcexclusive
Seen from Malaysia
türkporno
Seen from Turkey
MamaNzima
Seen from United States
Fenomen ifşa
Seen from Germany
NOlimit filter:videos
Seen from Germany
teenagergirls
Seen from United States
trademega
Seen from Brazil
taboomom
Seen from Argentina
hijaputa
Seen from Argentina
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.9M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.9M followers

X 
@x
60.8M followers



