Top Tweets for #Nishatisafi
Wakenya tuangaze! π‘π°πͺ
Serikali imezindua Energy Delivery Roadmap mpya chini ya #Mission300.
Lengo: umeme wa uhakika na wa bei nafuu kwa kila nyumba ifikapo 2030.
Mustakabali ni mkali! β¨
#Kenya #NishatiSafi #UmemeKwaWote #KenyaInaendelea

Tunaendelea kusambaza agenda ya #NishatiSafi.
Hili shavu tumepewa na @Taifa_Gas kwa uaminifu mkubwa tunapeleka mitungi yao mikoa yote Tanzania...lengo ni 1 tu kuhakikisha dhamira ya Rais @SuluhuSamia kuhusu Nishati Safi inatimia.
βοΈ0653 48 78 16 piga utoe oda usafirishiwe mzigo

Upishi Safi ni jukumu letu sote!
Jiunge nasi kwenye Kongamano la Upishi Safi Afrika Mashariki,Arusha πΉπΏ tar 6/8 Mei 2025.
Kutana na wabunifu,asasi za kiraia ili kugundua suluhisho za kupunguza hewa chafu na kuokoa maisha
#UpishiSafiEA #NishatiSafi #Tanzania #UNCDF #CookFund

#NishatiSafi inaanzia hapa.....
#TaifaGas ndio wadau wa 1 kuunga mkono agenda ya Nishati Safi nchi hii...m

β° Tegesha saa yako ili ujiunge moja kwa moja pale #matangazomubashara yatakapoanza ya #BETD25 tarehe 18 Machi 2025! #JiungeNaMdahalo #NishatiSafi
@AuswaertigesAmt
@GermanyDiplo
@BMWK
@bEEmerkenswert
@BSWSolareV

@tzthinker Umeme ni moja ya nishati safi itakayotuwezesha kukuza uchumi wa nchi yetu. #sisinitanzania #siondototena #mslac #matokeochanya #nchiyangukwanza #katibanasheria #nishatisafi

πβ‘οΈBerlin Energy Transition Dialogue 2025 inakuja Machi 18β19! π
Jiunge na viongozi wa kimataifa huko Berlin kujadili #mabadilikoYatabianchi, #usalamaWaNishati na kusukuma mbele mpito wa #nishatiSafi. Tufanye ubunifu na tuchukue Hatua sasa kwa ajili ya mustakabali endelevu! π±
πβ‘ Save the Date! The Berlin Energy Transition Dialogue 2025 is coming March 18β19! π
Join global leaders in #Berlin to tackle #climatechange, #energysecurity & drive #cleanenergy transition. Letβs innovate, collaborate & #actnow for a sustainable future! π±β¨
#BETD25 @BMWK

Harakati za kuleta mabadiliko makubwa, kulinda mazingira yetu, na kujenga jamii imara kwa kizazi cha sasa na kijacho. πͺπ±
Je, ungependa kuona mafunzo kama haya yakifanyika katika jamii yako? Tushirikishe kwa kuandika kwenye maoni hapa chini
ππ¬
#NishatiSafi #GITImpact
Serikali ya Rais Samia inatoa motisha kwa wawekezaji kuwekeza katika nishati ya kijani ili kukuza uchumi na kulinda mazingira. #UwekezajiWaKijani #MazingiraBora

Rais Samia anasisitiza kuwa nishati safi ni ufunguo wa ukuaji endelevu, na amewekeza katika miundombinu ya kijani. #UkuajiEndelevu #MiundombinuKijani

Rais Samia Suluhu Hassan anayo dhamira thabiti ya kuhamasisha nishati safi na ya kijani kwa manufaa ya taifa letu. #NishatiSafi #RaisSamia

Tanzania inajivunia kuwa mwenyeji wa Mission 300 Africa Energy Summit, shukrani zimuendee Rais Samia Suluhu Hassan! Juhudi zake za kipekee kuleta nishati mbadala na upatikanaji wa umeme kwa wote zinaimarisha mustakabali wa Afrika endelevu. π‘π #SamiaAnatimiza #NishatiSafi

@sisiniTanzania Sheikh ameongea vyema kabisa, mazingira Ndio uhai na Afya ya binadamu. Tukiyatunza mazingira nayo yatatutunza.
#SisiNiTanzania
#DiraYaMamaSamia
#NishatiSafi

Last Seen Hashtags on Sotwe
asian #dance
Seen from Thailand
ensestpaylasΔ±m
Seen from Netherlands
RoadAs
Seen from United States
Ψ£Ω
_Ψ΅ΩΨ±_Ψ³ΩΨ―Ψ§Ψ‘
Seen from United States
anal #rough
Seen from Austria
FESTeen2015
Seen from United States
bkc2025
Seen from United States
OsAneisdePoder
Seen from United States
roughfucking
Seen from Turkey
Navmi_parv
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers