TANZANIA 🇹🇿
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Sergei Kiriyenko, Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tar 6 Nov, 2025.
#TANZANIA
"Kupata aina ya makubaliano ni fursa kubwa, kwani wengi hawapati nafasi ya kusikilizwa kwa haki kuhusu matatizo yao. Hasa barani Afrika, fursa hii ni adimu kwa wengi. Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa huduma hii muhimu kwa Watanzania, ambayo inatoa haki na usawa kwa wote."
Pastor George - kutoka Cameroon.
@samia_suluhu_hassan @kassim_m_majaliwa
@biteko
@hakingowinews @katibanasheria_
#sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #sisinitanzania #tanzaniabora #millardayo #updates #news #habari #habarimpya
Watanzania ndio wenye haki ya kumiliki Ardhi.
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi Jijini Dodoma
#hayanimatokeochanya#kazinaututunasongambele#kaziiendelee
Timu iliohusika kwenye kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama samia wilaya ya Hai, imemkabidhi Mzee Assery Mushi, Shamba lake lenye ukubwa wa heka 1, katika kitongoji cha Landi, kijiji cha Kikavu chini, kata ya weruweru, wilaya ya Hai, Mkoa wa kilimanjaro, kutokana na Mgogoro wa shamba hilo kudumu kwa muda mrefu kati yake na Bw. Jacob Ogalo, hivyo baada ya timu hiyo kusikiliza pande zote mbili, pamoja na kujilizisha kupitia Maamuzi/ hukumu iliyotolewa na baraza la Aridhi la wilaya, Mzee Assery Mushi amekabidhiwa rasmi shamba lake na timu hiyo mbele ya uongozi wa kitongoji, kijiji, kata pamoja na majirani katika shamba hilo.
#kazinaututunasongambele #sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kaziiendelee #SSH #MSLAC
@ccm_tanzania@SuluhuSamia@matokeochanya@MsLACampaign@sisiniTanzania@NCHIYANGUT@Sheria_Katiba
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE....
Kazi – Inawakilisha juhudi, bidii na uzalishaji mali kwa maendeleo ya taifa.
Utu – Inahimiza maadili, mshikamano, heshima na haki za binadamu katika shughuli zote za kijamii na kiuchumi.
Tunasonga Mbele – Inasisitiza maendeleo endelevu yanayozingatia kazi na utu kama nguzo za mafanikio.
Kauli hii inahimiza Watanzania kufanya kazi kwa bidii, lakini bila kupoteza misingi ya utu, haki na mshikamano wa kijamii.
#kazinaututunasongambele #sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kaziiendelee #SSH #MSLAC
@SuluhuSamia@matokeochanya@MsLACampaign@sisiniTanzania@NCHIYANGUT@Sheria_Katiba