Top Tweets for #MoScholarsProgram
Today, we conducted a capacity-building session for our Mo Scholars Alumni, empowering them with essential soft skills to enhance their employability.
#MoCares #MoScholarsProgram #MoDewjiFoundation

π’π’π’Zimebaki siku tatu tufungue dirisha la maombi ya udhamini wa elimu ya juu. Hii ni orodha ya viambatanisho unavyoweza kuhitaji kuwa navyo.
#moscholarsprogram

Tumebakisha siku chache kabla ya kufungua dirisha la 7 la programu yetu ya Mo Scholars!
Tuko kujibu maswali yaliyoulizwa zaidi katika kipindi cha maombi ya Scholarship.
Kaa tayari, tufuatilie katika kurasa zetu, tag na share na marafiki.
#moscholarsprogram

Hakika @moodewji unafanya jambo jema na jambo la heri linalogusa maisha ya watu. Mwenyezi Mungu akubariki sana. Nitoe wito kwa wapenda maendeleo wengine kuiga mfano huu wa kuwaendeleza Watanzania kielimu. #MOScholarsProgram

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Cosmadeus Mayunga
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
KOZI: Sanaa na Elimu (B.A with Education)
MALENGO: Kuwa mjasiriamali

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Kelvin Ernest
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
KOZI: Sanaa na Elimu (B.A with Education)
MALENGO: Kuwa mhamasishaji wa masuala ya kijamii.

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Eram Temu
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
KOZI: Sayansi katika Uhandisi wa Kemikali na Uzalishaji (BSc in Chemical & Process Engineering)
MALENGO: Kuwa mhandisi katika masuala ya kemikali na uzalishaji

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Amos Kashinje
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
KOZI: Sayansi katika Ubunifu wa Nguo na Teknolojia (BSc in Textile Design and Technology)
MALENGO: Kutengeneza mashine za gharama nafuu

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Ally Mashaka
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
KOZI: Elimu ya Watu Wazima na Jamii (Bachelor of Education in Adult & Community Education)
MALENGO: Kuwa kiongozi mkubwa hapa nchini

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Iddi Mbilinyi
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
KOZI: Sanaa ya Kiswahili (B.A in Kiswahili)
MALENGO: Kuwa mkalimani

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Barnaba W. Barnaba
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
KOZI: Utawala wa Biashara (Bachelor of Business Administration)
MALENGO: Kuwa msimamizi wa biashara.

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Suzana Mkindi
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
KOZI: Ustawi wa Jamii (Bachelor of Social Work)
MALENGO: Afisa Ustawi wa Jamii

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Henritha Rwegasira
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
KOZI: Biashara katika Masoko (BCom in Marketing)
MALENGO: Kuwa Meneja Masoko.

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Iddi Mbilinyi
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
KOZI: Sanaa ya Kiswahili (B.A in Kiswahili)
MALENGO: Kuwa mkalimani

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Amuniri Sebarua
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
KOZI: Sanaa katika Elimu (B.A with Education)
MALENGO: Kuwa mwalimu na mfanyabiashara.

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Busumilo Tumaini
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
KOZI: Bachelor of Science General
MALENGO: Kuwa mkemia.

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Venance Makemba
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
KOZI: Sayansi ya Viumbe Hai wanaoonekana na wasioonekana kwa macho pamoja na teknolojia ya sayansi ya uvuvi (BSc in Aquatic science & Fisheries)
MALENGO: Kutengeneza mashine za gharama nafuu.

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Monica Ubushimbali
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
KOZI: Sanaa katika Elimu (B.A with Education)
MALENGO: Kuwa mwalimu na mjasiriamali.

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Phoebe Mwankemwa
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
KOZI: Sanaa katika Elimu ya Jamii (B.A in Sociology)
MALENGO: Kufanya kazi za kijamii ambazo zinawalenga watu wenye mahitaji maalum.

MNUFAIKA WA #MoScholarsProgram
JINA: Amon Abraham
CHUO: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
KOZI: Sayansi katika Uhandisi wa Kompyuta na Teknolojia ya Habari (BSc in Computer Eng. & Information Technology)
MALENGO: Kutengeneza mashine ambazo zitakuwa za gharama nafuu.

Last Seen Hashtags on Sotwe
ngitippipis
Seen from Indonesia
LetsSnowBcn18
Seen from United States
lofestivaldelaconcadella
Seen from United States
omegle()******+filter:native_video
Seen from Japan
θ¦ͺθ¦ͺζε₯½εͺ½
Seen from United States
ΰΈΰΈ΄ΰΈΰΈ΅ΰΈΰΈ΅ΰΉΰΉΰΈ‘ΰΉΰΉΰΈΰΉΰΈΰΈ³ΰΈΰΉΰΈΰΈ’
Seen from Indonesia
SinemΓnsal
Seen from Turkey
GooglePixelBudsA
Seen from United States
4c19
Seen from United States
tattedby44
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.5M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers







