Top Tweets for #MondayCollabos
Collabo yetu ya Leo ni ngoma moja kali sana ‘Simpo Simpo ‘ collabo yake
@viviankenya na @stivo_boy.
Vivian ashasema yuapenda simple, Je wewe wapenda aina gani ?
#Mondaycollabos
#EAbase

Mambo vipi, leo ni ile siku ya Monday Collabos yaani tunakuchezea collabo kutoka kwa wasanii wa Afrika Mashariki.
Lisilo budi hutendwa, basi
@PresenterAli ako hapa kuwakilisha burudani kwenye show ya East Africa Base, show ya kiswazi.
#MondayCollabos
#EAbase
#Wachokozi

Collabo yetu ya siku ni ngoma moja kali sana kutoka kwa wasanii wa Kenya yaani wale tunaiita Legends katika mziki maana wanatambulika sana kwa kazi yao safi.
Ngoma ni Ndagukunda ya @OtileBrownKenya na @AMB_Prezzo .
#EAbase
#Wachokozi
#MondayCollabos

Aya basi Leo ni ile siku entertainment P.A @PresenterAli anakuanzishia wiki na burudani sawa sawa. Kama kawa kama k kila jumatatu ni siku ya collabo ambazo zinakimbiza hapa Afrika Mashariki.
Show ni East Africa Base, show ya kiswazi.
#EAbase
#Wachokozi
#Mondaycollabos

#Mchokozi akichapa luku mnavyoona, jua kwamba pataharibika jambo.
Leo ni #MondayCollabos na kabla hatujalipa deni la @Kaka_Empire tungependa kuwajuza kwamba @nadia_mukami, @Fena_menal na @KHALIGRAPH wamefanya kitu! Kitu gani?

Leo ni #MondayCollabos, tukuchezee kibao kipi? Kumbuka, 'Wachokozi hawanaga utani'
#MondayMotivation #MondayThoughts #Mondayvibes
Ni #MondayCollabos ndani ya #EABase naye @PresenterAli . Uko tayari tukuchokoze kwa 'Wanani remix' ama wataka tucheze kibao kingine?
Tazama @switchtvkenya na ukumbuke, 'Wachokozi hawanaga Utani'
#MondayMotivation #MondayThoughts #MondayVibes
Leo ni #MondayCollabos ndani ya #EABase naye @PresenterAli. Tungetaka kukujuvya kwamba kibao kipya cha @RabbitTheKing na @PascalTokodi kishaanguka, na wakenya wanamengi ya kusema kukihusu.
Sisi hapa ni kukuburudisha nawe utupe maoni yako. Kaa nasi hadi tamati.

Wana sura, wanasauti na nyimbo zao zina burudani! Kama huwatambui wakuu hawa na kibao walichowachilia siku nne zilizopita, unatoka Afrika Mashariki kweli?
Ni #MondayCollabos ndani ya #EABase naye @PresenterAli leo tunajihisi kiushirikiano ushirikiano hivi...

Ni #mondaycollabos ndani ya #EABase naye @presenterali. Leo tunaangazia collabo mbili zilizovutia hisia zetu.
Tuna 'Blame Game' yao @xeniamanasseh naye @kagwemungai na 'Zoea Mawe' yake @ringtoneapoko na @azz_iad. Hizi ni nyimbo zilizotuvutia kwa sababu ya warembo hawa wawili.

Ni #MondayCollabos katika #EABase naye @PresenterAli. Leo tunaangazia kazi za wasanii walioshirikiana; tunaye @OtileBrownKenya na @KHALIGRAPH ambao wametoa wimbo mpya unaojulikana kama 'Hit and Run'. Naye @Jumajuxofficial na @MauaSama na wimbo wao wa 'Covid19'.

Leo ni #MondayCollabos katika #EABase na @PresenterAli. Tunawachokoza na nyimbo ambazo ni kazi za mashirikisho. Kabla tuendelee, taja collabo za wasanii hawa.
Kaa nasi hadi tamati. Kumbuka 'wachokozi hawanaga utani'
#Mchokozi #EntertainmentPA #MondayMotivation #MondayThoughts

It's ,#MondayCollabos once again on #EABase, yes! Tune into @switchtvkenya for some of the hottest collaborative music in East Africa.
Now, drop your song request and keep it locked with @PresenterAli the #EntertainmentPA.
#MondayMotivation #MondayThoughts #MondayVibes

East or West, home is best. Welcome to #EABase with @PresenterAli the #EntertainmentPA. Today is #MondayCollabos, we play collaboration works of art in the music industry.
Which song would you like us to play for you?
#MondayMotivation #MondayVibes #MondayThoughts

@PresenterAli has officially stopped reggae, time to switch to East African music; #EABase on @switchtvkenya .
Today is #MondayCollabos, drop those requests we work on them.
Keep it locked!
#mondaythoughts #MondayMotivation #MayThe4th #StaySafe

#Time to tune into @switchtvkenya for #EABase with the #EntetainmentPA himself @PresenterAli . Today is #MondayCollabos, what's your play request?
Keep it locked.
#mondaythoughts #MondayMotivation #Kenya #StayAtHome

Time to drool guys, tune into @switchtvkenya for #EABase with our #MCM, @PresenterAli.
Today is #MondayCollabos, we are playing the hottest East African collabos.
Place your request and we will sure play it for you. Keep it locked!!
#MondayMotivation #MondayThoughts #420day

@PresenterAli is stopping reggae on @switchtvkenya. Tune in for #EABase, today is #MondayCollabos.
Drop your requests and keep it locked!!
#EasterMonday #Utawezana #MondayMotivaton #mondaythoughts

Of course we know, #QuarantineLife is not easy. That's why we are here to keep you going. Welcome to #EABase on @switchtvkenya with @PresenterAli.
Today is #Mondaycollabos, which song would you like to hear under this genre?
#MondayMotivation #MondayVibes #1000waystostayathome

How about a round of applause for our #MCM @PresenterAli. Welcome to #EABase on @switchtvkenya. We hope you are safe at home. On the show today, the music revolves around #MondayCollabos. Which song under this genre would you like to hear?#MondayMotivaton #mondaythoughts

Last Seen Hashtags on Sotwe
지인박제
Seen from Korea
flingster
Seen from Australia
frasesbajoelsemaforo
Seen from United States
AlecGraham
Seen from United States
rubyli
Seen from Singapore
รับงานสุรินทร์
Seen from Thailand
momsonn (((((())))))***** video
Seen from Switzerland
ایمرجنسی
Seen from United States
PunkO
Seen from United States
nolimit()*************************************
Seen from Peru
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.9M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
