Top Tweets for #Mpango
@eastafricatv Na akina #Mwiugulu, #Samia na #mpango mbona hamuwapeleki ndani? Au #CAG report ni kwa wanyonge kama huyo masikini ?
Anastahili pongezi na kuuungwa mkono @neemalugangira
#Mpango wa Lishe mashuleni
#Kilimo na chakula Endelelevu
#NeemaNaMaendeleo kupitia @AgriThamani na @OmukaHub Tanzania
Ndugu Nape mimi sipingani na suala la matumizi sahihi ya mitandao kuwa ndicho tunachopaswa kukienzi na si vinginevyo, hilo no doubt....
Lakini hoja yako ya kuchukua hatua kama inalenga watu waliopiga kelele juu ya kutoonekana kwa VP #Mpango that is absolutely wrong... sababu za hoja yangu zipo obvious.
1. Makamu wa Rais ni Mali ya Umma, kwa mujibu wa Katiba wananchi wanayo haki kwa wakati wote, yupo wapi na anatekeleza majukumu yapi kikatiba.
2. Mwananchi kuhoji, kutaka kujua kiongozi wake yupo wapi na anapokosa majibu toka kwa viongozi wake ambao wanao wajibu kuekeleza hilo, maana yake ni kutengeneza mazingira ambayo wananchi wanaanza kujenga hisia tofauti. Vivyo hivyo kama anavyosema VP Mpango yeye kama Binadamu, hao anao waongoza ni binadamu wanazo hisia, wanayo haki kutaka kujua alipo kiongozi wake.
3. Pamoja na maelezo ya Mh. VP Mpango a brother (by ethenicity), bado hajaweka wazi, kwanini umma haukujulishwa alipo na sababu za yeye kuwepo huko. Neno kazi maalumu bado haijibu hoja za wananchi kutaka kupewa haki yao ya taarifa sahihi toka kwa kiongozi wao na kwa mujibu wa Katiba.
Mwisho:
"TUTACHUKUA HATUA" kwa ushauri wangu hii ni kauli isiyo na afya kwa ulimwengu uliostaarabika, unaojali flow of information bila kujali ni zile zinazo kufurahisha au kukuudhi as long hazikiuki misingi ya Haki na sheria za nchi.
Wasalaamu.
Rais wa Uturuki amegusia kuwa uchaguzi utafanyika Mei 14, 2023 akisalia na mpango wake wa zamani upigaji kura kufanyika siku hiyo. Je zoezi hilo la uchaguzi linaashiria nini?
#rais #uturuki #uchaguzi #mpango #upigajikura #mkanganyiko #voa #voaswahili #dunianileo
Salute to all the UDA supporters for your overwhelming love.
You are indeed the beacon of hope for a united and prosperous Kenya.
Let's keep the momentum going.
#mpango ni BOTTOM UP
Usistress, CookStar ndio siri ya kupika keki, mahamri, na mandazi zinazovutia. Weka CookStar kwa mpango. Pata yako leo.
#CookStar #GwijiWaMapishi #Mpango

Chuka town, Tharaka Nithi County.
@WilliamsRuto the 5th President
@rigathi the next Deputy President
#Hustler Nation the next Government
#Mpango ni Bottom-up
#FreedomIsComing
#EnoughIsEnough

Philip Mpango is a Tanzanian politician and economist, currently Tanzania’s Vice president. He was born in July 14 1957. On March 31, 2021, Philip Mpango was sworn in...#PhilipMpango #DrPhilipMpango #DrMpango #Mpango #Tanzania
Read more at - https://t.co/vy0pQT3Oes

NATO yazindua mkakati mpya wa mpango wa usalama ikisema kuwa Russia ni tishio la wazi kwa umoja huo.
#NATO #Mkakati #mpango #usalama #russia #tishio #umoja #voa #voaswahili #dunianileo
Rais Joe Biden ameelezea mpango wake wa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na kuimarisha nishati mbadala katika mabara ya Amerika huko Los Angeles.
#Rais #JoeBiden #Mabadiliko #HaliyaHewa #Mpango #Nishatimbadala #voa #voaswahili #dunianileo
Embu county next Governor @CecilyMbarire.Embu wameamua na wakamaliza
#Chama ni @UDAKenya
#kazinikazi
#Mpango ni bottom up economic model.
#President ni @WilliamsRuto
#kavidanigaka.


Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.8M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.4M followers

X 
@x
60.8M followers



























