Top Tweets for #Mchipuko
Senator Okiya Omtatah: Today resources are allocated to the bases of proximity to power. They are saying that by virtue of ODM joining the broad-based government, development is going to Nyanza. You have to go and bow to the president to get anything.
#Mchipuko
Patello: Mimi ndio nilikatiana. Nilimwambia tu vile ananibamba na vile naeza taka na yeye.
#mchipuko
Dee ulikuwa pengine na duka la boutique Village Market, mambo ya kweli ama ni story za mtandaoni?
Dee: Hizo ni story zao. Huyo sio mimi.
#mchipuko
Quick Fire Questions with VJ Patelo na Dee
#mchipuko
Dee: Sisi huwa watu wametulia sana, kwa nyumba hata kazini. Lakini sai everything is just blown out of proportion. Hata kutoka inakuwa shida unaogopa.
#mchipuko
VJ Patello: Sisi huishi maisha iko, Naeza ambia kila mtu ajibambe aishi maisha anapenda kuishi. Usingoje upangwe na mtu, fanya kitu inakufurahisha.
#mchipuko
Hali ya siasa nchini inaendelea kugonga vichwa vya habari. Ungana nasi sasa kwenye #Mchipuko kujua zaidi.


Justin Muturi: We must say as a country, never again, if we are to build a country that respects humanity. A vibrant, healthy, intelligent young man losing his life in the manner that Albert did, and all we hear are stories.
#Mchipuko
Bonface Kariuki's Father: Uyo Karao amefanya makosa na anafaa kuchukuliwa hatua kali.
#Mchipuko
Bonface Kariuki's father: Nilimwona kwa simu na nikapigiwa simu jioni kitu saa mbili, nikaambiwa amepigwa risasi. Niliona kwa simu vile alipigwa risasi na alikua anauza mask, si ati ni kijana mkora.
#Mchipuko
Nakuru resident: Sisi wote tukikufa, uyu Ruto atapigiwa kura na nani? Ama tuhame Kenya abaki pekee yake, ama auze Kenya atupee share yetu kila mtu ajipange.
#Mchipuko
Nakuru resident: Mimi kama mzazi, uyo mtoto aliniuma sana. Mtu unaeza aje muua kama amesurrender, hana shida na mtu yeyote, hakua ata kwa io maandamano? Na hii serikali imenichosha.
#Mchipuko
Nakuru resident: Mr. William Ruto, hii nchi yetu unatuongoza, ukimaliza utaenda nchi ingine ama wewe pia ni Mkenya kama wale wengine? Enough is enough! We need our freedom in our country.
#Mchipuko
" Watatokea manabii wa uongo. Ruto ni kama nabii wa uongo. Akipata anachotaka mtindo ni ule ule, aliyokua akifanya ndio ataendelea kufanya."
#Mchipuko
Je, unafikiria kufuga mbwa? Ungana nasi katika #Mchipuko tukujuze zaidi kuhusu ufugaji wa mbwa, faida, changamoto na mbinu bora za malezi.

C.S Oparanya: We have professors within cooperative movements that are failing. You are a professor and something is failing, and you are a member; you can't give a solution, but you can teach people about cooperative movements. You are a theorist who just reads books.
#Mchipuko
"Ruto ni mwana mpotevu, alipotea na amerudi kwa babake, wananchi watulie waone Baba akipanga Kenya. Ruto atakua anaskiza babake." -Mombasa resident.
#Mchipuko
Mombasa Resident: Baba ametuvunja moyo. Ruto anatafuta mtu wa kumwinua; kwake ni bahati mzuri kwa sababu huenda amalize miaka yake tano lakini kwa Wakenya ni bahati mbaya.
#Mchipuko
"Raila aliungana na Kibaki walisupport, aliungana na Uhuru Kenyatta walisupport, kwa nini akiungana na Ruto wanapinga? Lazima tukae kwa hii serikali." - Mombasa resident.
#Mchipuko
Last Seen Hashtags on Sotwe
beurette #salope #92i
Seen from France
ζδΈ
Seen from Singapore
ngulum
Seen from Indonesia
deekaesthetic
Seen from Brazil
karolinfiΕekΓ§i
Seen from Turkey
Breath4Life
Seen from United States
momson ()
Seen from United States
BollywoodBoysClub
Seen from United States
ometv sange
Seen from Indonesia
wataa
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.4M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers
