Top Tweets for #Mikataba
ULIZA WAKILI DAY! Tunakaribisha maswali kuhusu SHERIA YA MIKATABA kupitia komenti au kutuma ujumbe binafsi bila malipo yoyote.
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #skulizawakili #legaltech #legalgurus #kaributukuhudumie #freeday #maswalinamajibu #mikataba #sheriayamikataba
Been in the #Cardano game for a bit? #SmartContracts? π₯± Old news. But have you heard of #Plutus? π€ Donβt worry, no brain explosions π₯βletβs see what this Plutus thingy is all about! πhttps://t.co/OOup0ctYoF
FAHAMU SHERIA ya leo ni kutoka Kifungu cha 10, Sura ya 345 kutoka Sheria ya Mikataba kinachoelezea pande mbili za wahusika wa mkataba.
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #dhamana #mikataba

ULIZA WAKILI DAY! Tunakaribisha maswali kuhusu SHERIA ZA MKATABA kupitia komenti au kutuma ujumbe binafsi bila malipo yoyote. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #skulizawakili #freeday #legaltech #legalgurus #kaributukuhudumie #freeday #maswalinamajibu #sheria #mikataba

πTUCTA #imeipongeza Serikali kwa kusaini #mikataba miwili na Serikali ya Saudi Arabia kwa ajili ya #kufungua fursa za Ajira za #Watanzania nchini Saudi na kwa kiasi kikubwa kuboresha #maslahi ya Wafanyakazi, ikiwemo kulinda haki zao na stahiki zao.
#Mguukwamguu2025

#Yahya
βοΈ Muite Sheikh Mansooor #Yahya. Bosi hana baya huyu. Mwenye madege ya Ardhini.
βοΈ Kwa hesabu ya haraka haraka hapa kuna Bilioni ngapi? Kupitia picha hizi Tunauwezo wa kununua #Mikataba 10 na #Madubwasha ma 5 kama vifungashio.

FAHAMU SHERIA ya Jumatatu hii ni kutoka Sheria ya Mikataba, Kifungu cha 11.
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #ulizawakili #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #mikataba

#Wagalatia4:16
Je! Nimekuwa adui wenu kwa sababu nawaambia yaliyo kweli?
@SuluhuSamia ,@TuliaAckson ,@ccm_tanzania @BungeTanzania @judiciary_tanzania , @tanpol n.k
Je! Watanganyika tumekuwa adui zenu kwa sababu tunawaambia ukweli kuhusu #mikataba, #katiba, #uongoziMbovu
FAHAMU SHERIA ya Jumatatu hii ni kutoka Sheria ya Ndoa, Kifungu cha 13 (1).
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #ulizawakili #legaltech #legalgurus #fahamusheria #mikataba #sheriayandoa

FAHAMU SHERIA ya Jumatatu hii ni kutoka Sheria ya Ardhi, Kifungu cha 20(1).
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #ulizawakili #legaltech #legalgurus #fahamusheria #mikataba #sheriayaardhi #raia #umilikiardhi

ULIZA WAKILI DAY! Tunakaribisha maswali kuhusu SHERIA YA MIKATABA kupitia komenti au kutuma ujumbe binafsi bila malipo yoyote. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #ulizawakili #legaltech #legalgurus #kaributukuhudumie #freeday #maswalinamajibu #sheriayamikataba #mikataba

FAHAMU SHERIA ya Jumatatu hii ni kutoka Sheria ya Mikataba, Kifungu cha 14.
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #ulizawakili #legaltech #legalgurus #fahamusheria #mikataba #sheriayamikataba #makubaliano #hiari

Mbunge Prof. Kitila Mkumbo atoa mchango wa hoja kuhusu mikataba inayohusisha serikali ya Tanzania na Dubai, akisisitiza kuwa βHatuna mkataba wa TPA na DP World, na hii si kazi ya Bunge, bali ni jukumu la serikali.βAzimio hilo linazingatia masuala ya kiuchumi na kijamii.
#Mikataba
Afisa mwandamizi wa jeshi Korea Kusini amesema jeshi limetoa onyo kali kwa Korea Kaskazini ikiitaka kuacha kufyatua makombora ya balistiki kwa majaribio ya kichokozi.
#koreakaskazini #koreakusini #makombora #uchokozi #onyo #mikataba #maazimio #voa #voaswahili #dunianileo
Hali za #Wafanyakazi katika #Vyombo vya #Habari;
73% #Waandishi wanakiri #changamoto kubwa inayowakabili ni kufanya kazi bila #mikataba.
#Ukatili wa #Kingono:
- 42% Wanaona ni Tatizo kubwa
- 40% Tatizo la Wastani
- 14% Tatizo dogo
- 04% Si Tatizo
#BizHumanRightsReport2022

#Utafiti umegundua kwamba waajiri wengi (#viwanda) wanapenda kuajiri wafanyakazi wa kutwa (#vibarua) ili wasilazimike kutoa #mikataba baada ya kuajiri wafanyakazi. #BizHumanRightsReport2022 #BizHumanRightsReport2022 #BizHumanRightsReport2022 #BizHumanRightsReport2022
Mkoa wa #Mwanza ulirekodi asilimia kubwa ya wafanyakazi walio na ajira ya maandishi #mikataba (82%), huku Mkoa wa Mara ikiwa chini kabisa, kwa asilimia 26%. Mikoa mingine ilianzia 44% hadi 75%.
#BizHumanRightsReport2022
#BizHumanRightsReport2022
#BizHumanRightsReport2022
Je? #Wafanyakazi wanapewa #Mikataba Makazini?
64.6% (Wafanyakazi walioshiriki #utafiti wana Mikataba ya #Ajira, ongezeko la 5.6% ukilinganisha na 2021.
35.4% Hawana Mikataba ya Ajira.
#BizHumanRightsReport2022

"Wafanyakazi wenye #mikataba ya #ajira ilikuwa juu kuliko zote mkoani #Kilimanjaro (90%) na ndogo kuliko zote katika #Mkoa wa #Mara (30%)." - Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha #Sheria na #Haki za #Binadamu (#LHRC) akizungumza kwenye #BizHumanRightsReport2022
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers













