Top Tweets for #Msiba
Ndugu zangu, bado tuna #MSIBA. Haki ya ndugu zetu haijapatikana. Wauaji wako huru wanadunda mtaani na wengine wanadhihaki majukwaani. Ninashauri kwa heshima ya ndugu zetu, tutenge siku maalum za kuwakumbuka kila wiki platforms zote zijadili ule #UKATILI. #MO29.π @TitoMagoti

Miongoni mwa #Msiba tulio nao zama hizi ni kila Muislamu kujitia ujuaji wa mambo ya Dini wakati hana ujualo hiyo ni Dhambi kubwa
Ona huyu ndugu @Rahim_Meghji anawaita #MAZANDIKI wanafaki #Mahuthi waumini subhanallah!!!!!!!!!!
Ukitaka uone balaa mulize atupr Aqida ya mahuthi!!!

#Msiba
Yusuph Hamza Kitembo kutokea Kigoma Ujiji amefariki dunia siku ya leo alipokuwa njiani kuelekea Bunda kwenye mazishi ya aliyekuwa mkurugenzi wa Tanesco ambaye alifariki kwa ajali ya gari akiwa njiania kuelekea kwake, hivyo ndugu Yusuph nae amepata ajali hivyohivyo.

#Msiba
Picha mbalimbali kutoka nyumbani kwa marehemu EX SACP Beatus Silla wakati wa misa ya kumuaga inayofanyika Nyumbani kwake Mwanagati na baadaye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Veronica Mwanagati Jijini Dar es Salaam leo Februari 11, 2025.

#MSIBA
Mwenyekiti wa chama Cha ACT Wazalendo Jimbo la Kigoma mjini Khalfan Bona Amefariki Dunia leo Desemba 31, 2024.

#MSIBA
Bura wa Kasulu maarufu kama Brazil amefariki dunia na kuzikwa siku ya juzi baada ya kugongwa na pikipiki Kasulu Mjini. Brazil alikuwa ni mtu wa watu na amezikwa na mamia ya wenyeji wa mji wa Kasulu.
Pole sana family ya Kigoma Kasulu ukoo wa Wagwama.

#MSIBA
Mzee Ruhembwe AbdulMuhsin Kitumba wa Kasingirima Ujiji anasikitika kutangaza kifo cha Kaka yake mpendwa Alhaj Hamza Sungura (Mkazi wa Kigoma Mjini) kilichotokoea usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mloganzila Dar es salaam.
Matayarisho ya kuusafirisha mwili kuja Kigoma Ujiji yanaendelea.

#Msiba
Aliewahi kua kocha wa RTC KIGOMA amefariki usiku wa kuamkia leo saa 9 usiku.
Alikua naitwa HASANI MUSA BWAGA
JINA maarufu KOCHA BWAGA
Mazishi yatafanyika leo saa 10:30 jioni Mwanga mtaa wa Yusufu, Kigoma.

@IAMartin_ Kaka Inasikitisha sana kuona nguvukazi ya TAIFA ikiangamia #VerySadπ₯
Samahani wakati tunaendelea kuomboleza huu #msiba hebu tupate #Madini kidogo tusisinzieππ
Katibu Mkuu wa @ACTwazalendo, Ndugu @AdoShaibu akisaini kitabu cha maombolezo msibani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa @NgomeyaWazee Taifa, Alhaj Yasini Mohamed Gumsani.
#Msiba

Kiongozi Mstaafu wa @ACTwazalendo Ndugu @zittokabwe ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa @NgomeyaWazee Taifa, Alhaj Yasin Mohamed Gumsani.
Mazishi hayo yamefanyika leo Novemba 05, 2024 Tandale kwa Mtogole Dar es salaam.
#Msiba

Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Taifa ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa @othmasoud akisaini kitabu cha maombolezo msibani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa @NgomeyaWazee Taifa, Alhaj Yasini Mohamed Gumsani.
#Msiba

Kiongozi Mstaafu wa @ACTwazalendo Ndugu @zittokabwe ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa @NgomeyaWazee Taifa, Alhaj Yasin Mohamed Gumsani.
Mazishi hayo yamefanyika leo Novemba 05, 2024 Tandale kwa Mtogole Dar es salaam.
#Msiba

Kiongozi Mstaafu wa @ACTwazalendo Ndugu @zittokabwe ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa @NgomeyaWazee Taifa, Alhaj Yasin Mohamed Gumsani.
Mazishi hayo yamefanyika leo Novemba 05, 2024 Tandale kwa Mtogole Dar es salaam.
#Msiba

@Ester_Thomas1 @NgomeyaWazee @ayo_shangwe Katibu wa @NgomeyaWazee Taifa, Ndugu Janeth Fussi akisaini kitabu cha maombolezo msibani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa @NgomeyaWazee Taifa, Alhaj Yasini Mohamed Gumsani.
#Msiba
@ACTwazalendo

@Ester_Thomas1 @NgomeyaWazee Naibu Mwenezi, Ndugu @ayo_shangwe akisaini kitabu cha maombolezo msibani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa @NgomeyaWazee Taifa, Alhaj Yasini Mohamed Gumsani.
#Msiba
@ACTwazalendo

Naibu Katibu Mkuu wa @ACTwazalendo Bara, Ndugu @Ester_Thomas1 akisaini kitabu cha maombolezo msibani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa @NgomeyaWazee Taifa, Alhaj Yasini Mohamed Gumsani.
#Msiba

@MchinjitaIR @NgomeyaWazee Katibu Mkuu wa @ACTwazalendo, Ndugu @AdoShaibu akisaini kitabu cha maombolezo msibani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa @NgomeyaWazee Taifa, Alhaj Yasini Mohamed Gumsani.
#Msiba

Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara, Ndugu @MchinjitaIR akisaini kitabu cha maombolezo msibani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa @NgomeyaWazee Taifa, Alhaj Yasini Mohamed Gumsani.
#Msiba

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65M followers

Bill Gates 
@billgates
64.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers


































